Bikra ya Mwanamke: Kwanini Lawama Zinaishia Kwa Mwanamke Pekee?

Tumekubaliana hakuna kujadili individuals, tunaongea general kama mada ilivyo.
Hapa majibu unayo mwenyewe

Upo tayari binti yako mdogo awindwe
Kwanini uwinde watoto wadogo hakuna mashindikana mtaani mpaka uharibu watoto wa watu ?

Mnafaa kuona aibu ku comment kama hivi licha ya kua ni I'd fake
 
Mara nyingi bikra zinavunjwa na wavulana wa rika lao.
Ni mara chache kukuta mwanaume wa miaka 30 kudate na mtoto wa miaka 13-16 ila ni rahisi kwa kijana below 20-22 yrs kudae na hao mabinti maana wanaendana na ndio hao wanawavunja usichana wao, ikiwa hao vijana hawana future yoyote kw hao mabinti na si ajabu hata ni mabinti wenyewe wanautaka.

Na pia utambue kua wanaume wanaozivunja ni wachache ila wanazivunja nyingi, si ajabu aloivunja yako kazivunja zaidi ya 5, na sababu kubwa ni kua wanaume wengi tunachelewa kuanza kuchovya, sasa wale wanaowahi basi ndio wanaozibonda kwelikweli.
Na ndio maana hii kampeni inashikiwa bango kwa sababu wanaume wengi hawajakutana na bikra toka wazaliwe na wala hawajui bikra inafananaje, na ndio maana hata huko mtandaoni wanaume wengi hawaamini kama kuna binti ako na 18 yrs halafu ni bikra.
 
Kwahiyo hapo wa kulaumiwa ni nani?
Kwahiyo issue wanaume ni wana makasiriko tu si ndio?
 
Kwahiyo hapo wa kulaumiwa ni nani?

Kwahiyo issue wanaume ni wana makasiriko tu si ndio?
Wa kulaumu ni malezi ya Ke, alinde usichana wake, akikataa hao vijana hawawezi mrubuni kwa chipsi yai, kidali na soda(japo ni ngumu).

Na pia Yes, wanaume wengi siku hizi kujiamini kumeshuka, visingizio vimekua vingi sana.
 
Wa kulaumu ni malezi ya Ke, alinde usichana wake, akikataa hao vijana hawawezi mrubuni kwa chipsi yai, kidali na soda(japo ni ngumu).
Yaani hapa ndio mnapochekesha πŸ˜…
Kwanini nyie wanaume msimlinde binti kwa kumuacha ili baadae muoe bikra?
Na pia Yes, wanaume wengi siku hizi kujiamini kumeshuka, visingizio vimekua vingi sana.
Baadhi ya wanaume ni kama wamechanganyikiwa
 

Naelewa vizuri kabisa, na pia naelewa kuna namna hapo hapo sio haki kabisa. Lakini unajua kuna kitu kinaitwa nature? Naturally saikolojia ya mwanaume inataka mwanamke mwenye heshima na past safi. Wakati saikolojia ya mwanamke vioaumbele vikuu ni uwexo wa kiuchumi na uthabiti wa mwanaume husika. Ipo hivyo na haiwezi kubadilika. Nature ina patterns zake ambazo haiwesekani tukazikwepa kwa logic za dunia ya kisasa.

Tuseme mwanamke nae ana haki ya kutengeneza career yake. Hui ni mchakato ambao unaweza kuchukua 20's yote. Huyu ni meanamke mtu mzima mwenye matamanio ya kingono. Pia hicho ni kipindi ambacho kibailojia anakua kwenye prime yake.

Sasa akiweka masuala ya ndoa pembeni ili atengeneze career yake, nature haiwezi kusema nayo inamsubiri kwanza mpaka malengo yatimie. Ataongeza body count nature itamuhukumu. Akifika 30's atakutana na compkications za uzazi bailojia itamuhukumu.

Kwahiyo naelewa kuna namna nature haitendi haki hapo. It's not fair but that's nature. You can't wrestle it
 
Yaani hapa ndio mnapochekesha πŸ˜…
Kwanini nyie wanaume msimlinde binti kwa kumuacha ili baadae muoe bikra?
Hujaelewa kitu kimoja, asilimia kubwa bikra mnatolewa mkiwa mabinti wadogo na hamtolewi na watu wenye nia ya kuwaoa bali na vijana wa rika lenu, hapo ndio tatizo lilipo, na watoa bikra ni walewale.

Hawa wanaolalamika sasa hivi ni wale ambao wako kwenye age ya kuoa, na kwenye ujana wao hawajawahi kutana na bikra, ukubwani pia, na wamejenga imani hakuna bikra.
 
Hakuna nature hapo sema tu umwinyi wa wanaume wa kiafrica tena baadhi yenu

Nature ipo na linapokuja suala la mahusiano itamuhukumu mwanaume kwa vigezo vya uchumi na uthabiti wa maisha yake, itamuhukumu mwanamke kwa vigezo vya umri na alivyojitunza. Sasa kama umeanzisha uzi ili upewe majibu yanayokufurahisha, then keep staying in your delusional comfort zone
 
we're all selective sinners, we choose the sins were comfortable with and judge others for the one we can't accept.
 
Kwasababu kama unajua mwanamke bora au anayekufaa ni bikra kwanini umtongoze?

Hakuna wanawake/wasichana wanaoanza wao kushawishi/ kutongoza? Mbona mnawafanya wanawake kama maroboti wasio na hisia independently, kwamba bila wao kuanzwa hawawezi kuanza kushawishi?
 
Yaani hapa ndio mnapochekesha πŸ˜…
Kwanini nyie wanaume msimlinde binti kwa kumuacha ili baadae muoe bikra?

Baadhi ya wanaume ni kama wamechanganyikiwa
Wewe jukumu la kulinda afya yako ni lako ama la binadamu mwingine?

Kwani wewe hauna akili za kuamua kuwa hutaki? Hakuna logic katika hili mdogo wangu. Haimake any sense eti jukumu la kulinda bikira ni la mwanaume pia! Ni ujuha wa wazi wazi kabisa.
 
She's actually so delusional, yanaota ndoto za mchana.
 
umeandika uzi mrefu mimi sijasoma ila nauliza vipi wewe ni bikra au lah nijibu kwa upendo Bikra unayo
 
Sasa Mkuu unachosema hapa ni tofauti na title ya thread yako. Thread yako haihusu wanaume wa miaka 30+ kurubuni wasichana wadogo wa 13, 14. Hebu jiongeze katika uandishi wako basi.
 
Mkuu hutaki mpili pili na maua yake πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
hiyo chukulia kama fallback aka altenative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…