ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #121
Umechukua muda mrefu kuja ku ni quote majibu rahisi hivi?Mtoto wa kike aliyevu
Huwezi ku judge individual decision generally.
Kitamaduni, baada ya mtoto wa kike kuvunja ungo mambo kama hayo aelekezwe na mama yake, sisi sio wazungu, we should live and abide to customs as Africans
Umeshakosa hoja tayari umekimbilia huku π πWewe kwanini ulikubalia kumvulia chupi Mwanaume ambaye hajakuoa ??
Bikra ya mwanamke inatolewa na nani?Kwa sababu bikra anayo mwanamke na sio mwanaume
Kwani hutaki ya kwako ijadiliwe hali yakuwa upo unajadili za wengine?Hivi upo timamu kweli wewe?
Unataka kujadili bikra yangu kwani mada inaongelea bikra yangu
Mbona unakosa akili kidogo?
Kama umeona hiyo siyo hoja usingeanzisha nyuziUmeshakosa hoja tayari umekimbilia huku π π
Jikaze kwanza kwanini mpaka umri huo hujapata mwanamke bikra huoni wanaume wenzio ni wa kukemea kwa ufujaji?
Jibu kwanza kwanini utongoze binti mdogo ambaye hajakomaa ki fikraWanawake wengine hawaelewi hili somo.
Mwanaume hamfosi mwanamke kwenda kwake kutolewa bikra. Umetaka kutolewa bikra na mwanaume ambae hayuko tayar kukuoa,hustie huruma baadae.
Ni kweli umekosa hojaKama umeona hiyo siyo hoja usingeanzisha nyuzi
Mfano rahisi:Narudia acha kurukaruka kwanini utongoze huku ukijua huna nia ya kumuoa huyo mtoto tena under age
Jibu swali langu
Upo timamu lakini mkuu nisije kua najaribu kujadili na mjinga ?Kwani hutaki ya kwako ijadiliwe hali yakuwa upo unajadili za wengine?
Najua hiyo bikra huna ulisha iuza kwa chips na ndo maana unapaniki ni kutokea na mapovu Kila nikikuuliza suala la bikra yako.ππππ.
Sawa kuna ushawishi wa wanaume lakini ni lazima mwanamme aweze kujisimamia kukataa kushawishiwa kwa sababu yeye ndiye anayetoa gap kwa mwanaume amshawishi hasa pale anapokubali kuendelea kumsikiliza na anajua lengo la mwanaume huyo ni lipiWANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI
ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako
UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani
Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?
Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?
Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?
Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya
Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao
Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo
Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?
Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?
Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo
Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18β24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18
Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia
Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe π
Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!
Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi
Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana
Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?
Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?
Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?
Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?
Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?
Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?
MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?
ShesRise_1 βοΈ
Huna BIKRA ndo maana umeanzisha nyuziNi kweli umekosa hoja
Asante kwa kushiriki
Umepima thamani ya mwanamke kwa kupoteza bikra yake wewe thamani yako tunaipima vipi ?Mwanamke asiye na bikra maana yake hakujipa thamani ambayo anastahili, Mimi nawezaje kumpa thamani wakati hakujipa yeye.
Kama aliweza kurubuniwa akampa thamani mtu X anashindwajw kumpa mtompo watu wengine
Kukomaa kifikra...!!??Jibu kwanza kwanini utongoze binti mdogo ambaye hajakomaa ki fikra
Huku ukitegemea akukatae ?
Mkuu hebu tafakari kidogo usiwe mfata mkumbo
Unapomtongoza huyo binti mdogo huku wewe baadae ukitegemea kuoa bikra je ni bikra ipi unayoitaka
Mkuu ulishawahi kuoana Mwanaume anajiuza au danguro la wanaume??kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza.
hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation labda next generationiq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn unrtil then kazi bado ipo ...
Mkuu kwamba hatuna kazi za kufanya zaidi ya huku JF?Umechukua muda mrefu kuja ku ni quote majibu rahisi hivi?
Malezi is a very broad terminology. Haiishi hapo tu unapofikiria.Kama hujui malezi ya mtoto ni ya wazazi wawili sasa unadhani nitakuambia nini uelewe
Nyie mmeshasema Mwanaume lazima awe na pesa ndo mkubali kuolewa naeUmepima thamani ya mwanamke kwa kupoteza bikra yake wewe thamani yako tunaipima vipi ?