Mimi napima thamani ya mwanamke kwa kuangalia IQ yake na BikraUmepima thamani ya mwanamke kwa kupoteza bikra yake wewe thamani yako tunaipima vipi ?
Ooh my gosh, I'm so excited kuona comment kama hii kwenye huu uzi!kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza, utasilia usioe singo maza wakati anayesema hivyo siajabu ana watoto nje ya ndoa.
hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation nafikiri labda next generation iq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn unrtil then kazi bado ipo ...
Ht yeye mwnyw anaweza kujitoa kwa kutumia sex toysBikra ya mwanamke inatolewa na nani?
Twende taratibu wewe ni bikra?Mimi napima thamani ya mwanamke kwa kuangalia IQ yake na Bikra
Issue ya nyie mnanipima vipi ni ya kwenu hainihusu ndio maana wengine wanasema wanataka mwanaume mrefu, mweusi, mwenye ndevu, mwenye Hela, mwenye six pack, mwenye gari na Mengine mengi
Mi nataka BIKRA
Ona huyu 😅😅🙌🏼Ht yeye mwnyw anaweza kujitoa kwa kutumia sex toys
Binadamu ndiye kiumbe pekee kitacho hukumiwa sababu, Mungu amempa AKILI ya kufanya maamuzi ya mazuri na mabaya. Bikra ni mali ya mwanamke yeye ndiye mwenye control na kufanya maamuzi juu ya tunu aliyopewa na Mungu na Mungu akampa na akili.WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI
ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako
UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani
Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?
Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?
Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?
Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya
Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao
Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo
Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?
Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?
Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo
Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18–24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18
Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia
Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe 📌
Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!
Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi
Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana
Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?
Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?
Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?
Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?
Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?
Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?
MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?
ShesRise_1 ✋️
Asalamaleko mtumishi wa Mungu 😎Ona huyu 😅😅🙌🏼
Mtoto under age?Kukomaa kifikra...!!??
Umemshikia bunduki ili akubali..? Au kakubali kwa utashi na kutaka kwake.
Kigezo cha ndoa ni kipi??Kuna watu mnachekesha sana,
Bikra sio kigezo cha ndoa. Sahauni hilo, wanawake wenyewe wanasema, nikitunze kwani nitazikwa nacho?
Mkuu naelewa sana unachokisemaBinadamu ndiye kiumbe pekee kitacho hukumiwa sababu, Mungu amempa AKILI ya kufanya maamuzi ya mazuri na mabaya. Bikra ni mali ya mwanamke yeye ndiye mwenye control na kufanya maamuzi juu ya tunu aliyopewa na Mungu na Mungu akampa na akili.
Utasema ameshawishia sawa ,okay mf leo ukamfuata binti,umekutana nae siku ya kwanza ukamwambua naomba unipe elfu 10,atakupa sababu umemshawishi?
Sawa kuna mabinti utasema hawana malezi, ila ukitizama bikra nyingi zinatolewa kwa sababu mbili ya kwanza ni tamaa ya fedha ya mabinti na pili fantansy/story hizi za kingono,kupenda kujaribu vitu vipya baada ya kubalehe ambavyo unaweza kuvicontrol na hivi vyote binti anaweza kuvicontrol kupitia akili aliyopewa na Mungu.
Mtoa mada kakusifia kwa huu upumbavu nani atakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Ukiambiwa uoe bikira maana yake umuoe kwanza ndipo uchunguze kama anayo au la?kwa sababu watanzagiza wengi ni simple minded, selfish people, they dont see the world beyond themselves, kila mwanaume anataka kuoa mwanamke "bikra" in tanzagiza wakati huo huo hakuna mwanaume anayeoa akiwa bikra i.e kusubiri kufanya sex na mwanamke baada ya ndoa, mwanume ana-sleep around hapo hapo anategemea kuoa mwanamke bikra, sasa hiyo bikra itatokea wapi kama yeye ana-sleep around? its one of those things, mwanaume anazalisha anakimbia lawama inaenda kwa single maza, utasilia usioe singo maza wakati anayesema hivyo siajabu ana watoto nje ya ndoa.
hivyo mtanzagiza ni mtu simple ukiingiza complexities za life hamuwezi kuelewana kabisa, ni swala la generation nafikiri labda next generation iq itaongezeka na kutokusumbuliwa na trivial things kama hivi lkn until then kazi bado ipo ...
Mkuu ulishawahi kuoana Mwanaume anajiuza au danguro la wanaume??
Waulize wao wana bikra kwanza au wameshajitibu gono mara 100 kwa uzinzi et leo anadai apate binti aliejitunzaKuna watu mnachekesha sana,
Bikra sio kigezo cha ndoa. Sahauni hilo, wanawake wenyewe wanasema, nikitunze kwani nitazikwa nacho?
Kwan kwa elimu ya kileo under age ndio hawa under 18...? (Right)Mtoto under age?
Hivi unajiona unachoandika?
Nauliza tena kwanini utongoze huku ukijua huna malengo nae?
Ameongea fact amenyooka kama rula wela makasiriko pembeni ujenge hoja mbali na hapo utaonekana kituko katikati ya watu waliostarabikaMtoa mada kakusifia kwa huu upumbavu nani atakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Ukiambiwa uoe bikira maana yake umuoe kwanza ndipo uchunguze kama anayo au la?
Mwanaume atalaumiwa na mwanamke atalaumiwa sababu ya kitu kimoja akili, ila atakaye laumiwa sana yule anaye imiliki sababu kapewa akili na utashi.Mkuu naelewa sana unachokisema
Kwanini analaumiwa binti mdogo wa umri asieweza kuachambua mambo kwa mapana
Ila anaacwa mwanaume mtu mzima timamu huku akikingiwa kifua kwamba hakumlazimisha binti
Nyie wanaume hamuwezi kukubali kua nyie ni waharibifu wa watoto wadogo?
Una uwezo mdogo wa kufikiri japo kuwa unajifanya mjuaji.Kwanini ukubali kuchakatwa na mtu ambaye unajua hana nia ya kukuoa .
Kwanini ukubali kuwa nae kwenye mahusiano ya siri?
Kwanini usimwambie aende kwenu kama kweli anakupenda..?
Kwanini uwende kwake na ukubali procedure za kuchakatwa?
Upo tayari kumuozesha binti yako wa miaka 13Kwan kwa elimu ya kileo under age ndio hawa under 18...? (Right)
Mtoto kabaleh akiwa na miaka 13 (tayari anaweza kuzaa)
Wewe unatongoza ili ukataliweTumalize mada:
Mimi natongoza, kwani ni lazima unikubalie?.