Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ila jiwe alikuwa na roho ya kikatili sana na ya kishamba,yaan kosa la kijinga unamtoa mtu na bado unabana biashara zake,yaan akaona kumtengua tu haitoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemjua tangu enzi za Mkapa kipindi kike akitetea wachimbaji wadogo Bullyankhulu yeye na Rugemereza Nshala,jamaa ni radical sana,kwa sasa hatuna mtu jasiri humu nchini kama yeyeLissu ni simba na mdomo wake haufungiki kiongozi! Alimuita jiwe dikiteta uchwara akiwa kisutu, chini ya 1km toka magogoni wakati hao wakubwa wamejificha chooni! Sifa yake kubwa ni kuita nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe huyu jamaa, tangu primary kule Mahambe hii hawezi kubadilika umri huu kaka, hata Mkapa anajua
Nimemjua tangu enzi za Mkapa kipindi kike akitetea wachimbaji wadogo Bullyankhulu yeye na Rugemereza Nshala,jamaa ni radical sana,kwa sasa hatuna mtu jasiri humu nchini kama yeye
yanayosema Mbowe anamhujumu Lisu hayo ni machawi, yasikupotezee muda. Mbowe akili kubwa, featuring na mjomba Lisu chama bravoooWapo wanao amini kwamba mbowe ana mhujumu lisu. Angetaka kumhujumu si angefanya wakati huo???
Kuna wakat nilimlaumu lissu kwa tabia yake ya kuwa hvyo alivyo ila baadae nikakumbuka hata mimi niliwah kuwa hvyo ila baadae niliamua kuacha baada ya siku moja kunusurika kuachwa poriniLissu ni simba na mdomo wake haufungiki kiongozi! Alimuita jiwe dikiteta uchwara akiwa kisutu, chini ya 1km toka magogoni wakati hao wakubwa wamejificha chooni! Sifa yake kubwa ni kuita nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe huyu jamaa, tangu primary kule Mahambe hii hawezi kubadilika umri huu kaka, hata Mkapa anajua
Mtu jasiri ni David Kafulila aliyewasambaratisha Mafisadi wa escrow hadi AG dadeki 😂😂Nimemjua tangu enzi za Mkapa kipindi kike akitetea wachimbaji wadogo Bullyankhulu yeye na Rugemereza Nshala,jamaa ni radical sana,kwa sasa hatuna mtu jasiri humu nchini kama yeye
Uko sahihi kabisa,dunia ya keo inata wanaojua kupuliza na kuuma,vinginevyo utajikuta uko peke yakoKuna wakat nilimlaumu lissu kwa tabia yake ya kuwa hvyo alivyo ila baadae nikakumbuka hata mimi niliwah kuwa hvyo ila baadae niliamua kuacha baada ya siku moja kunusurika kuachwa porini
Nilikuja kugundua ukiwa mtu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe ni rahis sana maisha yako kuwa magumu kwenye hii dunia,kinachomsaidia lissu ni kuwa yeye anategemea kichwa chake,kichwa chake ndo pesa hana biashara yoyote unayoweza kuifunga ili kumkomesha
Kitambo sana,kuna watu wamemjulia akiwa ChademaExactly alikua Bulyanhulu na LEAT akitetea wachimbaji wadogo bureee! Wakati hao wakubwa wanavuna bamia mabondeni kule! Hamna wa kumdogosha maana ana record zisizo na shaka na well documented
Kitambo sana,kuna watu wamemjulia akiwa Chadema
Upuuzi mtupu.Aibu ni kwako wewe
Huyo Tundu Antipas Lisu licha ya kuzuiwa na UVCCM asikaribie kaburi la Shujaa Magufuli alifanya kila Mbinu hadi akaenda kuweka maua kwa Msaada wa Kardinali mstaafu wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹🤣
Mtata sana yule jamaaKweli wamemjulia maria spaces wengine! Wanafikiri anaweza kushushwa chini kwa majungu na fitna! Kama jiwe aliona dawa pekee ni kummaliza unafikir kuna solution ya kufuta utata wake? Ni mtata kweli! Akisema anaongea siku hiyo serikali na wananchi wanakua online! Tazama kaongea juzi ndani ya masaa klassmate Nchimbi akaibuka kujibu then wakafuata wengine na bado wanaendelea wakati keshakaa kimya
Mwambie Mseminari J J Mnyika akuleteeni imebandikwa pale Msimbazi Center 😂😂Upuuzi mtupu.
Leta hapa ushahidi wa picha ya Lissu akiwa kaburini kwa dikteta uchwara kama huyu aliyekuwa akitumwa kufanya maovu.View attachment 3153018
Acha sarakasi wewe chawa mzee weka picha hapa!Mwambie Mseminari J J Mnyika akuleteeni imebandikwa pale Msimbazi Center 😂😂
Makamu ña Balozi walivyomtembelea TAL hospital walimkabidhi mwenyekiti bahasha iliyoletwa na SerikaliAcha sarakasi wewe chawa mzee weka picha hapa!
Lissu anafahamu kuwa baada ya kushambuliwa hata pesa zilizochangwa na diaspora zilizuiliwa kumfikia na pia hata wale watu wa imani waliojikusanya kumuombea walizuiliwa.
Acha kujaribu kumsafisha shujaa uchwara wako kupitia tukio la Lissu.
Ndio kusema Lissu asimseme Mbowe kwa kuwa amemuokoa na kifo😂😂😂😂. Ze komediHahahaha we jamaa utoto mwingi sana.
Inashangaza ila ndio uhalisia wa huko Chadema.Ndio kusema Lissu asimseme Mbowe kwa kuwa amemuokoa na kifo😂😂😂😂. Ze komedi
Anaweza akawa anamhujumu lkn sio level ya kutishia uhaiWapo wanao amini kwamba mbowe ana mhujumu lisu. Angetaka kumhujumu si angefanya wakati huo???
Mbowe kaweka pesa zake nyingi CHADEMA, Mbowe muanzilishi wa chama, Mbowe anazuia kifo....... na list inaendelea.Inashangaza ila ndio uhalisia wa huko Chadema.
Stori za kijiweni hizi.Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.
Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.
Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikristo,i UVIKIUTA anafuga kuku.
Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.
Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yake alikuwa kamishna wa kwanza wa magereza nchini,alikufa zamani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kama watoto wake.
Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madini