Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Mimi huwa nasena ni Mungu hakuruhusu,maana zilimpata sema hazikulenga sehemu muhimu,siku yake ingekuwa imefika hata asiyejua kushoot angemuua tu
Ni kweli kabisa ni Mungu tuu, na Mungu ana makusudi fulani na Lissu.

Hata alipotaka kurejea, alipomuomba IGP kumhakikishia usalama wake, IGP alikauka hakumjibu, ni akina sisi tulimhakikishia usalama wake kwa kumwambia ni Mungu tuu!. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
 
Mbowe alishalamba asali ahaminiki kabisa.Hatima ya CDM iko mikononi mwa Lissu.
CCM nsishangilie,viongozi wenu wanajya kuwa siku TL akishika chama atawaletea sana shida,mdomo wake hauna breki yule
 
kwa hiyo mnataka hiyo ndio iwe tiketi ya kumtesea Lisu kwamba asiseme hata pale mnapokosea? au nini. unamwokoa mtu, unamfanya mtumwa wako, kwanza ni ninyi mlimwokoa au ni Mungu tu aliamua? na ninyi mkija kuokolewa mfanywe watumwa? mbowe na genge lako acheni kulamba asali. wasaliti wakubwa kabisa nyie.
 
"Wale walenga shabaha(snipper )"

Wale hawakua walenga shabaha nakataa kwa msisitizo. Unalengaje shabaha namna Ile,.

Labda ungesema Wamwaga njugu, kama Taifa linategemea Sniper za namna Ile (Hama ndoho kazi tetele)
Mimi huwa nawashangaa sana watu wenye mawazo ya aina hii, ikiwa pamoja na yule aliyekuwa ni Makamu wa Rais wakati ule. Hivi, swali linakuja, wale jamaa, risasi zao, hazikumpata Lissu? Jibu ni kuwa zilimpata, tena zaidi ya kumi. Sasa, badala ya kushangaa muujiza wa Mwenye Enzi Mungu jamaa kuto kufa palepale, na kuwa hai mpaka leo hii, tunabaki tukubishana ujuzi wa wale wafyatua risasi.
Ni roho ngumu tu ya Ki Farao, ambaye hakuamini kuwa ni muujiza wa Mwenye Enzi Mungu, wa kutengeneza njia katikati ya bahari!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka kama mazuri
 
"Wale walenga shabaha(snipper )"

Wale hawakua walenga shabaha nakataa kwa msisitizo. Unalengaje shabaha namna Ile,.

Labda ungesema Wamwaga njugu, kama Taifa linategemea Sniper za namna Ile (Hama ndoho kazi tetele)

Eneo ambalo walipanga Lissu auwawe Sniper asingeweza kutumika. Pia Sniper anaweza kukosea shabaha kama ilivyotokea kwa Donald Trump.
 
NDIYO HUYOHUYO ANAMTUHUMU MBOWE ANAKULA RUSHWA KASHASAHAU NDIYO ALOIMUOKOA KWELI UBINADAMU KAZI
Kuokoa na Kula Rushwa ni Indirectly Proportional ? Kwamba ukila Ruswa huwezi kuokoa na Ukiokoa huwezi kura Rushwa ?

Nadhani busara ni kuangalia vitu accordingly bila hisia wala ni nini kilifanyika jana...
 
Kwa ufupi ule ni muujiza wa Mungu,alichagua watu sahihi wakutimiza huo muujiza
 

acha ujuji Serikali ikiaamua kukutafuta itakupata kokote dunia cc fuatilia rwanda ilivyofanya mauji kwa wapinzani wa kagame wanaoishi nje ya nchi, LISU ALISHAMBULIWA NA WAHUNI TU
 

Donald Trump alilengwa na sniper akaishia kupata mchubuko. Tundu Lissu hakulengwa na sniper lakini kakaa hospitali miaka miwili na leo ni mlemavu.
 
acha ujuji Serikali ikiaamua kukutafuta itakupata kokote dunia cc fuatilia rwanda ilivyofanya mauji kwa wapinzani wa kagame wanaoishi nje ya nchi, LISU ALISHAMBULIWA NA WAHUNI TU
Serikali ni binadamu kama mimi na wewe. Na jambo lolote linalofanywa na binadamu hakina uhakika wa kufanikiwa kwa asilimia 100. Kuna wapinzani wengi tu wa Kagame wameepuka kifo. Kuna wapigania uhuru wengi toka Afrika Kusini, Namibia, Zimbabwe, walikuwa wanatakiwa na serikali lakini waliepuka kifo. Sio kweli kwamba serikali akiamua kuua mtu fulani basi lazima atakufa.
 
acha ujuji Serikali ikiaamua kukutafuta itakupata kokote dunia cc fuatilia rwanda ilivyofanya mauji kwa wapinzani wa kagame wanaoishi nje ya nchi, LISU ALISHAMBULIWA NA WAHUNI TU
Hao wahuni mpaka leo hawajakamatwa,hapo hamba serikali
 
Na wale waliomparua trump sikio tunawaitaje
 
Kuna yule jamaa aliitwa ulisubisya mpoki naye apewe maua yake baadaye alitumbuliwa

Hakika magufuli alikuwa katili sana
 
Achani mbwembwe hakuna kabila la wanyambo Kuna wahaya wa karagwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…