Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ni kweli kabisa ni Mungu tuu, na Mungu ana makusudi fulani na Lissu.Mimi huwa nasena ni Mungu hakuruhusu,maana zilimpata sema hazikulenga sehemu muhimu,siku yake ingekuwa imefika hata asiyejua kushoot angemuua tu
Hata alipotaka kurejea, alipomuomba IGP kumhakikishia usalama wake, IGP alikauka hakumjibu, ni akina sisi tulimhakikishia usalama wake kwa kumwambia ni Mungu tuu!. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P