Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Nikikuuliza kabla neno wakristo kutumika...wafuasi wa Yesu waliitwaje hata hujui.

Nikikuuliza neno Wakristo kwa mara kwanza lilianza kutumika wapi wala hujui.

Wewe si pipa tupu?
Sasa hayo yahusiana vp na hoja yako?
Dish limeyumba wewe naona
 
Ukristo, sio kanisa lolote lile. Ukristo ni kumuamini na kumfuata Yesu Kristo.
Yesu Kristo, hapiganiwi, wala hasaidiwi na dini yoyote, taasisi yoyote, na wala mtu yeyote Yule, au utawala wowote ule.
Yesu kristo, anajipigania mwenyewe, tena yeye huwapigania wafuasi wake, na wao wakabaki kutazama tu.
" Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele "
Kalaga bahho.
 
Wewe jamaa una viashiria vya ushoga.
 
Mimi huwa mnanichekesha sana.

Unauliza swali, Je Yesu alisulubiwa? Halafu unatoa vifungu vya Quran (Ambayo Haina Jina Yesu) ili kutetea hoja... ni ukichaa kwa kweli.

Jina YESU wewe umelijua kutoka kwenye Biblia. Sasa unachotakiwa kujibu ni je, Kwa Mujibu wa hiyo Biblia... Huyo mtu anayeitwa Yesu ALISULUBIWA au HAKUSULIBIWA?
 
Ubu tuletee hapa bibilia ya asili yenye jina la Yesu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii hapa Biblia ya ki-Aramaic (lugha ya ASILI ambayo Injili iliandikwa kwayo).

[emoji116]link hii hapa

Jina la asili la Yesu ni Yeshua, ambalo limekuwa translated to Y'ashu(kiarabu), Yesu/Jesu (African languages ) na Jesus (kiingereza)

Na ninakuletea screenshot kutoka kwenye original aramaic Bible inayoonesha huyo Yeshua alivyokuwa akiitwa. Hii hapa
[emoji116]
 
Hii hapa jina la jesus translated as isa. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…