Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Kiaje?Wakatoliki ni waasisi wa dini ya kiislamu, haifurahishi kusikia hivyo ila huo ndio ukweli wa mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje?Wakatoliki ni waasisi wa dini ya kiislamu, haifurahishi kusikia hivyo ila huo ndio ukweli wa mambo.
Jibu swali nililokuuliza. Isa bin Mariam ALISULUBIWA au HAKUSULUBIWA?Kwani Yesu alisulubiwa?
Wewe Mimi najua tayariNitafute mm au utafute wewe?
HakusulubiwaJibu swali nililokuuliza. Isa bin Mariam ALISULUBIWA au HAKUSULUBIWA?
Sasa hayo yahusiana vp na hoja yako?Nikikuuliza kabla neno wakristo kutumika...wafuasi wa Yesu waliitwaje hata hujui.
Nikikuuliza neno Wakristo kwa mara kwanza lilianza kutumika wapi wala hujui.
Wewe si pipa tupu?
Kipindi hicho hatukuwepo,unahisi nani atatupa ukweli wakati Huu?Haya tusali kwa pamoja "Ee Muumba wa vyote fungua mioyo yetu ili tujue kati ya haya madhehebu mpinga Kristu ni nani" Aaamen.
Wewe sio level yangu, ukajisaidie na usafishe mpododo ulale dogoSasa hayo yahusiana vp na hoja yako?
Dish limeyumba wewe naona
Astakafilulah la muhammadina. KafirUkatoliki ulitaka kufanana na ukristo kwa mbali
Wewe jamaa una viashiria vya ushoga.thibitisha kwa maandiko tena yatoke kwenye qur,an au biblia yako
kama hapa ninavio kuthibitishia kuwa ukirisito ni upagani bila sanamu hakuna ukirisito mungu wenu huyo hapo chini akiabudiwa na papa huyu papa ndie anae wasamehe dhambi View attachment 2511487
Mimi huwa mnanichekesha sana.JEE YESU ALISULUBIWA?
QURANI:
Na kwa (ajili ya) kusema kwao: "Sisi tumemuua Masihi Isa, mwana wa Maryamu Mtume wa Mungu", hali hawakumuua wala hawakumsulubu, bali walibabaishiwa mtu mwingine wakadhani Nabii Isa). Na kwa hakika wale waliokhilitafiana katika hakika hiyo (ya kumuua Nabii Isa) wamo katika shaka nalo (jambo hilo la kusema kauawa). Wao (kabisa) hawana yakini juu ya (jambo) hili (ila kuwa kweli wamemuua Nabii Isa), isipokuwa wanafuata dhana tu. Na kwa yakini hawakumuua. (Tafsiri ya Kiswahili ya Qur’an ya Sheikh A. Farsy).
WANAFUATA DHANA TU WAMO KATIMKA SHAKA:
INJILI INASEMA NINI?
SAA NGAPI ALIKSULUBIWA YESU?
Marko anasema Yesu alisulubiwa saa tatu asubuhi (Mk. 15:25) l
Yohana anasema alisulubiwa baada ya saa sita mchana (Yn. 19:14).
Luka anaposema kwamba Yesu alipaa siku ile ile aliyofufuka (Lk. 24:13-51).
NANI ALIBEBA MSALABA WAKE
Simoni mkirene (Marko 15:21)
Yesu mwenyewe(Yohana 19:17)
ALIVISHWA VAZI GANI WAKATI ANASULUBIWA?
Jekundu (Mathayo 27:28)
Zambarau (Marko (15:17)
ALIPEWA KINYWAJI GANI WAKATI ANASULUBIWA
Siki (Luka 23:36)
Mvinyo (Marko15:23)
Divai (Mathayo 27:34)
NANI WALITUNGA HIZI INJILI ZINZOTOFAUTIANA?
Kadiri ya mapokeo ya zamani Injili ya tatu imeandikwa na Luka aliyezaliwa Antokia akawa Daktari. Alikuwa mpagani (au wa asili ya mazingira ya Kigiriki) si Myahudi kama walivyokuwa akina Mathayo, Marko na Yohana (Uk. 84 wa Biblia hiyo hiyo).
Nayo Biblia Takatifu T.M.P. Book Department Tabora, 1967, uk, 911 inaeleza kwamba Marko hakuwa mwanafunzi wa Yesu, na Injili yake ni muhtasari wa mafundisho ya Petro.
Na ama Injili ya Yohana inajishuhudia yenyewe kwamba waandishi wake ni wengi na wala hawafahamiki:
Kwa sababu kaandika ukweli usiokufurahisha ?Debe tupu
Hii hapa Biblia ya ki-Aramaic (lugha ya ASILI ambayo Injili iliandikwa kwayo).Ubu tuletee hapa bibilia ya asili yenye jina la Yesu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii hapa jina la jesus translated as isa. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hii hapa Biblia ya ki-Aramaic (lugha ya ASILI ambayo Injili iliandikwa kwayo).
[emoji116]link hii hapa
![]()
Jina la asili la Yesu ni Yeshua, ambalo limekuwa translated to Y'ashu(kiarabu), Yesu/Jesu (African languages ) na Jesus (kiingereza)
Na ninakuletea screenshot kutoka kwenye original aramaic Bible inayoonesha huyo Yeshua alivyokuwa akiitwa. Hii hapa
[emoji116]
View attachment 2511951
Ukweli usio na uthibitisho?Kwa sababu kaandika ukweli usiokufurahisha ?
Naam sio level yakoWewe sio level yangu, ukajisaidie na usafishe mpododo ulale dogo
Wagalatia 3:1 “Enyi Wagalatia msio na akili, NI NANI ALIYEWAROGA?Wewe sio level yangu, ukajisaidie na usafishe mpododo ulale dogo