Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Kwani biblia ni kitabu cha nani?
Yeyote atakayekuwa anakimiliki.Naomba utumie Quran ijisimamie yenyewe.Tofauti na hapo tutaanza kuamini kuwa Waraqah etal walitumwa toka Vatican kukamilisha mission
 
Lete ushahidi wa aya
Ubishani wa kwenye gahawa si type yangu.Hata mtoto wa darasa la saba anajua kwamba biblia ni kitabu kinachotumiwa na wakristo.Kuhusu haya kuna vitabu na injili nyingi sana hazijajumuishwa kwenye hiyo maktaba.sasa tukitaka kila kitu kiwe na haya sidhani kama tutafika.Biblia yenyewe inakili kuwa kuna mambo mengi sana yamefanyika lakini hayajawekwa humo.labda kama una hoja ya kupinga hilo nikukaribishe
 
Ndiyo umeleta ushahidi wa aya kuwa kitabu cha Biblia ni cha wakristo?
 
Wewe mtoa mada hujui ulipo, upo kwenye giza totoro. Ni ushabiki tu wa dhehebu lako ndio unakufanya uweke post kama hii JF.

Ukitaka kujua MAOVU MENGI SANA yaliyofanywa na Kanisa Katoliki, nenda kwenye internet utafute History of the Roman Catholic Church.

Zaidi ya hayo maovu, mambo ambayo Katoliki wanafanya sasa ni TOFAUTI KABISA na lile kanisa Yesu alilomkabidhi Petro.

1. Petro alikuwa na mke (na Yesu akamkabidhi kanisa akijua ameoa) lakini Katoliki sasa inazuia mapadre kuoa wakati Timotheo wa Kwanza Mlango wa tatu inatamka wazi kwamba ASKOFU na shemasi (padre) LAZIMA WAWE WAMEOA.

2. Yesu alisema tule Mwili wake na Damu yake (mkate na divai). Ile Katoliki ya mwanzo ilikuwa inatoa divai na mkate. Hata Mtakatifu Paulo ameandika jambo hilo kwenye Wakorintho wa kwa sura ya 11 kuanzia mstari wa 17.

Mambo ambayo Katoliki wanayafanya kinyume na Biblia ni MENGI SANA (tatizo wewe unadhani ukishakuwa Mkatoliki utaenda mbinguni kama hata Biblia husomi)
 
Umeongea ukweli, Ukristo ulishakufa kitambo kabla ya Uisilamu, uliopo sasa ni Uromani
 
Ukijifanya Unajua mbele ya wanaojua utaonekana mjinga,
 
Wahusika wenyewe hilo hawalijui
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…