Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Hebu tuelezee mkuu vita vya Badr vilikuwaje?
 
Nyerere aliupigani ukatoliki ndo maana Tanzania Inakuwa na ukristo
 
Wanaofuata misingi 10 ya ikristo.
Msingi mmojawapo ni ubatizo wa maji mengi.
Kubatizwa ni kubatizwa tu, iwe baharini au kwenye kisado.

Kinacho matter the most ni a changed behaviour baada ya kubatizwa.

Aliyebatizwa maji kidogo anazini
Aliybatizwa maji mengi naye anazini, sasa nyinyi wawili tofauto yenu iko wapi ?
 
Siyo kwamba kuua ukristo ilishindikana ndo ule msemo wa if you cant beat them join them ukatumika?

Inasemekana hapo mwanzo palikuwapo na ukristo na wapagani waliupinga na waabudu sanamu waliupinga sana, baadae ilionekana kuwa pamoja na kuuwa na kutesa bado unasambaa ndo ikaamuliwa ukristo uwe controlled kupitia mwavuli mmoja na ndipo ukristo ukawa ukatoliki na baadae ulutheri ukazaliwa na wengine wakafata ila kabla hapakuwa na ukatoliki, palikuwa na ukristo. Ukatoliki ni matokeo ya upagani kufanikiwa kuukontrol ukristo.
 
Kubatizwa ni kubatizwa tu, iwe baharini au kwenye kisado.

Kinacho matter the most ni a changed behaviour baada ya kubatizwa.

Aliyebatizwa maji kidogo anazini
Aliybatizwa maji mengi naye anazini, sasa nyinyi wawili tofauto yenu iko wapi ?
Daah pole mkuu...neno ubatozo ni kuzamisha au kuzama.
Soma tena
 
Nimekuita fala kwa sababu unazusha mambo makubwa kwa hoja rahisi na story za kusadikika.

Leta ushahidi wa kihistoria kudhibitisha haya uliyo yasema.
Sijaumizwa na neno fala na nimelipokea kwa mikoono minne, wala usiwe na shaka.

Ila usikatae jambo kwa sababu linapingana na misingi ya mafundisho uliyowahi kuipata hapo kabla.

Ni vema ukaanza kuelewa kuanzia sasa kuwa Uislam ni zao la Kanisa Katoliki la kirumi, halafu baada ya hapo anza kuchimba ili kupata ufahamu zaidi, sawa ?
 
Ni kweli tupu kwa miaka mingi Kanisa Katoliki limehifadhi Imani Takatifu kwa Yesu Kristo pamoja na mapokeo mengi na Kanisa limesimama kama alama ya umoja na ushirika wa kitume chini ya Ba Mtakatifu. Tuliombee Kanisa Imani na uaminifu kwa Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…