myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hao ndio wanaendesha mambo, sio dini tu na mifumo ya uongozi...Ukishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wanaendesha mambo, sio dini tu na mifumo ya uongozi...Ukishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Ushahidi wa aina ipi unautaka kutoka kwa fala mimi ?Mkuu ebu punguza ufala basi unaweza kutupa ushahidi wa haya unayo yasema?
Wanakariri Uongo na wanauamini!Wewe unayejua historia hebu Tupe ushahidi wa hii statement yako
Jamaa hawataki kabisa kulielewa hilo somo. Ila ndio ukweli mchungu wanaotakiwa kuumeza.Ukatoliki ndio ulianzisha uislamu
Wakiristo halisi ni wapi hasa?Wa RC sio Wakristo halisi hiyo ni mila za asili za Kirumi.
Wanachanganya imani ya kikristo na mila za kirumi.
Wanaofuata misingi 10 ya kikristo.Wakiristo halisi ni wapi hasa?
Hebu tuelezee mkuu vita vya Badr vilikuwaje?Umesahau kuwa huo ukristo wako hata uislam ndo dini zilizotenda maovu hakuna mfano. Rejea ukristo ulivyotumika kueneza ukoloni Afrika mbali na yale mauaji yake ya inquisition yaliyoua maelfu ya watu kikatili huko ulaya. Rejea vita ya badr na upuuzi mwingine mwingi wa kidini mbali na ulawiti unaoendelea, unyakuzi wa ardhi, udumazaji akili za watu wetu, wizi wa majina asilia, kukandamiza mila asilia, kutoza watu fedha na kuwasababishia umaskini na mengine mengi.
Wakristo halisi wapo Middle East, Orthodox Cristians, huko ndio ukristo ulipotokea, na ndio mpaka leo mafundisho yao hayajachakachuliwa sana.Wakiristo halisi ni wapi hasa?
Haya Ni maoni yenu au Kuna kitabu kinaelezea hivyo?Jamaa hawataki kabisa kulielewa hilo somo. Ila ndio ukweli mchungu wanaotakiwa kuumeza.
Kubatizwa ni kubatizwa tu, iwe baharini au kwenye kisado.Wanaofuata misingi 10 ya ikristo.
Msingi mmojawapo ni ubatizo wa maji mengi.
Documents zipo, jukumu la kuzitafuta nakuachia wewe.Haya Ni maoni yenu au Kuna kitabu kinaelezea hivyo?
Daah pole mkuu...neno ubatozo ni kuzamisha au kuzama.Kubatizwa ni kubatizwa tu, iwe baharini au kwenye kisado.
Kinacho matter the most ni a changed behaviour baada ya kubatizwa.
Aliyebatizwa maji kidogo anazini
Aliybatizwa maji mengi naye anazini, sasa nyinyi wawili tofauto yenu iko wapi ?
Nimekuita fala kwa sababu unazusha mambo makubwa kwa hoja rahisi na story za kusadikika.Ushahidi wa aina ipi unautaka kutoka kwa fala mimi ?
Leta ushahidi wa kihistoria ili kudhibitisha hayo unayo yasema sio kutuletea hadithi za kusakika mnazo simuliana baada ya kulewa.Ukatoliki ndio ulianzisha uislamu
Sijaumizwa na neno fala na nimelipokea kwa mikoono minne, wala usiwe na shaka.Nimekuita fala kwa sababu unazusha mambo makubwa kwa hoja rahisi na story za kusadikika.
Leta ushahidi wa kihistoria kudhibitisha haya uliyo yasema.
Kwani pombe imekukosea nini ?Leta ushahidi wa kihistoria ili kudhibitisha hayo unayo yasema sio kutuletea hadithi za kusakika mnazo simuliana baada ya kulewa.
Ni kweli tupu kwa miaka mingi Kanisa Katoliki limehifadhi Imani Takatifu kwa Yesu Kristo pamoja na mapokeo mengi na Kanisa limesimama kama alama ya umoja na ushirika wa kitume chini ya Ba Mtakatifu. Tuliombee Kanisa Imani na uaminifu kwa Kristo.Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukiristo usingeenea Duniani
Wakiristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukiristo usingegeshimika
UKIRISTO ungefutika na dini nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi wa Ukiristo
Ili kupambana na Ukiristo lazima kwanza upambane na kuushinda Ukatoliki
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Bado upo kwa kificho......