Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Kwani wapi imeandikwa biblia ni kitabu cha wakristo?
 
 
Oh People of the Book! Commit no excesses in your religion, nor say of God anything but the truth. Christ Jesus, the son of Mary, was (no more than) a messenger of God, and His Word which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him. So believe in God and His messengers. Say not, 'Trinity.' Desist! It will be better for you, for God is One God, Glory be to Him! (Far exalted is He) above having a son. To Him belong all things in the heavens and on earth. And enough is God as a Disposer of affairs" (4:171).

Aya hiyo Nayo ilichotwa kutoka ukristo wa kikatoliki?
 

Usidanganye

No. Prophet Muhammad, peace be upon him, did not have a Catholic wife.

One of his women, Maria al-Qibtiyya, was of an Orthodox Christian background. She was gifted as a slave by the Christian ruler of Egypt to the Prophet Muhammad, peace be upon him. She converted to Islam before she married the Prophet. She bore him a son, Ibrahim by name, who died in childhood.
 
Ukatoliki ndio ulianzisha uislamu

Jamaa hawataki kabisa kulielewa hilo somo. Ila ndio ukweli mchungu wanaotakiwa kuumeza.

Ukatoliki utaanzisha kitu kinachowataka kuwacha imami yao ?

Qurani inasema Yesu si Mungu

Qurani inasema Yesu Hakufa wala kusulubiwa

Qurani inakataa utatu , Trinity


Jee wakatoliki wanakubali haya ????

Kidogo utumie akili , usipakazie
 

Usipakazie please

 
Wa RC sio Wakristo halisi hiyo ni mila za asili za Kirumi.
Wanachanganya imani ya kikristo na mila za kirumi.
Kwani Ukristo ni necessarily kinyume na mila? Hata isingekuwa mila za kirumi ungebaki na mila za Kiyahudi. Hata Ukristo unavyokuwa practiced hapa Africa unakuwa expressed through our cultural contexts and there is nothing wrong with that . Mfano tutatumia Kiswahili, tunapiga ngoma za ngozi za ng'ombe, sisi ni weusi. Sasa kama Ukristo ulikua zaidi kimfumo enzi za Kirumi lazima ubebe cultural elements za kirumi ilimradi hizo element haazipingani in essence mafundisho ya Kikristo. Mwanadamu hawezi kuexpress chochote bila mila na cultural contexts. Hata Mungu hujifunua kwa Mwanadamu kulingana na mazingira yake ndipo ataeleweka.
 
 
Slave converting. That's forced conversion
 
Papa kishakubali mashoga waoane.

Turufu liobaki ni kuwajazabmashoga tu huko.

"Dini ile... " kama ulimaanisha Uislam, elewa kuwa Uislam haupo kwa ajili ya kutawala. Mkristo wa kweli kwa maana ya kumfata Yesu alayhi salaam, huyo hakuna zaidi yaMuislam.

Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba wetu, Allah.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…