zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sasa Mungu akikupa nchi anaitumia marekani? Kwenye Bible mara zote walikua wanarudishwa na nabii, embu niambie nabii gani aliwarudisha hao wayahudi hapo Tel Aviv?The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord
Kwamba hujawahi sikia neno Philistia kwenye Bible? Philistia ilikuja kuitwa Palestine na wagirik... mind you philistia ziliishi jamii za wacanaan kama hivites, gilgashites n.k hao kina Abraham wamekuja baadae sana kama wahamiaji tu.Kwa mara ya kwanza neno PALESTINA lilianza kuonekana kwenye kumbukumbu na official documents lini?
Similarly, when did the word ISRAEL appear for the first time in historical records and official communications?
Mahali pa kuanzia ni kwenye records za falme za Mesopotamia, Uajemi, Faraoh, Rumi, Ottoman, etc. the word ISRAEL imetokea mara nyingi mno. Tupatieni historical records za PALESTINE. Sizungumzii dini; mleta mada ametahadharisha!
Ukoloni kuanzia rumi mpaka Ottoman hadi uingereza.... ni kama Tanzania tu tumekuwepo maelfu ya miaka ila taifa lilianza 1960s kwani tulicheleweshwa na nani?Kama palestina ilikuwepo muda mrefu ni kitu gani kilicho wazuia wapalestina kuwa na taifa lao kama nchi?.
Bible tena? Unadonoa vinavyokupendeza; au sio?Kwamba hujawahi sikia neno Philistia kwenye Bible? Philistia ilikuja kuitwa Palestine na wagirik... mind you philistia ziliishi jamii za wacanaan kama hivites, gilgashites n.k hao kina Abraham wamekuja baadae sana kama wahamiaji tu.
Jifunzeni historia acheni ujuaji
Ila wewe jamaa,naomba nikupe ushauri wa Bure.Umenukuu Biblia tena, vipi mkuu?
Haiwezekani kwa sababu ya ujinga wa dini moja hivi ya mihemkoNini suluhisgo la mzozo huu??
Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja.
Wawe naserikali ya umoja
Generation z huwa hawataki kuchimba historyIsrael ni mvamizi kama wavamizi wengine hausiki na ardhi ile
Sawa mwambie anapo leta hadith za Ibrahim hakosekani mtoto wa Ibrahim aliye mtoa sadaqa ambaye ni mwanae wa pekee Ismail. Wakati ule Nabii Ibrahim ana miaka 86 Ishaq wala hajulikani kama atazaliwa 😄 Kwa hio walio ahadiwa ni Mungu ni Wajukuu wa Ismail.Hizo ni hadithi za ngano tu, hakuna vitabu vyovyote vya historia vinavyothibitisha haya mambo.
Unajua wewe ndiye huelewi maana kihistoria hakuna uthibitisho wowote unaoweza kuuweka hapa kuonesha Israel ilikuwepo kabla ya Palestina bila kunukuu vitabu vya dini ijapokuwa tuntatofautiana katika kuelewa kifungu husika.
Herode unamkuta katika kitabu gani?
Unaweza kuthibitisha kwa aidha Quran au Biblia pasi na shaka kwamba mtoto aliyetakiwa kutolewa sadaka ni Ismail?Sawa mwambie anapo leta hadith za Ibrahim hakosekani mtoto wa Ibrahim aliye mtoa sadaqa ambaye ni mwanae wa pekee Ismail. Wakati ule Nabii Ibrahim ana miaka 86 Ishaq wala hajulikani kama atazaliwa 😄 Kwa hio walio ahadiwa ni Mungu ni Wajukuu wa Ismail.
Kwa asili ni eneo la Israel ila vikofia hawatakubaliIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Bible inawatambua, na inasema kabisa kuwa ile nchi ni ya kwao.Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.
Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.
Iran ni mwarabu?Lile eneo ni la waarabu , hasa kwa sababu media , na nguvu duniani kashika marekani na kuna mikataba ya siri uingereza na marekani kuisapoti Israel kwa lolote ndio shida , baadae akaja misri akataka kuwatetea wapalestina akaishia njiani , ikatokea migawanyiko mikubwa middle east , akabakia Iran ndio anawatetea wale watu , hao houth, hezbollah, hamas sio magaidi hivo ni vyama vya kisiasa tena vilikua vinashiriki chaguzi huko na vina wabunge , kama ilivo ccm na greengaurd yao Leo waitwe magaidi , maana nao hupata mafunzo ya kijeshi kule ihemi ikiwapo kutumia silaha , hasa vile vyama kulinda maslahi ndio vikaunda vikosi vya kujilinda na kulinda watu wao , hao sio magaidi kama tunavyoaminishwa na dunia ishaingia mkenge na kupata dhambi ya bure kwa kuwachukia wasio na hatia na kuwapenda wenye hatia
Herode Mfalme wa Wayahudi yuko katika historia ya warumiAcha stori za kusadikika, huyo Daudi hajawai kuwepo, leta machapisho na nakala zinazoonesha kuna jamaa wa aina hiyo aliisho middle east, mnatumia biblia kama ushahidi wakati kitabu chenyewe tu kina mikanganyiko, yaan kitabu kilichoandikwa na huyo huyo mvamizi akajipendelea na kujitukuza, then utegemee kitabu hicho kisimpe favour?
Wafia dini akili hamtumii
Pumbavu,Jibu ni moja tu, kama mmiliki halali ni mtu mweusi, maana yake ndiye muisrael wa kweli na ndiye aliyetakiwa kutukuzwa na mataifa yote duniani, na hiyo israel wanayodai ipo middle east, ni uzushi tu,
Ardhi takatifu ni Afrika nzima ambayo wanaing'ang'ania mpaka leo waitawale.
Jiulize ktk biblia na kiuahisia, ni nani aliyewekwa utumwani? ni taifa lipi lililosambaa dunia nzima?, ni taifa la race ipi ambalo limeonewa sana? Jibu ni taifa la mtu mweusi, ndilo lenye haki ya kuitwa myahudi na sio hao wazungu na waarabu.
Kama waafrika tungewekeza muda wetu kusoma mambo ya msingi tungeamka mapema sana, haya mambo yako wazi sana mbona hata hao wazungu wenyewe wanajua Israel ya kweli ni Afrika na waafrika, lkn sisi wafrika bado tunajazana imani za kipuuzi makanisan na misikitini kuabudu uongo na kuchukiana sisi kwa sisi.
Sasa kama mwamba wao Putin mwenyewe tena mtu mwenye influence dunia nzima anayejua siri nyingi dunian, anakubali haya mambo kuhusu real African history, sasa mbona hizi kondoo zetu makanisani na misikitini zinabaki kupinga na elimu zao za madrasa/sunday school.
View attachment 3131182View attachment 3131183View attachment 3131184View attachment 3131182
Je Jews waliishi wapi kabla ya uvamizi huuIsrael alivamia eneo la mwenzake , na Israel imeundwa mwaka 1948 , wakati Palestina ilikuepo muda mrefu sana
Mmiliki halisi hajulikani kwasasa kwasababu hao wote waliingia hapo kwa kupigana na lengo ni kuwapoteza wenye hati miliki , kwahiyo ni vitu viwili tu vilitokea kwa wamiliki ni kukimbia wasiuliwe au kuishi miongoni mwa wavamizi kama daraja la chiniKama wote ni wavamizi; mmiliki halisi ni nani?
Katika kitu ambacho ukijui ni kuwa Kiebrania ni moja ya lugha iliyotokana na lugha mama ya Semit ambayo lugha hii ilikuja kutoa Kiarabu, Kiebrania na Amhar.View attachment 3131212
Level yako ya uelewa wa Historia ni mdogo sana...
Hii ni history nje ya Biblia inaonesha Wayahudi chini ya Hasmonea dynast waliweza kuondoa utawala wa Wagiriki na Kujitawala kama taifa huru.
Capital City ni Jerusalem, lugha ni mojawapo ni Kiebrania na sio Kiarabu.
Tena Ardhi yao ilifika, misri, Jordan, na Syria
Mkuu Wayahudi ata Ethiop wapo, ata Uganda wapo enzi ma enzi na hilo sikatai kuwa kulikuwa na jamii ya watu mbalimbali eneo hilo ila Wayahudi walikuwepo Yudea pia kama waliopo Ethiopia leo ata Iran kuna jamii ya Wayahudi pia mpaka leo.View attachment 3131213
Hii ni historical facts kuwa Romans walipofika hapo walikuta Judea wanakaa Jamii ya Watu wanaitwa Wayahudi.
Wapalestina hawana History na Eneo wanaloishi... Ndio maana kwenye website yao ya utalii na history ya wao kama nchi inaanzia mwaka 1986.
Mkitaka kuitetea Palestina msitumie history cause mtaonekana ignorant.
Kwenye issue ya Palestina tunatumia humanity and situation on the ground, and not historical facts where can take all 5 millions people who identify as Palestinians