Jibu ni moja tu, kama mmiliki halali ni mtu mweusi, maana yake ndiye muisrael wa kweli na ndiye aliyetakiwa kutukuzwa na mataifa yote duniani, na hiyo israel wanayodai ipo middle east, ni uzushi tu,
Ardhi takatifu ni Afrika nzima ambayo wanaing'ang'ania mpaka leo waitawale.
Jiulize ktk biblia na kiuahisia, ni nani aliyewekwa utumwani? ni taifa lipi lililosambaa dunia nzima?, ni taifa la race ipi ambalo limeonewa sana? Jibu ni taifa la mtu mweusi, ndilo lenye haki ya kuitwa myahudi na sio hao wazungu na waarabu.
Kama waafrika tungewekeza muda wetu kusoma mambo ya msingi tungeamka mapema sana, haya mambo yako wazi sana mbona hata hao wazungu wenyewe wanajua Israel ya kweli ni Afrika na waafrika, lkn sisi wafrika bado tunajazana imani za kipuuzi makanisan na misikitini kuabudu uongo na kuchukiana sisi kwa sisi.
Sasa kama mwamba wao Putin mwenyewe tena mtu mwenye influence dunia nzima anayejua siri nyingi dunian, anakubali haya mambo kuhusu real African history, sasa mbona hizi kondoo zetu makanisani na misikitini zinabaki kupinga na elimu zao za madrasa/sunday school.
View attachment 3131182View attachment 3131183View attachment 3131184View attachment 3131182