Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Mkuu unafahamu Suleman Temple iko taifa gani?
Na huyo Suleman alikuwa kiongozi wa Taifa gani?
Hapo tunazungumzia historia sio Biblia na Quran
 
Wewe mbumbumbu kama kusoma hujui hata picha huoni? Ule msikiti mliojenga juu ya synagogi la Suleiman mkauita Al aqsa ni ulijengwa na nani? kama hujui historia muulize ustadh wako hapo masjid
 
Kinachoipata Palestrina ni sawa na kitachipata Tanganyika miaka ya mbeleni, Wapemba, Waajemi, Waarabu, Wahindi na Wachina watamiliki Ardhi Kubwa kisa ulofa wetu wa kuuza Ardhi hovyo hasa hii mikoa ya Pwani. Njaa nyingi tunauza tu baada ya muda vurugu zikitokea wenye nguvu wapewe tu.

Hapa wazee wa kihamba hawahusiki.

Kwa mtazamo wangu Israel ni Taifa janja janja au taapeli. Hata biblia inathibitisha hilo mara mtu kavaa ngozi ya mbuzi kumzuga baba yake ili aibe baraka za nduguye mzaliwa wa kwanza. Mara kupigana na maraika, mara kuuza ndugu, mara kubadiri mkataba wa kuchunga mbuzi ili mtu apewe mke.
 
Wanao sema Israel ilivamia eneo la waarabu hua wanasema wayahudi ni wakimbizi pale sio kwao sasa pia watuambie ni wakimbizi kutoka nchi gani kwa sababu mkimbizi ana sehemu yake ya asili alikotokea
 
Marekani nao si walivamia hapo walipo na kuwaangamiza Wahindi wekundu kibao!!
 
Mpaka Kipindi Dola la Urumi linatawala Dunia Ufalme wa kaskazini wa Israel ulikuwa umevurugika kutokana na Uvamizi kutokea Syria.

Hivyo kukawa na muingiliano mkubwa sana na jamii jirani ndipo ikazaliwa Samaria

Kutokomea kabisa kwa jina Kingdom of Judea ambao ni ufalme wa Israel kusini, kulitokana na uasi wa mwisho wa Simion Bar koba Ndio ukapelekea Wayahudi kuchukuliwa utumwa na kuvunjwa kwa Hekalu, Rumi akiwa superpower Ndio akabadili eneo kihistoria pakaitwa philistine.

Ndio Wayahudi wengi walihamia Ulaya wengine Arabia ambao wengi walihama au kuuliwa na muhasisi wa Dini ya Amani waliokimbia wakaenda Yemen, na wachache wakahamia Afrika Yaani Ethiopia.
 
Wewe mbumbumbu kama kusoma hujui hata picha huoni? Ule msikiti mliojenga juu ya synagogi la Suleiman mkauita Al aqsa ni ulijengwa na nani? kama hujui historia muulize ustadh wako hapo masjid
Mkuu hakuna ushahidi wowote wakisayansi unasupport hoja kuwa pale kwenye msikiti wa Al Aqsa kulikuwa na Hekalu la Suleiman ila inasemekana tu kuwa pale kulikuwa na hicho kitu na sio Synagogi ni Hekalu.
 
Kwa historia ya kale, Palestina alivamia historia ya Israel. Kwa historia ya juzi, Israel anapambana kurudi kwenye ardhi yake
 
Mkuu hakuna ushahidi wowote wakisayansi unasupport hoja kuwa pale kwenye msikiti wa Al Aqsa kulikuwa na Hekalu la Suleiman ila inasemekana tu kuwa pale kulikuwa na hicho kitu na sio Synagogi ni Hekalu.
mkuu hoja kubwa ilikuwa ni ku establish hilo eneo linalogombaniwa.

Nakubaliana na wewe kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi isipokuwa masimulizi. Je kuna ushahidi wowote hilo Taifa la Palestina lilikuwepo hiyo miaka 2000 nyuma?
 

Unajua Wakanaani sio waarabu Wala siô Waisrael?
Wakanaani ni jamii Kutoka Kwa Hamu( Hamites ) àmbao kiasili ni Watu weusi(wanjano) kama Wamisri.
Hilo Eneo kuanzia Kanaani(Palestine) kurudi chini Moja misri siô maeneo ya Waarabu Bali jamii ya Hamites.

Hivyo waarabu na Wayahudi wamevamia maeneo ya Hamites
 
watusaidie
Pale ni Israel milele yote,yesu mnazareti alizaliwa hapo,vizazi vyote tangia ibrahimu pale ni kwao,nashanga etii Jerusalem ipo anataka iwe mji wao mkuu,Yani Jerusalem itakuwaje palestina?inawezakanaje Leo ,Israeli ipo kwao.....
 
Bible tena? Unadonoa vinavyokupendeza; au sio?
Sio Bible tu hata historia inaonyesha eneo lililoitwa philistia ndio linaitwa Palestine ya sasa hasa baada ya Greek empire kuamka.

Then Bible ndio unayoamini so lazima evidence nitoe huko. Mfano mwingine fungua Bible yako page ya mwisho kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…