Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Jerusalem haijawai kuwepo as relation to bible/quran au dini yoyote.

Baada ya hawa majambazi(waisrael feki) kuona Historia&sayansi itawafunga kuwa hawahusiki na umiliki wa ardhi wakaamua kutumia ushahidi wa kusadikika ambao wengi wanauamini, yaani masimulizi ya watu wa kale kuwa walikua babu zao na ndio waliwapa iyo ardhi, kitu ambacho kiuhalisia, kisayansi, kijiografia na kihistoria hakisapoti na hakuna mahala popoote utakapopata ushahidi wa uwepo wa hao babu zao na Bible's characters kama akina ibrahimu, Yakobo, akina suleiman hawa wote ni fiction characters hawajawai kuwepo ktk hiyo ardhi na hata uwepo wao mahala popote duniani haupo na hatokuwepo.

hivyo basi wazungu na hao waisrael feki wanatumia mbinu hii ya dini kuwahadaa watu waamini maana ndio njia pekee ya wao kusurvive hapo, bila kisingizio cha dini hao waisrael feki wangeshaondolewa mapema sana maana, idadi kubwa ya watu wanaosapoti uvamizi wa hao fake Jews wanatumia hisia na imani zao za kidini zilizowaaminisha kuwa iyo ni ardhi teule ya mitume sijui na vitu gani huko, ndiomaana wanapata sapoti kubwa ulimwenguni, na hata kuna wanaojaribu kupinga uvamizi huu lkn wakifikili kuhusu maandiko ya biblia wanajikuta kubaki njia panda ama kusapoti.

Back to history hao wayahudi feki hawana ushahidi wa uwepo mahala hapo, kama nilivyosema historia inaweza kutaja maelfu ya watu walioishi maelfu ya miaka lkn kwanini hakuna ushahidi wa mtu yeyote ktk biblia aliyewai kuishi hapo middle east, au basi hata makaburi hakuna wala mabaki na michoro hakuna, zaidi zaidi utaambulia nakala feki ambazo zimeundwa juzi tu na magofu ya uongo ambayo yametengenezwa kusapoti uongo, mfano wa kaburi la yesu ambalo limeundwa na wala huyo yesu hajawai kuishi hapo israel na wala hakuwai na hatowai kuhusika na iyo ardhi.

Jamani kuna mambo ya msingi ili upate majibu ni lazima utumie njia nyepesi tu ambayo inamake sense,

Ni sawa na leo hii waTanzania tuivamie China ambayo hatuhusiki nayo kihistoria,kijiografia wala kisayansi then tuaminishe ni ardhi yetu kupitia maandiko ambayo tudai kuwa yaliyoka kwa babu zetu walioishi hapo, hii ni njia pekee ya kuteka hisia za watu wakuamini maana njia halali ya historia haiwezi kusapoti huu ujinga na hata DNA hazisapoti huu ujinga, je hao waisrael wenu wa uongo wanasapoti ya ibrahimu kihistoria na kisayansi kuprove huyo jamaa aliwai kuishi hapo?

The same kwa Afrika kama kuna ushahidi wa uwepo wa mababu wa kifalao walioishi zaidi ya miaka 5000 B.C je kwanini hakuna ushahidi wa kihistoria na kisayansi kuhusu uwepo wa akina yesu, na mitume wake hapo middle east ambapo hawa hawazidi hata nusu ya miaka ya mafalao walioishi zamani lkn ushahidi wao upo mpaka sasa,

Walokole na wapumbavu wengine mnaoamini kwenye dini amkeni mnachezewa akili.
Mkuu unafahamu Suleman Temple iko taifa gani?
Na huyo Suleman alikuwa kiongozi wa Taifa gani?
Hapo tunazungumzia historia sio Biblia na Quran
 
Acha stori za kusadikika, huyo Daudi hajawai kuwepo, leta machapisho na nakala zinazoonesha kuna jamaa wa aina hiyo aliisho middle east, mnatumia biblia kama ushahidi wakati kitabu chenyewe tu kina mikanganyiko, yaan kitabu kilichoandikwa na huyo huyo mvamizi akajipendelea na kujitukuza, then utegemee kitabu hicho kisimpe favour?

Wafia dini akili hamtumii
Wewe mbumbumbu kama kusoma hujui hata picha huoni? Ule msikiti mliojenga juu ya synagogi la Suleiman mkauita Al aqsa ni ulijengwa na nani? kama hujui historia muulize ustadh wako hapo masjid
 
Kinachoipata Palestrina ni sawa na kitachipata Tanganyika miaka ya mbeleni, Wapemba, Waajemi, Waarabu, Wahindi na Wachina watamiliki Ardhi Kubwa kisa ulofa wetu wa kuuza Ardhi hovyo hasa hii mikoa ya Pwani. Njaa nyingi tunauza tu baada ya muda vurugu zikitokea wenye nguvu wapewe tu.

Hapa wazee wa kihamba hawahusiki.

Kwa mtazamo wangu Israel ni Taifa janja janja au taapeli. Hata biblia inathibitisha hilo mara mtu kavaa ngozi ya mbuzi kumzuga baba yake ili aibe baraka za nduguye mzaliwa wa kwanza. Mara kupigana na maraika, mara kuuza ndugu, mara kubadiri mkataba wa kuchunga mbuzi ili mtu apewe mke.
 
Wanao sema Israel ilivamia eneo la waarabu hua wanasema wayahudi ni wakimbizi pale sio kwao sasa pia watuambie ni wakimbizi kutoka nchi gani kwa sababu mkimbizi ana sehemu yake ya asili alikotokea
 
Uvamizi huu naona unapewa baraka na nchi nyingi za Magharibi, mfano Marekani ambaye yupo tayari hata kutuma ndege za kivita kupeleka huko Gaza.

Kweli ukikosa nguvu umekosa mengi, hautapata unachostahili bali kile kilichobakia, muda huu wa Palestina wanafukuzwa kwao na kufumuliwa makombora.

Maybe Heaven is asleep!
Marekani nao si walivamia hapo walipo na kuwaangamiza Wahindi wekundu kibao!!
 
Mpaka Kipindi Dola la Urumi linatawala Dunia Ufalme wa kaskazini wa Israel ulikuwa umevurugika kutokana na Uvamizi kutokea Syria.

Hivyo kukawa na muingiliano mkubwa sana na jamii jirani ndipo ikazaliwa Samaria

Kutokomea kabisa kwa jina Kingdom of Judea ambao ni ufalme wa Israel kusini, kulitokana na uasi wa mwisho wa Simion Bar koba Ndio ukapelekea Wayahudi kuchukuliwa utumwa na kuvunjwa kwa Hekalu, Rumi akiwa superpower Ndio akabadili eneo kihistoria pakaitwa philistine.

Ndio Wayahudi wengi walihamia Ulaya wengine Arabia ambao wengi walihama au kuuliwa na muhasisi wa Dini ya Amani waliokimbia wakaenda Yemen, na wachache wakahamia Afrika Yaani Ethiopia.
 
Wewe mbumbumbu kama kusoma hujui hata picha huoni? Ule msikiti mliojenga juu ya synagogi la Suleiman mkauita Al aqsa ni ulijengwa na nani? kama hujui historia muulize ustadh wako hapo masjid
Mkuu hakuna ushahidi wowote wakisayansi unasupport hoja kuwa pale kwenye msikiti wa Al Aqsa kulikuwa na Hekalu la Suleiman ila inasemekana tu kuwa pale kulikuwa na hicho kitu na sio Synagogi ni Hekalu.
 
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.


Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Kwa historia ya kale, Palestina alivamia historia ya Israel. Kwa historia ya juzi, Israel anapambana kurudi kwenye ardhi yake
 
Mkuu hakuna ushahidi wowote wakisayansi unasupport hoja kuwa pale kwenye msikiti wa Al Aqsa kulikuwa na Hekalu la Suleiman ila inasemekana tu kuwa pale kulikuwa na hicho kitu na sio Synagogi ni Hekalu.
mkuu hoja kubwa ilikuwa ni ku establish hilo eneo linalogombaniwa.

Nakubaliana na wewe kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi isipokuwa masimulizi. Je kuna ushahidi wowote hilo Taifa la Palestina lilikuwepo hiyo miaka 2000 nyuma?
 
Ukienda kwenye dini au bila dini Palestine ndio wenye haki, kwenye dini hio ardhi ilijulikana kama ya watu wenye asili ya Canaanites ambao ni watu wa pale ni Lebanon, Jordan, Palestine na part ya Syria wa Israel wala hawana hata asili ya Canaanites wanajaribu kufake kama walivyo fake kujiita waIsrael. Hata Qur'an inawatofautisha kati ya Wayahudi.na Watoto wa Yakobo. Qur'an ina waita Bani Israel lakini Wayahudi inawaita Yahudi.

Ukienda kwenye nje ya dini Wapalestine walikuwepo hapo kabla ya hao Wayahudi ambao wanajiita Waisrael walivyo kuwa wizi wa history hawa.

Unajua Wakanaani sio waarabu Wala siô Waisrael?
Wakanaani ni jamii Kutoka Kwa Hamu( Hamites ) àmbao kiasili ni Watu weusi(wanjano) kama Wamisri.
Hilo Eneo kuanzia Kanaani(Palestine) kurudi chini Moja misri siô maeneo ya Waarabu Bali jamii ya Hamites.

Hivyo waarabu na Wayahudi wamevamia maeneo ya Hamites
 
watusaidie
Pale ni Israel milele yote,yesu mnazareti alizaliwa hapo,vizazi vyote tangia ibrahimu pale ni kwao,nashanga etii Jerusalem ipo anataka iwe mji wao mkuu,Yani Jerusalem itakuwaje palestina?inawezakanaje Leo ,Israeli ipo kwao.....
 
Bible tena? Unadonoa vinavyokupendeza; au sio?
Sio Bible tu hata historia inaonyesha eneo lililoitwa philistia ndio linaitwa Palestine ya sasa hasa baada ya Greek empire kuamka.

Then Bible ndio unayoamini so lazima evidence nitoe huko. Mfano mwingine fungua Bible yako page ya mwisho kabisa
20240410_143619.jpg
 
Back
Top Bottom