Cecil J JF-Expert Member Joined Oct 12, 2023 Posts 434 Reaction score 1,024 Oct 24, 2024 Thread starter #301 J boya frani said: Nchi ilishagawanywa miaka mingi na mipaka ilishawekwa ugomvi unaoendelea ni kutokana na upande mmoja kuvuka mipaka na kukalia ardhi ya mwenzie kimabavu Click to expand... Ni nani, kati ya Israel na Palestina anayekalia ardhi ya mwenzie kimabavu?
J boya frani said: Nchi ilishagawanywa miaka mingi na mipaka ilishawekwa ugomvi unaoendelea ni kutokana na upande mmoja kuvuka mipaka na kukalia ardhi ya mwenzie kimabavu Click to expand... Ni nani, kati ya Israel na Palestina anayekalia ardhi ya mwenzie kimabavu?
modavid JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 705 Reaction score 628 Oct 24, 2024 #302 Bulamba said: Nini suluhisgo la mzozo huu?? Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja. Wawe naserikali ya umoja Click to expand... Hapo ndio watakua kama wahutu na watutsi kwetu Rwanda. Watareta genocide na kibaya zaidi wanazidiana nguvu na maarifa.
Bulamba said: Nini suluhisgo la mzozo huu?? Binafsi naona bora wangeungana ikawa nchi moja. Wawe naserikali ya umoja Click to expand... Hapo ndio watakua kama wahutu na watutsi kwetu Rwanda. Watareta genocide na kibaya zaidi wanazidiana nguvu na maarifa.
J J boya frani Member Joined Aug 18, 2024 Posts 5 Reaction score 1 Oct 25, 2024 #303 Detleff said: Ni nani, kati ya Israel na Palestina anayekalia ardhi ya mwenzie kimabavu? Click to expand... Tukirejea mkataba wa UN, Israel ndiyo iliyovuka mpaka kuingia katika ardhi ya Palestina ila tukiweka udini tutamuona Israel yupo sahihi
Detleff said: Ni nani, kati ya Israel na Palestina anayekalia ardhi ya mwenzie kimabavu? Click to expand... Tukirejea mkataba wa UN, Israel ndiyo iliyovuka mpaka kuingia katika ardhi ya Palestina ila tukiweka udini tutamuona Israel yupo sahihi