Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

Kuna watakaoanzia pale jews sababu iliyowafanya wakimbie jerusalem na kusambaa huko ulaya.
Ubaya wa historia ya mgogoro huu ni kwamba watu wanaanzia pale wanapoona pataunga mkono madai yao.
One thing mimi kama mimi nachopinga, ikiwa wangoni zama hizi hawawezi kurudi s.a kudai eneo lao, why jews walipewa exclusive ya kufanya hivyo in modern times wakati zama za kuhama hama hovyo tayari zimekwisha?
Kwanza wanadai ni eneo lak kwa misingi hipi ikiwa huyo ambaye wanasema alipewa na huyo Mungu wao nae alipoambiwa aende huko na Mungu wake alikuta watu wanaishi?

Hivi inaingia akilini kweli mtu aje na kitabu chake anachoita kitakatifu akuambie Mungu wangu kaniambia hapa nipishe ni mali yangu?
 
Embu elewa wewe kenge! Nimekuambia hakukuwahi kuwa na eneo likiitwa Israel mashariki ya kati toka Abraham anafika toka Mesopotamia mpaka Herode mkubwa anatawala Yudea.

Kulikuwa na Herode mkubwa alianza kutawala Yudea 37 - 4 Kabla ya kristo

Kulikuwa na Pilato alitawala Yudea badae na akaja Herode mdogo ambaye yeye alikuwa mtoto wa Herode mkubwa Galilaya.
Kumbe tatizo ni hilo jina Israel,
Chukulia kama vile ilivyokuwa East Africa Protectorate baadaye Tanganyika, Kenya, Uganda na baadaye Tanzania pia.
 
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
Historia ya hilo eneo ipo kwa sehemu kubwa sana kwenye Biblia na kusema hivi sina maana ya kuipendelea dini fulani lakini ndo ukweli unaowezwa kuthibitishwa na sources zingine zisizo za kidini.

Kuna uzi hapa JF ulielezea kwa kina historia ya hili eneo lakini kifupi ni hivi;

1) Kisiasa au kibinadamu Mpalestina ana haki juu ya eneo lile

2) Kiroho mwenye haki ni Mwisraeli

3) Mwisraeli ndo alikuwa wa kwanza kuingia eneo lile akiwatoa wenyeji waliokuwapo kwa maelekezo ya Mungu wa Biblia

4) Waliokuwa wanaitwa wafilisti zamani zinazotajwa na Biblia, asili yao ni nchi ya Ugiriki na hawa jamii yao ilifutika duniani. (sources zingine zinasema walipigwa na Babylon na dola zingine, na wachache waliobaki iliwalazimu kuchanganyikana na jamii kubwa zilizokuwepo)

5. Israeli walikuwa taifa moja kwa wafalme watatu, SAULI, DAUDI & SULEIMAN. Baada ya kugawanyika kuwa mataifa mawili waliendelea kuwa na falme zao kwa muda mrefu.

6. Manabii wakubwa kwenye Biblia, Isaya, Yeremia, Ezekieli na wengine walitabiri taifa la Israeli kurudi katika nchi yao. Unabii huu uliotolewa katika vipindi tofauti na wakati mwingine kabla hata hawafukuzwa kutoka hiyo nchi.

7. Hitimisho langu watu waendelee kutumia sheria za kimataifa na siasa zetu kujaribu kutoa haki lakini kama kweli Israeli wako hapo sasa hivi kwa mpango wa Mungu basi hakuna wa kumtoa hata ulimwengu wote uinuke kinyume chake.
 
Kumbe tatizo ni hilo jina Israel,
Chukulia kama vile ilivyokuwa East Africa Protectorate baadaye Tanganyika, Kenya, Uganda na baadaye Tanzania pia.
Kwani Wayahudi walitokea wapi kabla hawajafika Kanaani? Si Abraham alitoka Mesopotamia au? Na Kanaani si alikuta watu wakihishi au? Ao au watu hawakuwa na haki ya kumiliki ilo eneo? Na kama Abraham hakuwa myahudi huu uyahudi ulitoka wapi?
 
Kwani miaka 3000 iliyopita kulingana na historia Jerusalem ilikuwa mji mkuu wa taifa gani? Au tuseme suleiman Temple huyo Suleiman alikuwa kiongozi wa Taifa kulingana na history na iko wapi leo?
Jerusalem haijawai kuwepo as relation to bible/quran au dini yoyote.

Baada ya hawa majambazi(waisrael feki) kuona Historia&sayansi itawafunga kuwa hawahusiki na umiliki wa ardhi wakaamua kutumia ushahidi wa kusadikika ambao wengi wanauamini, yaani masimulizi ya watu wa kale kuwa walikua babu zao na ndio waliwapa iyo ardhi, kitu ambacho kiuhalisia, kisayansi, kijiografia na kihistoria hakisapoti na hakuna mahala popoote utakapopata ushahidi wa uwepo wa hao babu zao na Bible's characters kama akina ibrahimu, Yakobo, akina suleiman hawa wote ni fiction characters hawajawai kuwepo ktk hiyo ardhi na hata uwepo wao mahala popote duniani haupo na hatokuwepo.

hivyo basi wazungu na hao waisrael feki wanatumia mbinu hii ya dini kuwahadaa watu waamini maana ndio njia pekee ya wao kusurvive hapo, bila kisingizio cha dini hao waisrael feki wangeshaondolewa mapema sana maana, idadi kubwa ya watu wanaosapoti uvamizi wa hao fake Jews wanatumia hisia na imani zao za kidini zilizowaaminisha kuwa iyo ni ardhi teule ya mitume sijui na vitu gani huko, ndiomaana wanapata sapoti kubwa ulimwenguni, na hata kuna wanaojaribu kupinga uvamizi huu lkn wakifikili kuhusu maandiko ya biblia wanajikuta kubaki njia panda ama kusapoti.

Back to history hao wayahudi feki hawana ushahidi wa uwepo mahala hapo, kama nilivyosema historia inaweza kutaja maelfu ya watu walioishi maelfu ya miaka lkn kwanini hakuna ushahidi wa mtu yeyote ktk biblia aliyewai kuishi hapo middle east, au basi hata makaburi hakuna wala mabaki na michoro hakuna, zaidi zaidi utaambulia nakala feki ambazo zimeundwa juzi tu na magofu ya uongo ambayo yametengenezwa kusapoti uongo, mfano wa kaburi la yesu ambalo limeundwa na wala huyo yesu hajawai kuishi hapo israel na wala hakuwai na hatowai kuhusika na iyo ardhi.

Jamani kuna mambo ya msingi ili upate majibu ni lazima utumie njia nyepesi tu ambayo inamake sense,

Ni sawa na leo hii waTanzania tuivamie China ambayo hatuhusiki nayo kihistoria,kijiografia wala kisayansi then tuaminishe ni ardhi yetu kupitia maandiko ambayo tudai kuwa yaliyoka kwa babu zetu walioishi hapo, hii ni njia pekee ya kuteka hisia za watu wakuamini maana njia halali ya historia haiwezi kusapoti huu ujinga na hata DNA hazisapoti huu ujinga, je hao waisrael wenu wa uongo wanasapoti ya ibrahimu kihistoria na kisayansi kuprove huyo jamaa aliwai kuishi hapo?

The same kwa Afrika kama kuna ushahidi wa uwepo wa mababu wa kifalao walioishi zaidi ya miaka 5000 B.C je kwanini hakuna ushahidi wa kihistoria na kisayansi kuhusu uwepo wa akina yesu, na mitume wake hapo middle east ambapo hawa hawazidi hata nusu ya miaka ya mafalao walioishi zamani lkn ushahidi wao upo mpaka sasa,

Walokole na wapumbavu wengine mnaoamini kwenye dini amkeni mnachezewa akili.
 
Mkuu kwanini uanzie karne ya 12 wakati ukirudi nyuma kuna viashiria kwamba hilo eneo lilikuwa la israel. mfano utawala wa mfalme Daud na kisha mtoto wake mfalme Suleiman alijenga had hekalu maeneo hayo utasemaje kwamba hapo sio kwao hao Israel?

Tupe vielelezo vya hilo dola la Palestina kama lilikuwepo awali na wafalme wake waliitwaje na kama kuna vielelezo kama hapo juu.
Acha stori za kusadikika, huyo Daudi hajawai kuwepo, leta machapisho na nakala zinazoonesha kuna jamaa wa aina hiyo aliisho middle east, mnatumia biblia kama ushahidi wakati kitabu chenyewe tu kina mikanganyiko, yaan kitabu kilichoandikwa na huyo huyo mvamizi akajipendelea na kujitukuza, then utegemee kitabu hicho kisimpe favour?

Wafia dini akili hamtumii
 
Unajua kuwa Waisrael wengi wanatokea Iraq, Yemen na Northern Africa
Lkn hao waisrael wenu mbona wanamikanganyiko??

Iko hivi, jamii yoyote duniani ni lazima sio ombi, ni lazima iache mabaki yake(DNA) zao kwa majirani wanaowazunguka ambao lazima wanamifanano na miingiliano ya tamaduni, mila, desturi, historia mpaka mifanano ya miili, lkn why hao waisrael wenu hawana hata robo ya hizi sifa??😀😀😀.

Siku mkiamka na kuacha kutumia hisia mtagundua kuwa mmedanganywa sana, mmedanganywa mengi na mkikaza ubongo mtaendelea kudanganywa na kufanywa makondoo ya hao wanaotawala akili zenu.
 
U
Unamaanisha kuna wa Israelo og tofauti na hao wanao pigana na hamas!?
Kwa mujibu wa Biblia inasema kuna Israel wa uongo! Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika wayahudi wa asili hawana nguvu wal ushawishi ila wale mashkenazi wakina Netanyahu ndiyo wenye nguvu.
Swali muhimu hapa!

Israel ni nini?
 
Mimi huwa nawaza kama wewe kinachoendelea pale ni Gombania Goli ukitaka kuamini hilo mbona kuna mataifa yamelowea kwenye Mataifa mengine na hakuna ugomvi wanaishi poa tu, Nenda Marekani au nenda South hapo ukaone mifano mizuli tu
Kama ingetumika demokrasia na haki hao wote waarabu na waisrael feki wangetakiwa kufukuzwa hapo maana nao walivamia

hiyo ardhi ni mali ya mtu mweusi aliyeishi kabla ya ujio wa hao watu weupe, kama baadhi ya sehemu za afrika zilizovamiwa na hao wazungu&waarabu hata iyo palestina ilifanywa hivyo, so ili kutoenda mbali sana na kutopoteza muda ardhi ilitoka kwa watu weusi ambao walitawala afrika nzima ,mpaka huko misri ambako waarabu wamechukua na Asia nzima ya mtu mweusi, lkn kwa sasa ili kuwasaidia hao wavamizi wawili mpalestina na muisrael feki, utaangalia ni nani mvamizi aliyemuwai mwenzie baada ya mmiliki halali kuondoshwa? Jibu ni moja mvamizi anayetakiwa kumiliki ni mpalestina ambaye ndie anapaswa maana ndie aliyemrithi muafrika na hata, sapoti ya kihistoria,kisayansi na kijiografia inampa points za kuwepo hapo na sio hayo majambazi ya Ulaya(fake jews) yaliyojipa historia isiyowahusu
 
Jerusalem haijawai kuwepo as relation to bible/quran au dini yoyote.

Baada ya hawa majambazi(waisrael feki) kuona Historia&sayansi itawafunga kuwa hawahusiki na umiliki wa ardhi wakaamua kutumia ushahidi wa kusadikika ambao wengi wanauamini, yaani masimulizi ya watu wa kale kuwa walikua babu zao na ndio waliwapa iyo ardhi, kitu ambacho kiuhalisia, kisayansi, kijiografia na kihistoria hakisapoti na hakuna mahala popoote utakapopata ushahidi wa uwepo wa hao babu zao na Bible's characters kama akina ibrahimu, Yakobo, akina suleiman hawa wote ni fiction characters hawajawai kuwepo ktk hiyo ardhi na hata uwepo wao mahala popote duniani haupo na hatokuwepo.

hivyo basi wazungu na hao waisrael feki wanatumia mbinu hii ya dini kuwahadaa watu waamini maana ndio njia pekee ya wao kusurvive hapo, bila kisingizio cha dini hao waisrael feki wangeshaondolewa mapema sana maana, idadi kubwa ya watu wanaosapoti uvamizi wa hao fake Jews wanatumia hisia na imani zao za kidini zilizowaaminisha kuwa iyo ni ardhi teule ya mitume sijui na vitu gani huko, ndiomaana wanapata sapoti kubwa ulimwenguni, na hata kuna wanaojaribu kupinga uvamizi huu lkn wakifikili kuhusu maandiko ya biblia wanajikuta kubaki njia panda ama kusapoti.

Back to history hao wayahudi feki hawana ushahidi wa uwepo mahala hapo, kama nilivyosema historia inaweza kutaja maelfu ya watu walioishi maelfu ya miaka lkn kwanini hakuna ushahidi wa mtu yeyote ktk biblia aliyewai kuishi hapo middle east, au basi hata makaburi hakuna wala mabaki na michoro hakuna, zaidi zaidi utaambulia nakala feki ambazo zimeundwa juzi tu na magofu ya uongo ambayo yametengenezwa kusapoti uongo, mfano wa kaburi la yesu ambalo limeundwa na wala huyo yesu hajawai kuishi hapo israel na wala hakuwai na hatowai kuhusika na iyo ardhi.

Jamani kuna mambo ya msingi ili upate majibu ni lazima utumie njia nyepesi tu ambayo inamake sense,

Ni sawa na leo hii waTanzania tuivamie China ambayo hatuhusiki nayo kihistoria,kijiografia wala kisayansi then tuaminishe ni ardhi yetu kupitia maandiko ambayo tudai kuwa yaliyoka kwa babu zetu walioishi hapo, hii ni njia pekee ya kuteka hisia za watu wakuamini maana njia halali ya historia haiwezi kusapoti huu ujinga na hata DNA hazisapoti huu ujinga, je hao waisrael wenu wa uongo wanasapoti ya ibrahimu kihistoria na kisayansi kuprove huyo jamaa aliwai kuishi hapo?

The same kwa Afrika kama kuna ushahidi wa uwepo wa mababu wa kifalao walioishi zaidi ya miaka 5000 B.C je kwanini hakuna ushahidi wa kihistoria na kisayansi kuhusu uwepo wa akina yesu, na mitume wake hapo middle east ambapo hawa hawazidi hata nusu ya miaka ya mafalao walioishi zamani lkn ushahidi wao upo mpaka sasa,

Walokole na wapumbavu wengine mnaoamini kwenye dini amkeni mnachezewa akili.
Samahani mkuu"Ugm bin Champion" hivi unamaanisha kuna waisrael og tafauti na hao tuwajua!? na je wako wap!?...kama historia zao fake Israel kama unavosema wew je hao waisrael walitokea wapi mpaka kuivamia Palestina!?...Je kipi cha maana kilicho wavutia huko palestuna mpaka wasiende Jordan,Lebanon,Saudia,Syria n.k je ni gold,diamond,mafuta!?.Hivi historia ya neno waisrael na wayahud kama ambavyo pia umelitumia kwenye post yako ilianzaje na wap!?
 
Palestina ni kitu gani?

Tuanzie hapa alafu yatafuata mengine.
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.

Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu yoyote aliye na uelewe wa haya mambo anaombwa achangie.
 
Au
Kwa mujibu wa Biblia inasema kuna Israel wa uongo! Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika wayahudi wa asili hawana nguvu wal ushawishi ila wale mashkenazi wakina Netanyahu ndiyo wenye nguvu.
Swali muhimu hapa!

Israel ni nini?
Kama usemacho nikweli basi je chanzo chako hicho tukiamini au tusikiamini kama ambavyo usivyo amini chanzo kinacho aminika na wengi kwa sasa!?
 
Mwambie atuonyeshe Solomon's templet kama kweli anaweza afu huyu anaonyesha hata Uislam haujui hakuna Mitume walio kuwa sio Waislam.

Uislam unasema Nabii Sulaiman aliu rebuilt Masjid Al Aqsa with the help of the natives ye anasema Solomon's templet 😄
Mada iliyopo hapa hausiani na dini ya uislam. Kama unawabishia hao Mashekhe, tufahamishe kabila ama ukoo wa nabii Suleiman
 
Samahani mkuu"Ugm bin Champion" hivi unamaanisha kuna waisrael og tafauti na hao tuwajua!? na je wako wap!?...kama historia zao fake Israel kama unavosema wew je hao waisrael walitokea wapi mpaka kuivamia Palestina!?...Je kipi cha maana kilicho wavutia huko palestuna mpaka wasiende Jordan,Lebanon,Saudia,Syria n.k je ni gold,diamond,mafuta!?.Hivi historia ya neno waisrael na wayahud kama ambavyo pia umelitumia kwenye post yako ilianzaje na wap!?
Jibu ni moja tu, kama mmiliki halali ni mtu mweusi, maana yake ndiye muisrael wa kweli na ndiye aliyetakiwa kutukuzwa na mataifa yote duniani, na hiyo israel wanayodai ipo middle east, ni uzushi tu,

Ardhi takatifu ni Afrika nzima ambayo wanaing'ang'ania mpaka leo waitawale.

Jiulize ktk biblia na kiuahisia, ni nani aliyewekwa utumwani? ni taifa lipi lililosambaa dunia nzima?, ni taifa la race ipi ambalo limeonewa sana? Jibu ni taifa la mtu mweusi, ndilo lenye haki ya kuitwa myahudi na sio hao wazungu na waarabu.

Kama waafrika tungewekeza muda wetu kusoma mambo ya msingi tungeamka mapema sana, haya mambo yako wazi sana mbona hata hao wazungu wenyewe wanajua Israel ya kweli ni Afrika na waafrika, lkn sisi wafrika bado tunajazana imani za kipuuzi makanisan na misikitini kuabudu uongo na kuchukiana sisi kwa sisi.

Sasa kama mwamba wao Putin mwenyewe tena mtu mwenye influence dunia nzima anayejua siri nyingi dunian, anakubali haya mambo kuhusu real African history, sasa mbona hizi kondoo zetu makanisani na misikitini zinabaki kupinga na elimu zao za madrasa/sunday school.

Screenshot_20241021_005156_Opera Mini.jpgScreenshot_20241021_005145_Opera Mini.jpgScreenshot_20241021_005132_Opera Mini.jpgScreenshot_20241021_005156_Opera Mini.jpg
 
Misri pale wanaojua waulizwe.

Ibrahim inasemekana naye aliingia tu pale akitokea Iraq ya kale, alikaribishwa na wenyeji na kuuziwa eneo.

Unawezakuta hawa ndugu zao ni waajemi kule tekhran au hata Afghanistan..
 
SHIDA NI KWAMBA KILA MTU ANANUKUUaa MAANDIKO YA EITHER QURAN AU BIBLIA, hapo unakuwa umetoka nje ya mada!
Sioni ubaya wa kunukuu Quran au Biblia. kwani vitabu hivyo vimehifadhi baadhi ya ushahidi wa historia ya hayo mambo unayotafuta ukweli wake na sidhani kama utapata majibu yanayojitosheleza pasipo historia.
 
Samahani mkuu"Ugm bin Champion" hivi unamaanisha kuna waisrael og tafauti na hao tuwajua!? na je wako wap!?...kama historia zao fake Israel kama unavosema wew je hao waisrael walitokea wapi mpaka kuivamia Palestina!?...Je kipi cha maana kilicho wavutia huko palestuna mpaka wasiende Jordan,Lebanon,Saudia,Syria n.k je ni gold,diamond,mafuta!?.Hivi historia ya neno waisrael na wayahud kama ambavyo pia umelitumia kwenye post yako ilianzaje na wap!?
Hapo middle east hakuna cha maana wanachong'ang'ania zaidi ya kupata nguvu ya umiliki wa mafuta ambayo wanaitumia kucontrol muenendo wa uchumi wa dunia na nguvu ya USD DOLLAR, pia kulemaza ushawishi wa maadui zao hasa Iran kwa sasa, tatu baada ya kushindwa kuivamia Uganda na kuifanya israel yao walikimbilia huko jangwani, ndiomaana hawatowai kupata amani mpaka warudi ulaya ambako ndiko kwao.
 
Dawa

Sawa ngoja a tuone kama watarudi kwao siku za usoni
 
Back
Top Bottom