Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Kusini kuchele

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
129
Reaction score
733
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
 
Amejenga miondombinu gani??
 
Naunga mkono mama anaupiga mwingi ndio maana rushwa kila kona. Ata wewe hapo uliepost unakula rushwa kwa kwenda mbele. Mambo safi kabisa
 
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 Takataka kabisa
 
Nchi haikufa kipindi baba wa Taifa alipotutoka,Ike kufa leo?
 
😀😀😀 baada yakuleta uzi wakuliwa kimasihara huko kwa Putin naona umerudi kuwashika kidevu machawa
 
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
Tatizo unawaza mambo kwa kutumia matako na si kichwa
 
Attachments

  • Screenshot_20260724_123543.jpg
    Screenshot_20260724_123543.jpg
    200.3 KB · Views: 15
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
well done gentleman,

umeeleza ukweli mtupu kuhusu mtu muhimu na wa kipekee sana kuwahi kutokea Tanzania, nae ni Dr Samia Suluhu Hassan.

Mungu ambariki sana huyu mama 🌹
 
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
Kuna mawili; kama siyo CHAWA wake, basi ni Mlamba asali.
 
Back
Top Bottom