Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Huwa sipendi siasa na sina upande wowote wa kuwa nao. Ila andiko lako limefanya nitamani kukutusi ila nimeona kila tusi nitakuwa nikikupendelea si kukudhalilisha.

Mwishowe nikakumbuka kutukana watu si desturi yangu nitulize hasira, nikaamua kuandika hii comment kueleza hali hii
 
Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana

Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana Reli,Barabara,ajira,uchumi umeimalika pesa zipo tele sana huku mtaani na pia Rais samia ameweza kutokomeza umasikini watu wanapata pesa bila hata shida.Hiyu ndiyo Rais samia kipenzi cha wanyonge kipenzi cha wote

Mama anaupiga mwingi sana na haitokuja kutokea wala kumpata Rais bora nchi kumzidi Rais samia..
Hata unayemaifia AMEKUSHANGAA
 
Back
Top Bottom