Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

Akijifanya nunda this time around,atarudi kuozea huko.
 
ALITOKA MANDELA NA HAKUOZEA JELA ITAKUWA MBOWE? ACHA CHUKI NA ROHO MBAYA
 
Maamuzi haya ya mahakama yameonesha mahakama Sio huru
Hakika,bora ingeendelea wajitetee.
Kuifuta kesi ikiwa hatua yakusema wanakesi yakujibu mahakamani naona hadhi imeshushwa kimhimili
 
Tuna wasi wasi na Uzima wa akili yako. Huyo jaji wako alimpata na hatia ipi? Alikuja kukusomea wewe nyumbani kwako ushahidi ulimtia hatiani? Unakurupuka kuongea unafiki eti Mbowe kaka huku unatamani angefungwa!
Hakuna asiyejua mamlaka aliyonayo Rais kweli angeweza kumuacha aozee jela halafu yeye apate Nini? Ukiwa Rais unatoka kwenye ubinadamu, unafikiri yeye alikuwa hajui hii kesi ni ya kupikwa.
 
Anajidai yuko tayari kufa kwa kile anachokiamini. Anachokiamini yeye eti ni demokrasia ya kiliberali. Ile demokrasia ya uhuru hadi ya ndoa za jinsia moja. Halafu huku afrika wanafikiri ni kupinga kila kitu na kupiga domo tu. Nchi inajaa upigaji tu na kuingiliwa na majasusi.
Mbowe ajue nchi hii ni ya kijamaa kwenye katiba. Kama nikufa kwa hicho anachoamini bora ajinyonge mwenyewe.
Tanzania ni nchi ya amani ila akilazimisha kufa huenda akapotezwa.
 
Uwendawazimu huwa unaanza kama hivi ulivyoanza. Ni vema ukawaomba ndugu zako wakusindikize Mirembe ili upate vipimo vinavyohusu afya ya akili.
Tulishawaambia Sana hawa watu kuwa mwisho wa kesi hii utakujakuondoka na baadhi ya watu. Hivi sasa wanahaha kutafuta pakujishika.

Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
 
Hivi masikini kapuku wa akili kama wewe ndio wa kumtisha Jabali Mbowe ? Nani kakudanganya ?
 
Leo haihai kwa Joyce Mukya hata aibu hayana MACHADEMA ya hovyo kweli. Mbowe akatulize ujinga chini. Mara ya pili Rais anamhurumia mwanzo kwa Chacha Wangwe yaani angeoza halafu sasa hii. Atulize kichaa chini. Povu ruxaa

Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
 
wewe ni mme au mke?
 
Sawa Kajura mpiga ramli chonganishi tumekusikia, Mbowe yuko huru kajinyonge!
 
Umejitwisha dhambi kwa kutetea uovu. Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
👀
 
Na kwako atakuja pata mabao matatu na kumnyonya dudu lake ili ufurahi zaidi.
naona unaeleza jinsi unavyo fanywa, makalio yako yanakuwasha ehe? Sphincter zimelegea unahara hara
 
Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).
Uzuri wa JF hata wajinga wana fursa ya kuonyesha ujinga wao hadharani.

Huyu mjinga anaonyesha ujinga wake eti kukutwa na Kesi ya kujibu ni kukutwa na hatia.

Asante kutuonesha ujinga wako.
 
Wewe mjinga.

Ni uongo na unajua kabisa kuwa unadanganya kwa ujinga wa kutojua...

Hakuna sheria inayompa mamlaka Rais kutoa masamaha kwa mtu ambaye hajatiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kifungo jela na mahakama

Kina Mbowe shauri lao lilikuwa bado linaendelea mahakamani. Walikuwa hajakutwa na hatia wala kuhukumiwa kifungo jela...!!

Mbowe na wenzake wamefutiwa mashitaka kwa sababu aliyekuwa anawashitaki ame - surrender mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe...!! Ushahidi Wa mchongo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…