Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria




Inaelekeaupokwenye red days
 
Wahenga wa Kati (si zamani sana) walinena "Siasa ni mchezo mchafu"

Yaani wanakutengenezea kosa harafu wanakusamehe na wewe unawasifia harafu wanakutumia

Hashtag Mbowe siyo Gaidi
 
Hauna marinda utafanya nini wewe mtoto siyo rizki. Samahani sizibui mitaro, tafuta mtu mwingine
Nimekwambia hayo ya marinda unayajua wewe kwasababu umeshazoea kufanywa ninachokitaka nimfanye mke wako na wewe pia.
 
Nimekwambia hayo ya marinda unayajua wewe kwasababu umeshazoea kufanywa ninachokitaka nimfanye mke wako na wewe pia.
wewe ni mchele mchele, umeolewa Mombasa, tulia na mumeo, mtaro umelegea huo, ndembe ndembe
 
Siasa zenye tija sasa hivi ni kuipata #KATIBA MPYA na kazi inaendelea. Tuondoe mamlaka ya watawala kuwaweka ndani watu wasio upande wao na kuwatoa wakitaka. Ili haki na sheria zisimame zenyewe kuamua badala upendeleo na maagizo ya watu. Kuwa na wazo mbadala si kukiuka sheria wala kutotii mamlaka.
 
Na bila Maza, Mbowe asingekaa gerezani kwa kesi ya Mchongo.
 
Mama ameupiga mwingi tena kwa Mbowe na CHADEMA yote
 
Tumia ubongo uliopewa bure. Bila Samia, Mbowe angekwendaje jela?
 
Umetumwa kuandika Gazeti?
Si ameshatoka sasa uduwanzi wa nini?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…