Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

tekinolojiaya mzungu au pamoja naya muafrika
 
Saa nyingine tukubali tu hatuwezi kuwa sawa. Tunaweza tu wote kumudu basic needs lakini haiwezekani wote tuwe matajiri. Kusema kwamba ili uwe tajiri lazima uwe mafia ni ukosefu wa akili unaosababishwa na wivu. Siku hizi vijana wadogo chini ya miaka 25 wanakuwa mamilionea kwa kuwa tu wabunifu kibiashara bila hata huo 'umafia'...
 
Well said.....halafu mwanasiasa mmoja tu yuko serikalini anakuja na hoja ya fursa ni nyingi na utajiri uko nje nje nendeni mkajiajiri....ngeke mkubwa.
 
Well said.....halafu mwanasiasa mmoja tu yuko serikalini anakuja na hoja ya fursa ni nyingi na utajiri uko nje nje nendeni mkajiajiri....ngeke mkubwa.
Kulalamika sio njia ya kutoka hapo ulipo hata hao wanasaisa hawajui chochote kuhusu Mafanikio that is way wamo wanagombania vyeo vidogo Kama ubunge na urais
 
huyo mwaba kanizidi parefu,.🙌🙌😂😂
 
So sasahv ww ni mafioso!?
 
Tupe hiyo formula imeandikwa katika aya ipi ya kitabu cha mtume!?
 
Mbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.


Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
Kijana acha kusikiliza maneno ya google na kuambiwa,achana kabisa na Mark zuck na Elon 😀😀Kawaulize wamarekani kuhusu mark watakwambia alivyo mafia vitu vingi anavyomiliki ni copy ya vitu vya wenzake nikupe kimoja tu thread ni copy ya twitter, Facebook ni aliwadhurumu washikaji zake,twende Kwa Elon ana space X ambayo NASA wanaitegemea na Hela za ruzuku muda wowote anapewa na gavoo ya US we utashindana na Elon au UNALETA utani,kila utajiri una Siri kibao sio kama uyo bibi Faiza anadai anamjua bakhresa ni mtu mwema😀😀anajua wakina Nani wanashare pale bakhresa group?
 
Mark alikua anamiliki twitter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…