Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Naskia rostam alimiliki share za Voda Kwa mdomo tu hakutoa ata Tsh 100? Ukitaka deal lako la mabilioni litick hapa East africa au Tz we ongea na Rostam tu[emoji3][emoji3]
Hakutoa hata thumni? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Anasahau wazungu wanavyotufanyia umafiA kwenye migodi yetu na Mali asili zengne...
 
Kampuni gani ilijaribu kuleta halafu ikazama mkuu
Au wamesahau kesi ya Mo na kleesoft ,Mo Naye ni mhuni kama wachina tu baada ya kuona kleesoft bongo wanapiga pesa akaibuka na clean soft , kleesoft wakasema aache utoto😀😀wakampeleka mahakamani akaamua asitishe mpango wake WA kimafia,tatizo wabongo wengi hawajui vitu Duniani vinavyokwenda
 
Tanzania mtoto WA mjini Naye mkubalie ni Rostam ata siku ya Ruto anaapishwa alikuwepo kwenye wageni rasmi baada ya hapo ukafuatia uzinduzi WA taifa gas Kenya,achana na iyo aliwaingiza Chaka wabongo kwenye share za Voda Kisha yeye akapiga pesa akauza share zake zote $500M akayeya akaenda kuinunua tigo zantel,na akaanzisha taifa gas,unaambiwa Rostam kawaweka kiganjani Marais WA Africa mashariki,umuonapo Rostam anashadadia tambua deal likitick ana parcent zake😀😀
 
Sema nachagua neno moja tuu kumtumika Mwenyenzi Mungu utajiri naona ushanitupa mkono so sjawahi na sitowahi kudhulumu bora nibaki masikini niione njia nyepesi wakati Wa kumrudia mola wangu
 
Mo janjajanja [emoji1787] [emoji1787]
 
Je mazingira ya bongo ni rafiki kwa wewe kuwa tajiri?

Maana nahakika mazingira ya bongo na mifumo ingekuwa kama ya ulaya huenda leo afeica ingekuwa kinara kwa mabilionea
Kwanini mazingira ya bongo sio rafiki?

Mbona wageni wengi wanakuja kufanikiwa hapa...

Kuna mzungu anasema ukiwa U.k hakuna fursa ambayo haijafanywa kiusahihi..hata ukienda na billions kutoboa sio rahisi..

Ila Tanzania/Africa kuna 1000 opportunities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…