Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Naskia rostam alimiliki share za Voda Kwa mdomo tu hakutoa ata Tsh 100? Ukitaka deal lako la mabilioni litick hapa East africa au Tz we ongea na Rostam tu[emoji3][emoji3]
Hakutoa hata thumni? [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kijana acha kusikiliza maneno ya google na kuambiwa,achana kabisa na Mark zuck na Elon [emoji3][emoji3]Kawaulize wamarekani kuhusu mark watakwambia alivyo mafia vitu vingi anavyomiliki ni copy ya vitu vya wenzake nikupe kimoja tu thread ni copy ya twitter, Facebook ni aliwadhurumu washikaji zake,twende Kwa Elon ana space X ambayo NASA wanaitegemea na Hela za ruzuku muda wowote anapewa na gavoo ya US we utashindana na Elon au UNALETA utani,kila utajiri una Siri kibao sio kama uyo bibi Faiza anadai anamjua bakhresa ni mtu mwema[emoji3][emoji3]anajua wakina Nani wanashare pale bakhresa group?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Hii kitu ipo dunia nzima. Shida neno la "umafia" lina relate sana na illegality; lakini ukilichukulia kama unfairness acts ndio utaona dunia nzima haya mambo yapo.

Juzi tu hapa Australia imekataa kuongeza route za Qatar airways nchini kwao bila sababu za msingi, hiyo move imekuwa engineered by Qantas Airways. Ndio umafia wenyewe. Tena wenzetu wako very aggressive and open. Facebook akishindwa kukunua ata-copy unachofanya ili kukumaliza.
Anasahau wazungu wanavyotufanyia umafiA kwenye migodi yetu na Mali asili zengne...
 
Kampuni gani ilijaribu kuleta halafu ikazama mkuu
Au wamesahau kesi ya Mo na kleesoft ,Mo Naye ni mhuni kama wachina tu baada ya kuona kleesoft bongo wanapiga pesa akaibuka na clean soft , kleesoft wakasema aache utoto😀😀wakampeleka mahakamani akaamua asitishe mpango wake WA kimafia,tatizo wabongo wengi hawajui vitu Duniani vinavyokwenda
 
Tanzania mtoto WA mjini Naye mkubalie ni Rostam ata siku ya Ruto anaapishwa alikuwepo kwenye wageni rasmi baada ya hapo ukafuatia uzinduzi WA taifa gas Kenya,achana na iyo aliwaingiza Chaka wabongo kwenye share za Voda Kisha yeye akapiga pesa akauza share zake zote $500M akayeya akaenda kuinunua tigo zantel,na akaanzisha taifa gas,unaambiwa Rostam kawaweka kiganjani Marais WA Africa mashariki,umuonapo Rostam anashadadia tambua deal likitick ana parcent zake😀😀
 
Sema nachagua neno moja tuu kumtumika Mwenyenzi Mungu utajiri naona ushanitupa mkono so sjawahi na sitowahi kudhulumu bora nibaki masikini niione njia nyepesi wakati Wa kumrudia mola wangu
 
Au wamesahau kesi ya Mo na kleesoft ,Mo Naye ni mhuni kama wachina tu baada ya kuona kleesoft bongo wanapiga pesa akaibuka na clean soft , kleesoft wakasema aache utoto[emoji3][emoji3]wakampeleka mahakamani akaamua asitishe mpango wake WA kimafia,tatizo wabongo wengi hawajui vitu Duniani vinavyokwenda
Mo janjajanja [emoji1787] [emoji1787]
 
Je mazingira ya bongo ni rafiki kwa wewe kuwa tajiri?

Maana nahakika mazingira ya bongo na mifumo ingekuwa kama ya ulaya huenda leo afeica ingekuwa kinara kwa mabilionea
Kwanini mazingira ya bongo sio rafiki?

Mbona wageni wengi wanakuja kufanikiwa hapa...

Kuna mzungu anasema ukiwa U.k hakuna fursa ambayo haijafanywa kiusahihi..hata ukienda na billions kutoboa sio rahisi..

Ila Tanzania/Africa kuna 1000 opportunities.
 
Back
Top Bottom