Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hii mbona naskia bahresa alishindwa akarudisha jina la watuHakuna mfanyabiashara anayetoka nje na kutangaza siri za mambo anayoyafanya. Labda nikupe kisa kimoja cha Bakhresa, alienda Rwanda akasili jina la "Azania" huku akijua kabisa kuwa hilo jina ni la mshindani wake hapa Tanzania. Azania Flour alipokwenda Rwanda kusajili akakuta tayari jina linamilikiwa na Bakhresa.
Huo ndio umafia wenyewe unaongelewa hapa
View attachment 2749719
Mipango ya Mungu au Shetani pia. Yesu alionyeshwa miliki yote ya dunia akisujudu tu! Lakin kwa upande wa Mungu pia lazima ufanye Kazi kubwa wewe ili vizaz vyako ndo vije kurithi mfano Daudi pamoja na kwamba ulikua ni Mapango wa Mungu lakini aliua ma elfu elfu kuweka njia sawa ndo kina warithi kina suleiman wanakuja kura raha na madem zake
graph,histograms,pie chart ..... Ideal for prompt DATA & TRENDS VISUALIZATIONKabisa mkuu....matajiri wanaishi maisha ya ajabu sana..yupo mmoja kula yake ni ya bei ya chini mno...haangalii TV hana starehe yeyote.......halafu anasoma sana...hajichanganyi na watu....akipewa mwaliko anatuma mwakilishi......T shirt zake na jeans zina miaka zaidi ya 10.....report za biashara zake anapenda kuziweka kwenye graph,histograms,pie chart etc.
Hawa wanatoka mkopo bila collateral auMashamba sasa hivi kibao na mikopo bwereree, nenda wizara ya kilimo au wapigie simu wakupe utaratibu.
Serikali inafanya bidii kuwawezesha nyie mnadanganyana hapa: Piga hii kwa kilimo: Tel: +255 733 800 200
We demu huna akili, si ukaangalie kesi mahakamani ipoHizo zote porojo za mitaani tu. Bakhresa jina lake lina kosa gani hata atumie jina la Azania?
Wacheni kudanganyana, fanyezi kazi kwa bidii, hakuna aliyezaliwa na mali na hakuna aneondoka na mali. Tumezzikuta na tunaziwacha hapa hapa.
Mbona mimi tajiri na sio mafia
Umafia ni nini?Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Hakuna biashara kubwa inayokosa kesi.We demu huna akili, si ukaangalie kesi mahakamani ipo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mmeanza walimwengu.Yeye si ana utajiri wa maagano? Tuachane na hao wenye miungu yao. Umesahau alivyomtoa mwanawe kafara kwenye mbio za magari?
Acha uongo. Twitter haijawahi kumilikiwa na Mark Zuckerberg.Ya kina mark Zuckerberg utayaona wapi wakati uko mbali nayo??? Tena huyo mark ndo usimzungumzie huyo ndo mafia wa mamafia,,, hata hyo Facebook halikua wazo lake kuna mtu alimpelekea hlo wazo amuundie hyo app ,,,,guess what happened next!!!
Haya hapa juz juz kauza twitter kwa elon musk afu kazindua mtandao mwngne ambao ni C&P ya twitter!!
Kuuza silaha kwa njia haramu, kumiliki madanguro , kusafirisha binadamu, wauaji wa kukodiwa, pesa bandia na mengine mengi. Kama una kigezo kimojawapo ujue wewe ni Mafioso.Umafia ni nini?
Acha uongo. Lete ushahidi kwamba Ortega ni drug dealer. Na Bill Gates aliupata vipi utajiri wake?Amancio Ortega ni bonge la drugs dealer.
Mbona hujawataja akina Bill Gates, Abrahamovich au sababu ushajua walipataje pataje utajiri wao?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Utajiri ni nini, na kuwekeza kwenye teknolojia, ipi hiyo? Utajiri hasa ni nini..kuwa na mali nyingi, pesa nyingi au happiness and peace, sielewiMpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Labda kama kuna kesi nyingine...ila hii alishinda.Hii mbona naskia bahresa alishindwa akarudisha jina la watu
maana yangu ni kwamba unapaswa kua katikati,siyo uwe mtetezi wake..Ukikutana na shetani ndiyo kila mtu shetani?
Huo umafia ni kwenye akili zenu, mnaongea kana kwamba Zuckerberg aliwawekea bunduki kichwani watu wa Whatsapp na kuwaambia wamuuzie app yao au la ...Umenena ukweli kabisa hasa hapo kwa facebook.
Kitendo cha kumnunua whatsapp ndio umafia wenyewe. Yaani hiyo ni mbadala wa kuua ila kisasa.
Ni sawa na kampuni ya bus ya Ally's akiamua kununua kampuni ya bus ya Katarama wakati wapo ruti moja ya Dar-Mwanza.
Huo ndio umafia wenyewe.
Sidhani kama mleta mada anamanisha wizi na utapeli mbona Kuna wezi na matepeli kibao na ni masikini badoMaskini ni tatizo kubwa. hayo mawazo mgando yanakuja ukiwa na njaa. njia za kumiliki hela halali zipo nyingi bila umafia.
Maskini akishafeli maisha huwa anaona kila mwenye hels ni tapeli.
Tafuta hela tu hayk mawazo mgando utayasahau
Au kanunua brand anailipia?. Mana naskia azania ni supplier mkubwa wa ngano afrika mashariki na kati kwa sasa na kama ni hivyo bahresa anauzia jina Hilo Rwanda tuLabda kama kuna kesi nyingine...ila hii alishinda.
Point ya mtoa mada ni kweli, biashara na roho ya Mama Theresa itakushinda; Labda usiwe mkubwa.
UKWEILI AMABAO HAUSEMWI WAZI.Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.