KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
zwazwa kweli wewe, unaamini hizo ngano..? toka huko haraka hicho kitabu nimesoma mara mbili nikaanza kuona kuna vitu havipo sawa na kweli ni upuuzi mtupu!.Soma vitabu vya dini utaelewa jambo, vitabu hivyo vinazungumzia uwepo wa Mwanaume kabla ya Mwanamke maana yake hapo kabla Mwanaume hakua na tofauti yoyote na CREATOR mpaka pale alipoletewa Mwanamke ndio tofauti zikajitokeza na baada ya tofauti hizo Mwanaume alifukuzwa sababu akufuata makatazo aliyopewa aliamua kumsikiliza Mwanamke balada ya kumsikiliza Creator wake alimkataza nini, km Mwanaume angegoma kula lile tunda alilokatazwa basi Wanaume wote tungekua paradiso huko sijui unaelewa?
hebu tokeni huko haraka mnatuabisha ndio maana hata fikra zenu ni duni mnatuletea mada kama hizi!