Edsheraan
JF-Expert Member
- Oct 22, 2024
- 659
- 1,126
Nakazia 😊Dini hizi mbili ni utapeli. Turudi kwenye asili yetu, ndoa zilidumu, upendo na amani vilitawala. Acha propaganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia 😊Dini hizi mbili ni utapeli. Turudi kwenye asili yetu, ndoa zilidumu, upendo na amani vilitawala. Acha propaganda
sio wote kuna wachache ndo mazwazwa sie wengine hatuna ubaguzi kama mimi nimetokea kukupenda njoo tule ubwabwa sawii...😂
Mwanamke ni sawa na silent killer in a mute mode yaan km panya hivi anakung'ata huku anakupuliza mwisho anakuacha na donda na kovu la kudumu
Uzi unatembea kwa kasi ya jet maana yake ni wa moto sanaHaa wewe endelea kuamini hivyo hivyo ndugu mjumbe.
Angalia huu mtego kawekewa Mwanaume akiingia kichwa kichwa anajichimbia kaburi haraka sanaBaki na moyo huohuo maana chuki humuumiza mwenye chuki huku wengine tukiendelea kuenjoy life.
Wahadzabe ni asili wanaishi kimila na huko Mwanaume hana power mwenye power ni Mwanamke ndio anayesimamia mtiririko wa ukoo sio Mwanaume, sijui unanipata? Sio Wahadzabe tu ukirudi kwenye asili jamii nyingi hususani hapa Tanzania ni Matrilineal hata Sheria zenu zipo hivyo zinaegemea kwenye Matrilineal sio Patrilineal haujiulizi kwanini? Means Mwanaume kupotezwa na Mwanamke ni jambo dogo sanaDini hizi mbili ni utapeli. Turudi kwenye asili yetu, ndoa zilidumu, upendo na amani vilitawala. Acha propaganda
Asante kwa mawazo yako, naona umekuja na hoja nzito. Ukweli ni kwamba uhusiano kati ya dini na jinsi watu wanavyofanya maamuzi, hasa kuhusu jinsia, ni mkubwa. Lakini pia ni muhimu kuelewa kwamba wanawake, kama ilivyo kwa wanaume, wana hisia, maadili, na utu ambao unawasaidia kufanya maamuzi yanayoenda mbali zaidi ya masuala ya kijinsia. Ndio maana hata bila dini, wapo wanawake na wanaume wanaojitahidi kuishi kwa misingi ya maelewano, heshima, na haki.Upo sawa ila unarudi palepale kwenye point ya msingi kwamba Wanaume wengi anguko lao sababu kuu hua ni Wanawake yaan wewe unaweza ukabisha kwamba sio kweli ila jua dini ndio imewafanya Wanawake wasifanye maafa kwa kiasi kikubwa maana wana uwezo wa kuifanya dunia ikawa ya Wanawake tu bila kua na Wanaume au dunia isiwe na kiumbe chochote huo uwezo pia wanao km unabisha kuhusu hilo pia sema ili nikutolee mifano iliyo hai, najua kwa hilo hauwezi kunibishia maana majibu unayo nini kinasababisha wasifanye hivyo unajua wanaliwazika na dini kwamba usifanye hivi fanya hivi bila hivyo wangefanya maamuzi ya kutisha km walivyofanya kwenye ile Conference kwamba nyie wapuuzi sasa ni 50/50