Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

Acheni hizi porojo zenu kinachofanya wanawake wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni the fact kwamba wanazaa, na wakati huo huo kinachofanya wanaume wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni sheria, bila sheria mwanaume ndio kiumbe katili kuliko kiumbe chochote kile duniani tena siyo katili kwa wanawake tu bali kwa viumbe vyote dini haiplay part kubwa sana
 
Inaonekana unaleta mada ambayo inalenga kuchochea mjadala kuhusu dini na uhusiano wa kijinsia, hasa kati ya wanaume na wanawake, na unatoa maoni yenye mitazamo mizito kuhusiana na majukumu ya dini katika jamii.

Hata hivyo, ningependa kuongeza kwamba mada kama hizi zinahitaji kujadiliwa kwa busara na kwa kuzingatia ukweli kwamba kila mtu ana mitazamo na uzoefu wake binafsi. Pia, suala la dini linabeba umuhimu mkubwa kwa watu wengi, siyo tu kuhusu uhusiano kati ya wanaume na wanawake, bali pia kuhusu maadili, jamii, na jinsi tunavyoishi.

Ni muhimu kuelewa kwamba uhusiano kati ya dini na maisha ya kijinsia au kijamii si wa moja kwa moja kwa watu wote. Wapo wanaoona dini kama chombo muhimu cha kuleta amani, huruma, na maelewano, lakini pia wapo wengine ambao wana mitazamo tofauti, kulingana na uzoefu wao.

Badala ya kuangalia upande mmoja wa hoja hii, inawezekana kuwa na mjadala mzuri zaidi kwa kuuliza maswali kama:

  • Dini inachangia vipi katika uhusiano wa kijinsia na familia?
  • Nini kinachoweza kufanywa ili kujenga uhusiano mzuri zaidi kati ya wanaume na wanawake, licha ya mitazamo tofauti ya kidini?
  • Je, ni mifumo gani ya kijamii inayoweza kusaidia watu kuwa na maelewano bora zaidi?
Huu unaweza kuwa mwanzo wa mjadala unaozingatia mitazamo na uzoefu wa pande zote mbili.
Upo sawa ila unarudi palepale kwenye point ya msingi kwamba Wanaume wengi anguko lao sababu kuu hua ni Wanawake yaan wewe unaweza ukabisha kwamba sio kweli ila jua dini ndio imewafanya Wanawake wasifanye maafa kwa kiasi kikubwa maana wana uwezo wa kuifanya dunia ikawa ya Wanawake tu bila kua na Wanaume au dunia isiwe na kiumbe chochote huo uwezo pia wanao km unabisha kuhusu hilo pia sema ili nikutolee mifano iliyo hai, najua kwa hilo hauwezi kunibishia maana majibu unayo nini kinasababisha wasifanye hivyo unajua wanaliwazika na dini kwamba usifanye hivi fanya hivi bila hivyo wangefanya maamuzi ya kutisha km walivyofanya kwenye ile Conference kwamba nyie wapuuzi sasa ni 50/50
 
Acheni hizi porojo zenu kinachofanya wanawake wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni the fact kwamba wanazaa, na wakati huo huo kinachofanya wanaume wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni sheria, bila sheria mwanaume ndio kiumbe katili kuliko kiumbe chochote kile duniani tena siyo katili kwa wanawake tu bali kwa viumbe vyote dini inaplay part ndogo sana hapo
Totally wrong & ignored fact
 
Bila Salamu.

Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao.

Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10 Mwanamke mwenye huruma na Mwanaume hayupo.

Ila sasa unajua nini kinacho dilute ile chuki ya Mwanamke kwa Mwanaume? DINI

Wengi wanazidharau hizi DINI na wengine wanafika mbali na kusema hakuna Mungu hakuna DINI Mungu hana DINI km kuna Mungu nionyeshe nani kamuumba Mungu? Na maswali mengine mengi mengi mengi.

Ila tu niwaambie wale wote wenye mtizamo km huo bila hizi DINI mnazoziona duniani nawahakikishieni Wanaume wengi wangekufa km kuku wa kideli.

Usishangae kwanini kwenye haya makanisa mengi ya manabii na mitume waliojazana kwa wingi ni Wanawake, haujiulizi kwanini?

Kwanini Wanawake inamaana Wanaume hawatambui umuhimu wa DINI zao?

Wanawake wanajiweka karibu na DINI ili kujipunguza makali ya kufanya machafuko kuwateketeza Wanaume maana Mwanamke kumteketeza Mwanaume ni suala la kugusa tu. Ila kwa sababu wa uwepo wa DINI wengi wao huacha kufanya hivyo. Kwa hio alie engineer suala la dini aliona mbali sana kuhusu hawa Wanawake.

Niishie hapa.
Je kabla ya dini kuja wanaume waliisha.
 
Wanawake ndio chanzo cha matatizo yote duniani , wanawake ndio wanamiliki Ile dhambi ya asili, Samson, rutu waliponzwa na wanawake

Dhambi ya asili ndio kitu gani tena ndugu mwananchi?
Wabakaji
Vibaka
Majambazi
wauwaji kwenye civil war
Wezi
Mafisadi
Walawiti
Bila shaka hawa pia ni wanawake.
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
 
Dhambi ya asili ndio kitu gani tena ndugu mwananchi?
Wabakaji
Vibaka
Majambazi
wauwaji kwenye civil war
Wezi
Mafisadi
Walawiti
Bila shaka hawa pia ni wanawake.
Unajua Mwanamke ni kiumbe hatari kuliko Mwanaume, Mwanamke anaweza akasababisha mauaji ya kimbali unajua Mwanamke anaweza akawafitinisha Mwanaume na Mwanaume au Mwanaume na Mwanamke mwingine au hilo pia haulijui?
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
Mwanamke ni sawa na silent killer in a mute mode yaan km panya hivi anakung'ata huku anakupuliza mwisho anakuacha na donda na kovu la kudumu
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
sio wote kuna wachache ndo mazwazwa sie wengine hatuna ubaguzi kama mimi nimetokea kukupenda njoo tule ubwabwa sawii...😂
 
Dini hizi mbili ni utapeli. Turudi kwenye asili yetu, ndoa zilidumu, upendo na amani vilitawala. Acha propaganda
 
Unajua Mwanamke ni kiumbe hatari kuliko Mwanaume, Mwanamke anaweza akasababisha mauaji ya kimbali unajua Mwanamke anaweza akawafitinisha Mwanaume na Mwanaume au Mwanaume na Mwanamke mwingine au hilo pia haulijui?

Thibitisha.
 
Back
Top Bottom