Nyongeza ya kiume : mwanamke yeyote duniani ambaye hubeba mimba hupoteza taratibu uwezo wake wa akili maana muda huo akili nyingine huenda kwa kiumbe alichobeba , ndio maana miezi Tisa yote hua ya visa na mikasa lakini pia hua na siku tisini yaani miezi mitatu ya akili yake kuregain upya na kurudi kama kawaida ndio maana ni rahisi kuona mwanamke kaacha mtoto au kaua kichanga cha mwezi mmoja hadi miezi mitatu , lakini hutosikia mwanamke kauwa kichanga cha miezi Minne na kuendelea sababu kubwa hapo akili yake inakua timamu tayari , ndio maana wanaume tuliaswa tuishi nao kwa akili Sana hawa viumbe , wakuelewa aelewe