Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

Acheni hizi porojo zenu kinachofanya wanawake wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni the fact kwamba wanazaa, na wakati huo huo kinachofanya wanaume wasioneshe ubaya wao kwa ukamilifu ni sheria, bila sheria mwanaume ndio kiumbe katili kuliko kiumbe chochote kile duniani tena siyo katili kwa wanawake tu bali kwa viumbe vyote dini haiplay part kubwa sana
 
Upo sawa ila unarudi palepale kwenye point ya msingi kwamba Wanaume wengi anguko lao sababu kuu hua ni Wanawake yaan wewe unaweza ukabisha kwamba sio kweli ila jua dini ndio imewafanya Wanawake wasifanye maafa kwa kiasi kikubwa maana wana uwezo wa kuifanya dunia ikawa ya Wanawake tu bila kua na Wanaume au dunia isiwe na kiumbe chochote huo uwezo pia wanao km unabisha kuhusu hilo pia sema ili nikutolee mifano iliyo hai, najua kwa hilo hauwezi kunibishia maana majibu unayo nini kinasababisha wasifanye hivyo unajua wanaliwazika na dini kwamba usifanye hivi fanya hivi bila hivyo wangefanya maamuzi ya kutisha km walivyofanya kwenye ile Conference kwamba nyie wapuuzi sasa ni 50/50
 
Totally wrong & ignored fact
 
Je kabla ya dini kuja wanaume waliisha.
 
Wanawake ndio chanzo cha matatizo yote duniani , wanawake ndio wanamiliki Ile dhambi ya asili, Samson, rutu waliponzwa na wanawake

Dhambi ya asili ndio kitu gani tena ndugu mwananchi?
Wabakaji
Vibaka
Majambazi
wauwaji kwenye civil war
Wezi
Mafisadi
Walawiti
Bila shaka hawa pia ni wanawake.
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
 
Dhambi ya asili ndio kitu gani tena ndugu mwananchi?
Wabakaji
Vibaka
Majambazi
wauwaji kwenye civil war
Wezi
Mafisadi
Walawiti
Bila shaka hawa pia ni wanawake.
Unajua Mwanamke ni kiumbe hatari kuliko Mwanaume, Mwanamke anaweza akasababisha mauaji ya kimbali unajua Mwanamke anaweza akawafitinisha Mwanaume na Mwanaume au Mwanaume na Mwanamke mwingine au hilo pia haulijui?
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
Mwanamke ni sawa na silent killer in a mute mode yaan km panya hivi anakung'ata huku anakupuliza mwisho anakuacha na donda na kovu la kudumu
 
Hizi mada za kibaguzi mbona zimekuwa nyingi sana siku hizi....wanaume haya mawazo yanazidi kuwaumiza hebu acheni.
sio wote kuna wachache ndo mazwazwa sie wengine hatuna ubaguzi kama mimi nimetokea kukupenda njoo tule ubwabwa sawii...😂
 
Dini hizi mbili ni utapeli. Turudi kwenye asili yetu, ndoa zilidumu, upendo na amani vilitawala. Acha propaganda
 
Unajua Mwanamke ni kiumbe hatari kuliko Mwanaume, Mwanamke anaweza akasababisha mauaji ya kimbali unajua Mwanamke anaweza akawafitinisha Mwanaume na Mwanaume au Mwanaume na Mwanamke mwingine au hilo pia haulijui?

Thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…