PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
TCRA watakuwa wamekisikia kilio cha mama na wanabubujikwa machozi.

njonjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, imhotep na wale wengine.
nadhani ni upotoshaji,
binafsi natumia mtandao huo bila shida yoyote. Hata hivyo nafuatilia ili kujiridhisha.

Uelewa mdogo wa matumizi ya vifaa mnavyotumia imekua hasa ndio changamoto kuu kwa watumiaji mitandao πŸ’
 
Kuna mtu mwenye akili timamu aliwahi kumuelewa huyu jamaaa?
Hiwa nakuona kama umerogwa kijana
 
Kuna mtu mwenye akili timamu aliwahi kumuelewa huyu jamaaa?
Hiwa nakuona kama umerogwa kijana
imani potofu za ushirikina na ramli ndio umaskini wenu gentleman.
huo ni utumwa wa kilofa zaidi mnang'ang'ana nao.

umekimbia shule unataka kuja kuelewa JF? that's nonsense πŸ’
 
imani potofu za ushirikina na ramli ndio umaskini wenu gentleman.
huo ni utumwa wa kilofa zaidi mnang'ang'ana nao.

umekimbia shule unataka kuja kuelewa JF? that's nonsense πŸ’
Kubali tu akili huna mnatumia sijui kiungo gani kufikiria
 
nadhani ni upotoshaji,
binafsi natumia mtandao huo bila shida yoyote. Hata hivyo nafuatilia ili kujiridhisha.

Uelewa mdogo wa matumizi ya vifaa mnavyotumia imekua hasa ndio changamoto kuu kwa watumiaji mitandao πŸ’

Utakuwa unatumia ya mama wewe, si bure!
 
Ukiziwa Tanzania scoreboard inasoma 5-0

Wanafungia mitandao na kupunguza kasi na kusahau mitandao kwa sasa is working place .
Mpaka Sasa ubaoni kwangu scoreboard 5_2

Yaan ni Bora kutoa sare..sijui kama tutapata equalizer
 
Hivi katika mtandao wa X zamani ikiitwa Twitter kumetokea nini? Maana tangu jana jioni majira ya saa 11 mtandao haufanyi kazi kabisa!!πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…