Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Ebu fungua akili babu, acha kuwapa watu nafasi wakuendeshee akili zako.

Hizo coins hata wewe unaweza kuzitengeneza na ukazifanya za zamani kwa kuweka mwaka wa zamani unaotaka, na pia hata kuzichakaza.

Leo hii watu wanaweza kuchukua picha ya George Washington ya miaka zaidi ya 200 iliyopita wakaifanya kuwa ya mwaka jana au mwaka huu. Teknolojia imebadilika sana, acha kuishi kama wazee wa miaka 70 iliyopita.
 
Ingekua ina hamu ya maendeo kwann ili rudisha Sinai??

Ardhi kubwa kuliko nchi yote ya israel
Nafikiri ungesoma kwa kutulia ili uelewe point ya thread kuliko kukurupuka tu kuuliza swali.
 
Sahihi kabisa. Lengo ni kuwatoa wale wa gaza wabaki weupe wenyewe, kesho wasogee sogee tena kwa wengine Syria au Lebanon waanzishe mtiti kidogo kidogo. Hata pale malengo yao yatapotimia.

Sasa waajemi nao hawakubali, ndomaana na wao wanaweka watu wa kuvuruga kila hatua inayopigwa na weupe hao.
 
Sasa waajemi nao hawakubali, ndomaana na wao wanaweka watu wa kuvuruga kila hatua inayopigwa na weupe hao
Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwa
 
O

Israeli ilianzishwa na jumuia ya kimataifa ikiongozwa na Uingereza baada ya vita juu ya pili ya dunia.
Wayahudi walirudi kwenye ardhi yao ya asili baada ya kuteseka Kwa muda mrefu huko Europe
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo. Mzungu kaitumia hiyo hiyo fursa ya kuwarudisha wayahudi kwao kupenyeza watu wake ili kutimiza mipango yake.

Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake Australia, kuitawala na kuikalia hadi leo. Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake New Zealand, kuitawala na kuikalia hadi leo, so unafikiri alishindwaje kufanya hivyo kwa Israel na ukizingatia yeye ndo aliekuwa mpangaji wa list kwa wayahudi wanaopelekwa huko?

Netanyahu na genge lake ni wazungu halisi. Haihitaji kipimo cha DNA kutambua hilo kijana. Akili tu na macho vinakupa jibu halisi.
 
Let say hii abracadabra uliyoyiandika hapa ni kweli, kuna shida gani Israel kuichukua Misri?.
Ama zama za mwenye nguvu kuchukua chochote zimeshaisha?.
Wao walitumia nguvu kuua wenyeji wa Africa ya kaskazini, why dunia iwaonee huruma wao?.
I'm sure umekimbilia ku comment bila kusoma thread yote ili kujua kilichoandikwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vita dhidi ya ugaidi siku zote huwa ni ngumu na itachukua muda mrefu. Hata mkubwa wa kazi Netanyahu alisema hilo wazi siku alipotangaza vita rasmi baada ya shambulizi la kigaidi Oct 7
Vijana sijui mnaishi dunia gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway lets wait to see...
 
Mtoto wake yuko Miami , watoto wa wanyonge wanaliwa na majibwa Gaza


View: https://www.youtube.com/watch?v=rwrTDXJ7gMQ
Huko ndio kwao, kule alipo baba yake alienda tu kikazi kuifanyia nchi yake kazi ya kupora ardhi za watu.

Kwa upande mungine tunaambiwa eti jamaa wana akili, na wakati wanasomesha watoto wao kwenye nchi za watu. Yani badala ya watu wakajifunze kwao, wao ndo wanakwenda kujifunza kwa wenzao.
 
Kama wale ni wazungu halisi then wayahudi wenye ardhi yao wako wapi!
 
Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwa
Acha tusubiri tuone. Kwa sababu muda mzuri wa kukamilisha mission ilikuwa mnamo miaka ya 90 hadi 2010 ambapo watu wengi walikuwa bado mbumbu wa kutupa.

Kila propaganda iliyopangwa na weupe waliiamini na kuichukulia serious. Nchi nyingi za kiarabu zilijikuta zinaingia katika mission za wamarekani bila kujua, kwa kumsaidia kumpa ardhi na support eti ya kumchapa Osama, Alkaida, Islamic state nk.

Lakini leo hii watu wengi wana uelewa mkubwa, hawadanganyiki kipuuzi japo wapo baadhi ni wajinga mpaka leo (hata humu tunao kupitia comment zao), nchi ambazo zilikuwa kwenye target kama Saudi Arabia zimeshaanza kujitambua kidogo kidogo kwa kuamua kusogelea nchi zingine ambazo ni maadui wa kutupwa wa Marekani kama vile Iran, China hivyo ni lazima katika vikao vyao wanampa mawili matatu kuhusiana na Marekani.

Iraq ambayo ilikuwa ngome nzuri ya kuanzia mipango ya Marekani sasa hivi kambi za Marekani zinashambuliwa kila siku kuvuruga mipango yao, na serikali ya Iraq ishaamka sasa wanaitaka Marekani ifungashe virago nk. Syria muajemi na Mrushia waashaapa kufia kwenye kidonda. So kwa miaka hii sio rahisi tena. Yani mambo yanakwenda kuwa magumu kwao siku hadi siku mpaka wanaamua kuwe na suluhisho la mataifa mawili ili kila mmoja aishi kwa amani tu. Maana mbinu na mipango yao ni kama vimeshafeli zamani.
 
Mbona swali langu lilikuwa rahisi tu mkuu? Israel hiyo ya magenius imefanikiwa kwenye lipi kwa nyanja yeyote kuanzia Uchumi, Michezo na Utamaduni?

Huo U-genius mbona umeshindwa maliza vita au hata kuibeba hiyo Gaza jumla jumla miaka na miaka?
 
Israeli pale ni kwao na they are there to stay. Even if the whole world turn against them.
 
Ingekua ina hamu ya maendeo kwann ili rudisha Sinai??

Ardhi kubwa kuliko nchi yote ya israel
Kwanza una uwelewa gani juu ya mambo ya kimataifa?
Israel aliirudisha Sinai au ali furushwa na majeshi ya misri? Kabla ya Misri kuanzisha uvamizi wa kuikomboa Sinai Israel ilikuwa hata na dalili ya kujiondoa Sinai?
Hata huko Lebanon ali furushwa na Hizbullah lakini hakuwa na mpango wa kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…