Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Ebu fungua akili babu, acha kuwapa watu nafasi wakuendeshee akili zako.

Hizo coins hata wewe unaweza kuzitengeneza na ukazifanya za zamani kwa kuweka mwaka wa zamani unaotaka, na pia hata kuzichakaza.

Leo hii watu wanaweza kuchukua picha ya George Washington ya miaka zaidi ya 200 iliyopita wakaifanya kuwa ya mwaka jana au mwaka huu. Teknolojia imebadilika sana, acha kuishi kama wazee wa miaka 70 iliyopita.
 
Ingekua ina hamu ya maendeo kwann ili rudisha Sinai??

Ardhi kubwa kuliko nchi yote ya israel
Nafikiri ungesoma kwa kutulia ili uelewe point ya thread kuliko kukurupuka tu kuuliza swali.
 
Taarifa nyingi zinazojadiliwa hapa nyingi ni za 1970-1990๐Ÿ˜‚ ila kinachoendelea saivi hamna anajua.....ila nikitumia uzoefu wangu wa elimu ya gumbaru wanachojaribu kufanya USA, UK na washirika wao ni pa kuwapeleka wale wakazi wa Gaza ila wanapishana mtazamo
Sahihi kabisa. Lengo ni kuwatoa wale wa gaza wabaki weupe wenyewe, kesho wasogee sogee tena kwa wengine Syria au Lebanon waanzishe mtiti kidogo kidogo. Hata pale malengo yao yatapotimia.

Sasa waajemi nao hawakubali, ndomaana na wao wanaweka watu wa kuvuruga kila hatua inayopigwa na weupe hao.
 
Sasa waajemi nao hawakubali, ndomaana na wao wanaweka watu wa kuvuruga kila hatua inayopigwa na weupe hao
Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwa
 
O

Israeli ilianzishwa na jumuia ya kimataifa ikiongozwa na Uingereza baada ya vita juu ya pili ya dunia.
Wayahudi walirudi kwenye ardhi yao ya asili baada ya kuteseka Kwa muda mrefu huko Europe
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo. Mzungu kaitumia hiyo hiyo fursa ya kuwarudisha wayahudi kwao kupenyeza watu wake ili kutimiza mipango yake.

Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake Australia, kuitawala na kuikalia hadi leo. Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake New Zealand, kuitawala na kuikalia hadi leo, so unafikiri alishindwaje kufanya hivyo kwa Israel na ukizingatia yeye ndo aliekuwa mpangaji wa list kwa wayahudi wanaopelekwa huko?

Netanyahu na genge lake ni wazungu halisi. Haihitaji kipimo cha DNA kutambua hilo kijana. Akili tu na macho vinakupa jibu halisi.
 
Let say hii abracadabra uliyoyiandika hapa ni kweli, kuna shida gani Israel kuichukua Misri?.
Ama zama za mwenye nguvu kuchukua chochote zimeshaisha?.
Wao walitumia nguvu kuua wenyeji wa Africa ya kaskazini, why dunia iwaonee huruma wao?.
I'm sure umekimbilia ku comment bila kusoma thread yote ili kujua kilichoandikwa.
 
Wayahudi wa bonyokwa mna changamoto ya sana ya elimu.

Tazama ramani ya dunia ya kabla ya 1948 uone km utaona kwenye Ramani hio kuna nchi inaitwa ISRAEL.
Mbona nyie viumbe mtihani sana kuelewa?
Tunajua ISRAEL imeandikwa kwenye kitabu chenu kuwa nj taifa teule. Hata nchi nzima wakigeuka mashoga na wauwaji nyie kwenu wataendelea kuwa taifa teule no matter what.
Lkn kuweni na aibu japo kidogo mnapoandika huu utumbo hapa JF. manake ummah unawashangaa na kuzidi kuwapuuza kwa uongo na udhaifu wa elimu mnao uonyesha hapa.
Kuku maji wahed.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Vita dhidi ya ugaidi siku zote huwa ni ngumu na itachukua muda mrefu. Hata mkubwa wa kazi Netanyahu alisema hilo wazi siku alipotangaza vita rasmi baada ya shambulizi la kigaidi Oct 7
Vijana sijui mnaishi dunia gani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyway lets wait to see...
 
Mtoto wake yuko Miami , watoto wa wanyonge wanaliwa na majibwa Gaza


View: https://www.youtube.com/watch?v=rwrTDXJ7gMQ

Huko ndio kwao, kule alipo baba yake alienda tu kikazi kuifanyia nchi yake kazi ya kupora ardhi za watu.

Kwa upande mungine tunaambiwa eti jamaa wana akili, na wakati wanasomesha watoto wao kwenye nchi za watu. Yani badala ya watu wakajifunze kwao, wao ndo wanakwenda kujifunza kwa wenzao.
 
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo. Mzungu kaitumia hiyo hiyo fursa ya kuwarudisha wayahudi kwao kupenyeza watu wake ili kutimiza mipango yake.

Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake Australia, kuitawala na kuikalia hadi leo. Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake New Zealand, kuitawala na kuikalia hadi leo, so unafikiri alishindwaje kufanya hivyo kwa Israel na ukizingatia yeye ndo aliekuwa mpangaji wa list kwa wayahudi wanaopelekwa huko?

Netanyahu na genge lake ni wazungu halisi. Haihitaji kipimo cha DNA kutambua hilo kijana. Akili tu na macho vinakupa jibu halisi.
Kama wale ni wazungu halisi then wayahudi wenye ardhi yao wako wapi!
 
Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwa
Acha tusubiri tuone. Kwa sababu muda mzuri wa kukamilisha mission ilikuwa mnamo miaka ya 90 hadi 2010 ambapo watu wengi walikuwa bado mbumbu wa kutupa.

Kila propaganda iliyopangwa na weupe waliiamini na kuichukulia serious. Nchi nyingi za kiarabu zilijikuta zinaingia katika mission za wamarekani bila kujua, kwa kumsaidia kumpa ardhi na support eti ya kumchapa Osama, Alkaida, Islamic state nk.

Lakini leo hii watu wengi wana uelewa mkubwa, hawadanganyiki kipuuzi japo wapo baadhi ni wajinga mpaka leo (hata humu tunao kupitia comment zao), nchi ambazo zilikuwa kwenye target kama Saudi Arabia zimeshaanza kujitambua kidogo kidogo kwa kuamua kusogelea nchi zingine ambazo ni maadui wa kutupwa wa Marekani kama vile Iran, China hivyo ni lazima katika vikao vyao wanampa mawili matatu kuhusiana na Marekani.

Iraq ambayo ilikuwa ngome nzuri ya kuanzia mipango ya Marekani sasa hivi kambi za Marekani zinashambuliwa kila siku kuvuruga mipango yao, na serikali ya Iraq ishaamka sasa wanaitaka Marekani ifungashe virago nk. Syria muajemi na Mrushia waashaapa kufia kwenye kidonda. So kwa miaka hii sio rahisi tena. Yani mambo yanakwenda kuwa magumu kwao siku hadi siku mpaka wanaamua kuwe na suluhisho la mataifa mawili ili kila mmoja aishi kwa amani tu. Maana mbinu na mipango yao ni kama vimeshafeli zamani.
 
Mzee hii dunia watu Wana namna nyingi ya kuishi. Kwa mfano Israel inawachukua majasusi vijana kuanzia miaka 15 wanakaa na wewe mpaka miaka 23 unawaachia ile akili cream ya kwanza baada ya hapo unatafutiwa kazi huko makampuni ya kiume huko dunian so unakuta unailisha nchi kutoka nje. Hawa jamaa wana uraia wa nchi zaid ya mbili ndio maana wameweza kupachika watu wao kila mahali so hiyo ni akili unatumia nguvu ndogo kupata msaada inapohtajika kutoka nje. Siwasifu mi nachojaribu kusema Africa ni watu ambao hatutaki kuukubali ukweli na kujifunza. Far east wamefanikiwa. Wachina au Japan walipogundua wazungu mfumo wao una Mazur yake na mabaya yake walikaa chini wakiwa na mfumo wao wakatuma majasusi kusoma huko na wakarud na Mazur na wamepata mabadiliko. Sis Nyerere aaliwatuma kwenda kusoma wakarud walevi na wavaa suti wakawa maboss matokeo ni kuwalaumu wazungu tu.
Mbona swali langu lilikuwa rahisi tu mkuu? Israel hiyo ya magenius imefanikiwa kwenye lipi kwa nyanja yeyote kuanzia Uchumi, Michezo na Utamaduni?

Huo U-genius mbona umeshindwa maliza vita au hata kuibeba hiyo Gaza jumla jumla miaka na miaka?
 
Hata serikali ya kikoloni ya kingereza hapa Tanganyika ilikuwa inatambulika katika jumuiya ya kimataifa.

Hata serikali ya makaburu pia ilikuwa inatambulika katika jumuia ya kimataifa lakini hii haiondoi ukweli kwamba serikali hizo zilikuwa sio za raia halali wa nchi hizo. Hivyo Israel kutambuliwa na jumuia hiyo isikunye uamini kuwa ndio wenye nchi.
Israeli pale ni kwao na they are there to stay. Even if the whole world turn against them.
 
Ingekua ina hamu ya maendeo kwann ili rudisha Sinai??

Ardhi kubwa kuliko nchi yote ya israel
Kwanza una uwelewa gani juu ya mambo ya kimataifa?
Israel aliirudisha Sinai au ali furushwa na majeshi ya misri? Kabla ya Misri kuanzisha uvamizi wa kuikomboa Sinai Israel ilikuwa hata na dalili ya kujiondoa Sinai?
Hata huko Lebanon ali furushwa na Hizbullah lakini hakuwa na mpango wa kuondoka.
 
Back
Top Bottom