Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
Yaani wewe akili yako huwa inawaza kuokota tu.... Ndio mwisho wa kufikiri kwakoUliiokota kanisani kwenu au alikupa Nabii wako Tito ?? ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe akili yako huwa inawaza kuokota tu.... Ndio mwisho wa kufikiri kwakoUliiokota kanisani kwenu au alikupa Nabii wako Tito ?? ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ebu fungua akili babu, acha kuwapa watu nafasi wakuendeshee akili zako.
Sahihi kabisa. Lengo ni kuwatoa wale wa gaza wabaki weupe wenyewe, kesho wasogee sogee tena kwa wengine Syria au Lebanon waanzishe mtiti kidogo kidogo. Hata pale malengo yao yatapotimia.Taarifa nyingi zinazojadiliwa hapa nyingi ni za 1970-1990๐ ila kinachoendelea saivi hamna anajua.....ila nikitumia uzoefu wangu wa elimu ya gumbaru wanachojaribu kufanya USA, UK na washirika wao ni pa kuwapeleka wale wakazi wa Gaza ila wanapishana mtazamo
Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwaSasa waajemi nao hawakubali, ndomaana na wao wanaweka watu wa kuvuruga kila hatua inayopigwa na weupe hao
Yaani wewe akili yako huwa inawaza kuokota tu.... Ndio mwisho wa kufikiri kwako
Katika msafara wa mamba kenge nao wamo. Mzungu kaitumia hiyo hiyo fursa ya kuwarudisha wayahudi kwao kupenyeza watu wake ili kutimiza mipango yake.O
Israeli ilianzishwa na jumuia ya kimataifa ikiongozwa na Uingereza baada ya vita juu ya pili ya dunia.
Wayahudi walirudi kwenye ardhi yao ya asili baada ya kuteseka Kwa muda mrefu huko Europe
I'm sure umekimbilia ku comment bila kusoma thread yote ili kujua kilichoandikwa.Let say hii abracadabra uliyoyiandika hapa ni kweli, kuna shida gani Israel kuichukua Misri?.
Ama zama za mwenye nguvu kuchukua chochote zimeshaisha?.
Wao walitumia nguvu kuua wenyeji wa Africa ya kaskazini, why dunia iwaonee huruma wao?.
๐๐๐๐Wayahudi wa bonyokwa mna changamoto ya sana ya elimu.
Tazama ramani ya dunia ya kabla ya 1948 uone km utaona kwenye Ramani hio kuna nchi inaitwa ISRAEL.
Mbona nyie viumbe mtihani sana kuelewa?
Tunajua ISRAEL imeandikwa kwenye kitabu chenu kuwa nj taifa teule. Hata nchi nzima wakigeuka mashoga na wauwaji nyie kwenu wataendelea kuwa taifa teule no matter what.
Lkn kuweni na aibu japo kidogo mnapoandika huu utumbo hapa JF. manake ummah unawashangaa na kuzidi kuwapuuza kwa uongo na udhaifu wa elimu mnao uonyesha hapa.
Kuku maji wahed.
Vijana sijui mnaishi dunia gani ๐๐๐๐ anyway lets wait to see...Vita dhidi ya ugaidi siku zote huwa ni ngumu na itachukua muda mrefu. Hata mkubwa wa kazi Netanyahu alisema hilo wazi siku alipotangaza vita rasmi baada ya shambulizi la kigaidi Oct 7
Mtoto wake yuko Miami , watoto wa wanyonge wanaliwa na majibwa Gaza
View: https://www.youtube.com/watch?v=rwrTDXJ7gMQ
Kama wale ni wazungu halisi then wayahudi wenye ardhi yao wako wapi!Katika msafara wa mamba kenge nao wamo. Mzungu kaitumia hiyo hiyo fursa ya kuwarudisha wayahudi kwao kupenyeza watu wake ili kutimiza mipango yake.
Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake Australia, kuitawala na kuikalia hadi leo. Kama muingereza aliweza kupeleka watu wake New Zealand, kuitawala na kuikalia hadi leo, so unafikiri alishindwaje kufanya hivyo kwa Israel na ukizingatia yeye ndo aliekuwa mpangaji wa list kwa wayahudi wanaopelekwa huko?
Netanyahu na genge lake ni wazungu halisi. Haihitaji kipimo cha DNA kutambua hilo kijana. Akili tu na macho vinakupa jibu halisi.
Mtoto wake yuko Miami , watoto wa wanyonge wanaliwa na majibwa Gaza
View: https://www.youtube.com/watch?v=rwrTDXJ7gMQ
Acha tusubiri tuone. Kwa sababu muda mzuri wa kukamilisha mission ilikuwa mnamo miaka ya 90 hadi 2010 ambapo watu wengi walikuwa bado mbumbu wa kutupa.Muajemi hatazuia ila atachelewesha tu, hata na hvo Muajemi ana nguvu sana tangu zama hzo vitabu vya dini za Mashua zinaandikwa
Israeli ni dola huru na inatambulika kimataifa na pia ina haki ya kujilindaKwahiyo akili timamu ni kuunga mkono ugaidi wa Israel?
Mbona swali langu lilikuwa rahisi tu mkuu? Israel hiyo ya magenius imefanikiwa kwenye lipi kwa nyanja yeyote kuanzia Uchumi, Michezo na Utamaduni?Mzee hii dunia watu Wana namna nyingi ya kuishi. Kwa mfano Israel inawachukua majasusi vijana kuanzia miaka 15 wanakaa na wewe mpaka miaka 23 unawaachia ile akili cream ya kwanza baada ya hapo unatafutiwa kazi huko makampuni ya kiume huko dunian so unakuta unailisha nchi kutoka nje. Hawa jamaa wana uraia wa nchi zaid ya mbili ndio maana wameweza kupachika watu wao kila mahali so hiyo ni akili unatumia nguvu ndogo kupata msaada inapohtajika kutoka nje. Siwasifu mi nachojaribu kusema Africa ni watu ambao hatutaki kuukubali ukweli na kujifunza. Far east wamefanikiwa. Wachina au Japan walipogundua wazungu mfumo wao una Mazur yake na mabaya yake walikaa chini wakiwa na mfumo wao wakatuma majasusi kusoma huko na wakarud na Mazur na wamepata mabadiliko. Sis Nyerere aaliwatuma kwenda kusoma wakarud walevi na wavaa suti wakawa maboss matokeo ni kuwalaumu wazungu tu.
Israeli pale ni kwao na they are there to stay. Even if the whole world turn against them.Hata serikali ya kikoloni ya kingereza hapa Tanganyika ilikuwa inatambulika katika jumuiya ya kimataifa.
Hata serikali ya makaburu pia ilikuwa inatambulika katika jumuia ya kimataifa lakini hii haiondoi ukweli kwamba serikali hizo zilikuwa sio za raia halali wa nchi hizo. Hivyo Israel kutambuliwa na jumuia hiyo isikunye uamini kuwa ndio wenye nchi.
Kwanza una uwelewa gani juu ya mambo ya kimataifa?Ingekua ina hamu ya maendeo kwann ili rudisha Sinai??
Ardhi kubwa kuliko nchi yote ya israel