Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Bro acha makasiriko. Mtoto wa kiume hupaswi kutaja sifa za wanaume wenzio mkuu. Nimekuambia hao watu hawakujui wala hawatakaa wakujue. Watu wenyewe ushasema ni wazungu na waarabu ambao kimsingi ndio walioua na kuwauza Babu zetu. Sasa kama wameshindwa kimaslah wanauana wewe mwafrica unataka nini waache wauawane ni zamu yao kuonja mateso we zungumzia shida ya nchi yako. Mbona hilo liko kirahc sana. Hupaswi kushobokea wanaume Mzee we leta mipango ya hela. Watakuheshimu ukiwa na hela au ubunifu zaid sana we ni kima kwao. Daah cjui nizungumze lugha gan uelewe mkuu. Tunashida nyingi mno hatuna Muda wa kupoteza chief. Na hatuna wa kumlaumu zaid ya kuchelewa kuchukua hatua. Cjui Israel cjui Palestine cjui iran cjui marekan mzee huna utakachopata zaid ya kujilisha upepo halafu baadae unakuja kuwaachia watoto laana kwa kutokukutunza. Ngoja nikupe mfano kidogo labda utanielewa. Unajua Nyerere vita zake zote alizokuwa anapiganisha Africa zilikuwa humanity war. Tumepata nini zaid ya kizazi chake kusifiwa na wengi walishakufa. Sasa kipo kizazi Ukienda South leo hakijui na wala hakitaki kujua hizo Mambo kila cku wanawatimua vijana wetu mitaan na kuwaua. Vita ni biashara mzee tena ya kiume kabisa. Nyerere alivyoteka wale wanajeshi wa libya pale Uganda Gadafi alitaka kumpa mafuta kwa kipind flan kama mabadilishano Mzee akakataa. Na tumetoka vitan tukiwa majalala. Sasa hizo Mambo ni ujinga ishu ni hela na ikiwezekana peleka watoto wakasome huko dunian watuibie teknolijia sio cjui waarabu Israel cjui mzungu cjui iran seriously. Hiv tuko humu humu dunian au tuko likizo. Achaneni na story za kushobokea hawa weupe wametutesa sana ni zamu Yao kuumia. Kama pale Ukraine. Hivyo hivyo.
Wacha kutuletea mambo ya uafrika , juzi hapa Mkuu wa majeshi kalalamika kuna watu wa nchi za jirani wanachukua nafasi za uongozi TZ kwani hao si waafrika wenzetu ?? Waaarabu walituuza unafikiri hakuna mwafrika aliuza mtumwa ??
 
Wewe kweli kiazi chekundu. Mbona hujazuia wanaume na wanawake wenzako wanaoamini katika dini zilizoletwa na wakoloni?

Kama swala ni kudili na mambo ya Afrika inakuaje watu mshobokee dini za weupe na kuacha za kwenu nyinyi weusi?
Dunia ya leo hauwezi kusema eti tusiwazungumzie wazungu au waarab na wakati huo huo unaamini katika dini zilizoletwa na hao hao unaotaka wasiongelewe. Hayo ni mawazo au matope!
 
Hahaha hata mimi nimemshangaa jamaa. Anajifanya mzalendo wa kiafrika lakini anapambana kujifananisha na wayahudi. Pia anaamini katika dini aliyoletewa na hao hao waliotokea nje ya Afrika 😂😂😂
 
ila kupoteza nguvu kubwa kuwajadili maadui wetu Mambo yao ni uzwazwa tu.
Adui yako alafu amekuletea dini ukapokea? Kuna silaha mbaya ambayo mkoloni ameitumia kutuangamizia kama hii ya kutuletea zigo la dini na maandishi mawili matatu ya kutufumbaza ili atupige vizuri?

Mbona unaamini katika dini na haupigi vita wanaoendesha mambo ya dini za wakoloni zilizotapakaa Afrika nzima?
 
Ndio nakuambia wewe unaetambua hivyo kuwa white hana zur kwako awe mzungu au waarabu. Kuwajadili ni kuwa bado unawahofia ondoa hiyo mindset kwanza ndio uje na mpango wa kutuambia tunatokaje hapa. Ndio maana wanakuambia kukosea sio kosa kosa ni kulirudia.
 
Kwanza nikusaidie dini ya kikristo iko Africa kabla mzungu hajaileta. Hiyo Roman Catholic ni ya wazungu ipo Coptic hapo Ethiopia cku nyingi b4 hata mzungu hajajua dini ninini. So ishu hapa sio dini. Maana hiz dini zimezunguka dunia nzima. Ishu ni kuwa je unafanya nini Kuwatoa watu kwenye Babylonian system. Kuongea tu na kulaumu hakujawah kuleta mabadiliko popote. We ushajua hawa jamaa wametuzidia hapa so ishu hapo unaplan b gan ya kututoa hapo au plan ndio haya maneno.
Wewe kweli kiazi chekundu. Mbona hujazuia wanaume na wanawake wenzako wanaoamini katika dini zilizoletwa na wakoloni?

Kama swala ni kudili na mambo ya Afrika inakuaje watu mshobokee dini za weupe na kuacha za kwenu nyinyi weusi?
Dunia ya leo hauwezi kusema eti tusiwazungumzie wazungu au waarab na wakati huo huo unaamini katika dini zilizoletwa na hao hao unaotaka wasiongelewe. Hayo ni mawazo au matope!
 
Wacha kutuletea mambo ya uafrika , juzi hapa Mkuu wa majeshi kalalamika kuna watu wa nchi za jirani wanachukua nafasi za uongozi TZ kwani hao si waafrika wenzetu ?? Waaarabu walituuza unafikiri hakuna mwafrika aliuza mtumwa ??
Then kwanini jamaa anawalaum Jews kama huu ndio mwendo wa ulimwengu
 
Kwanza nikusaidie dini ya kikristo iko Africa kabla mzungu hajaileta. Hiyo Roman Catholic ni ya wazungu ipo Coptic hapo Ethiopia cku nyingi b4 hata mzungu hajajua dini ninini. So ishu hapa sio dini. Maana hiz dini zimezunguka dunia nzima. Ishu ni kuwa je unafanya nini Kuwatoa watu kwenye Babylonian system. Kuongea tu na kulaumu hakujawah kuleta mabadiliko popote. We ushajua hawa jamaa wametuzidia hapa so ishu hapo unaplan b gan ya kututoa hapo au plan ndio haya maneno.
Acha ujinga kijana. Ukristo umeanzishwa na wazungu wa kiroma. Huko uyahudini kwa wayahudi original wala hawaujui huo ukristo kwa sababu haukuanzia katika nchi yao. Sisi waafrika wewe ukiwa mmoja wapo ndo wajinga, tumeletewa zigo la dini na kukimbilia kulipokea bila kuwaona au kuwa na ushahidi wa hao tunao ambiwa sijui mitume, sijui wafia dhambi zetu misalabani nk.

Jamaa walikuta mababu zetu wana amini vizuri na kupata matokeo chanya, hawa wakoloni wakaanza kudai eti babu zetu wanakufuru kwa kuamini mizimu, hivyo inatakiwa babu zetu wawaamini kina Yesu, Mwamedi nk. Lakini ukiangalia kimakini unakuta na hao walisema babu zetu waamini ni mizimu ile ile ya mababu wa wakoloni ambao wamewaaminisha babu zetu wawaombe wao kwa story za kuokolewa nk.

Yani mwafrika utumie maisha yako kuomba mizimu ya mababu wa kizungu, kiarabu, kiyahudi nk na kuacha ya kwako. Sasa tunajifanya tunaipenda na kuielewa story ya dini zaidi ya waliozileta. Hayo mambo ya plan B hata wewe unaweza kuyafanya mkuu, sio lazima wote tufanye kitu kimoja au tuwe na mawazo mamoja.

Ndomaana hata mapacha huwa na mawazo tofauti vilevile as long as hakuna kuvunja sheria za jukwaa, hakuna kuvunja sheria za nchi nk.
 
Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Usituongopee bro.
Israel kuivamia Syria alitaka kufanya expansion ya israel settlements.
Na hilo ameanza lifanya toka 1948.
Hata lebanon hakupigana nao 2006 tu bali 1990s aliwahi vamia na kukalia maeneo ya kusini na Lebanon.
Ukisema kuhusu ardhi basi anaetakiwa kutetea ardhi sio Israel pekeake hata Ugiriki nayo basi iwatwange Turkiye wawarudishie kuanzia Istanbul(constantinople) mpaka Bursa.
Pia Caucasians wakaipiganie Australia na USA ambayo kote kuna uzao wa kiingereza.
 
Umetoa mifano yenye elimu, japo huyo myahudi wa kipogoro itakuwa ngumu kukuelewa.

Kikubwa ujumbe umefika na wenye akili watauelewa.
 
Yani hawa wananishangaza kitu kimoja.
Mwenye haki ya kupigania ardhi yake awe Israel tu ilhali kuna maeneo kibao duniani watu wame misplace.
Kama kila asili iseme ipiganie ardhi yake basi 60% ya dunia haitakalika.
Ila wao wanaamini Israel ndio mwenye haki pekee ya kupigania ardhi.
 
Huo ndio ujinga wao. Na wengi wao katika hili hauwambii kitu kabisa
 
Huo ni mtazamo wako, ila jumuiya ya kimataifa inatambua dola ya Israeli tangu ilipoundwa mwaka 1948.
Dola la kigaidi la kizayuni punde lina sambaratika
Waajemi na wapenda amani wengine wamelikalia kooni
Zandani kabisa Americant anajadili kuondoka iraq na Syria punde napo anakimbizwa
Anguko la Americant linazidi kujongea jongea yaaani
 
Acha ujinga kijana. Ukristo umeanzishwa na wazungu wa kiroma. Huko uyahudini kwa wayahudi original wala hawaujui huo ukristo kwa sababu haukuanzia katika nchi yao. Sisi waafrika wewe ukiwa mmoja wapo ndo wajinga, tumeletewa zigo la dini na kukimbilia kulipokea bila kuwaona au kuwa na ushahidi wa hao tunao ambiwa sijui mitume, sijui wafia dhambi zetu misalabani nk.

Jamaa walikuta mababu zetu wana amini vizuri na kupata matokeo chanya, hawa wakoloni wakaanza kudai eti babu zetu wanakufuru kwa kuamini mizimu, hivyo inatakiwa babu zetu wawaamini kina Yesu, Mwamedi nk. Lakini ukiangalia kimakini unakuta na hao walisema babu zetu waamini ni mizimu ile ile ya mababu wa wakoloni ambao wamewaaminisha babu zetu wawaombe wao kwa story za kuokolewa nk.

Yani mwafrika utumie maisha yako kuomba mizimu ya mababu wa kizungu, kiarabu, kiyahudi nk na kuacha ya kwako. Sasa tunajifanya tunaipenda na kuielewa story ya dini zaidi ya waliozileta. Hayo mambo ya plan B hata wewe unaweza kuyafanya mkuu, sio lazima wote tufanye kitu kimoja au tuwe na mawazo mamoja.

Ndomaana hata mapacha huwa na mawazo tofauti vilevile as long as hakuna kuvunja sheria za jukwaa, hakuna kuvunja sheria za nchi nk.
Ndio maana nikakuita we ni mjinga. Unajifanya unajua lakin hujui inawezekana unajua sehem kwa kuhadithiwa sehem au umesoma sehem ndogo sana ukaja na jibu la jumla. Tufanye uko sahihi. Ila kwa kukusaidia kama unaweza nenda Ethiopia kwenye kanisa lao la Coptic hawajaletewa na mzungu. wenyewe wengi walikuwa Jerusalem nyakati zile. Lakin pia kwangu Mimi ishu sio nani mwanzilish au nani sio kwangu Mimi ukiniambia tupendane tuish wewe kwangu ndio mwenye din haijalish umetokea race gan.
 
Inaonekana wewe ni mtu wa Kigoma maana si kwa ubishi huu kaka 😂😂😂
 
Mi mchagga bro. Ninachokuambia nenda Coptic church utajua tofauti na unayojua kuhusu kanisa. Achana na hiz Rumi churches
 
Back
Top Bottom