Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,963
- 5,757
Walitumia nguvu hata machifu wa zama zile walipinga sana, watu wameuliwa na wengine kunyongwa kupinga hilo.Kama ukoloni uliharibu, kwa nini na sisi tulikubali waharibu?
Kizazi cha wakati huo walikuwa wajinga. Maumivu ya Afrika leo ni mavuno ya ujinga wa wazee wa kipindi cha ukoloni na vizazi vilivyofuataKama ukoloni uliharibu, kwa nini na sisi tulikubali waharibu?
Baada ya miaka 60 ya uhuru kusubiria au kulalamika mfumo si sawa, kwenye dunia ya utandawazi na ajira ngumu si sawa.Nadhani mifumo ikiwezeshwa na ikawa na nia, inaweza kuleta matokeo chanya
Tungesonga mbele kwenye nyanja ipi?Hao jamaa kikubwa wametusaidia sana. Japo huenda bila ujio wao nasisi tungekuwa tumesonga mbele.
Tungetumia ata mawe kuwafukuza, hiyo kututawala inathibitisha upeo wao wa kufikiri ni mkubwa.Walitumia nguvu hata machifu wa zama zile walipinga sana, watu wameuliwa na wengine kunyongwa kupinga hilo.
Pia walitumia mbinu ya dini na walipoona imeshindikana wakaja na vita na wakiona kiongozi fulani mgumu, anafuatwa chifu ambaye ni adui yake. Anapewa ofa nzuri awasaidie wageni kumwangusha adui yake. Akifanikiwa kumuangusha na yeye anajikuta mtukishi wao
Mfano Kongo walikatwa miguu na mikono wengi sana kisa kukaidi aguzo lao. Mamilioni wameuawa hadi ufalme wa Ubelgiji ulikuja kuomba radhi kwa hilo.
Waafrika wenye nguvu waliweza kumudu kuzuia mfano Ethiopia mkoloni aliyepewa pale alipakuta kumeendelea na wanajiweza. Alipoingilia kimabavu alichapika hadi akakimbia.
Kumbuka na wewe utakuja ulaumiwe na kizazi chakoKizazi cha wakati huo walikuwa wajinga. Maumivu ya Afrika leo ni mavuno ya ujinga wa wazee wa kipindi cha ukoloni na vizazi vilivyofuata
Mawe na bunduki kweli au mizinga? Za wapi hizo?Tungetumia ata mawe kuwafukuza
Kwenye nyanja nyingi tu.Tungesonga mbele kwenye nyanja ipi?
Baada ya miaka 60 ya uhuru kusubiria au kulalamika mfumo si sawa, kwenye dunia ya utandawazi na ajira ngumu si sawa.
Huwa unaona videos za watu wa Pakistan na shughuli wanazofanya jamaa wana skills na hawazuiwi na mfumo wala mazingira.
Aya wakoloni walishaondoka, mmebaki nyie kwa nyie mnapigana, hapo utamlaumu nani?Mawe na bunduki kweli au mizinga? Za wapi hizo?
Kuna Samori Toure walipotaka kucbukja utawala wake, alipigana nao miaka zaidi ya saba mfululizo, hadi anakuja kuangushwa wazungu walitoka jasho la kwapa.
Samori alikuwa mjanja hakutaka vita ipiganwe kwenye makazi ya watu wake aliipeleka porini huko. Alihakikisha jeshi linapata chakula cha kutosha na usambazaji wa silaha hasa hizi bunduki. Bado akaendelea na shughuli za uzalishaji mali kama kawaida. Inatengwa bajeti ya jeshi mengine yanendelea kwenye empire yake. Wazungu walisota siyo poa
Wazungu mpaka wanakuja Afrika wao ilikuwa tiyari wameshapata elimu, civilization, na dini ishaenea. Wakaja Afrika wakakuta wazee wetu wamependelewa wamepewa kila kitu ila hawaelewi.Tungetumia ata mawe kuwafukuza, hiyo kututawala inathibitisha upeo wao wa kufikiri ni mkubwa.
Kwa hiyo mpaka leo tumenasa?Kwenye nyanja nyingi tu.
Ndio maana mzungu alitumia nguvu sana kuharibu kila kitu ambacho Waafrika walikuwa wameanza kufanya. Afrika pia walikuwa wameanza kufanya na walichokifanya kilikuwa pure natural.
Mzungu anakuletea vitu vinakusaidia na vinakuua vilevile.
Waafrika walikosa maarifa ya kutosha kuendeleza mambo yao. Wakanasa kwenye mtego wa wazungu.
Kwa hiyo ata kizazi hiki bado kinaendelea kumlaumu mzungu?Wazungu mpaka wanakuja Afrika wao ilikuwa tiyari wameshapata elimu, civilization, na dini ishaenea. Wakaja Afrika wakakuta wazee wetu wamependelewa wamepewa kila kitu ila hawaelewi.
Wanapewa fulana za mtumba wananyanganywa madini 💔
Hawakuondoa mizizi yote hapa na walibakisha mabaki yao waendelee kufaidi. Bado kuna kiumbe mpya alitaka kufaidi makoloni waliyoyaacha na aliingiza watu weusi huku kwa mgongo wa kurudishwa nyumbani waliyopelekwa utumwani ila nchi aliyoianzisha Rais akawa mzunguAya wakoloni walishaondoka, mmebaki nyie kwa nyie mnapigana, hapo utamlaumu nani?
Kuna vitu vingine tutakuwa tunawasingizia wazungu, mfano migongano ya kiitikadi, nayo tutasema chanzo ni wazungu?Hawakuondoa mizizi yote hapa na walibakisha mabaki yao waendelee kufaidi. Bado kuna kiumbe mpya alitaka kufaidi makoloni waliyoyaacha na aliingiza watu weusi huku kwa mgongo wa kurudishwa nyumbani waliyopelekwa utumwani ila nchi aliyoianzisha Rais akawa mzungu
Kila sehemu iliyoondolewa mizizi yote walifanya kila wawezalo kuharibu. Ona Libya, Somalia nayo ilikuwa mbali kiasi chake hadi Tanzania na Uganda enzi za Mwalimu kukiwa na mgogoro wao walisimama sana kupatanisha kuwa na amani.
Watu walipewa uhuru wa bendera ila mfumo ulikuwa unatumaliza
Systen inayopeleka hiyo mgongano imetokana na wao, hata nchi zilizoamua kuwa na mifumo yao walifanya kila namna kuiharibu. Wanalipwa hela watu wabomoeKuna vitu vingine tutakuwa tunawasingizia wazungu, mfano migongano ya kiitikadi, nayo tutasema chanzo ni wazungu?
Teknilojia ya ujenzi, sayansi ya anga na vingi sababu tulishindwa vita muda mrefu waliandika historia waoKwa sisi waafrika, ni kitu gani tumekitengeneza na kipo duniani kote?
Systen inayopeleka hiyo mgongano imetokana na wao, hata nchi zilizoamua kuwa na mifumo yao walifanya kila namna kuiharibu. Wanalipwa hela watu wabomoe