Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Nadhani kinachotufanya waafrika tunaonekana wajinga ni ubishi, kutokukubali kujifunza kwa wengine, wivu, ukosefu wa ushirikiano, ukabila, Imani potofu. Wenzetu kama wachina walikuwa maskini lakini angalia tabia zilizowafanya hadi wameendea kujifunza, ushirikiano, heshima, ubunifu, uzalishaji, Imani potofu hamna kama Africa.

Nadhani kwa jicho nililinalo kama wabongo na waafrica wengine tutaendelea na hii tabia basi umaskini ni rafiki yetu hata miongo na Karne zijazo.
Uko sahihi
 
Naona hata mzee Kagame amekaa muda mrefu madarakani lakini nadhani Rwanda ameiweka kwenye msitari madri alivyoweza.

Lakini pamoja na kutokuwa na zuio la ukomo, suala la kiongozi kukaa madarakani akiamini hakuna mwingine kama yeye ni kudhihirisha kuwa hajatimiza wajibu wake kama kiongozi.

Kiongozi bora huzalisha viongozi bora zaidi. Watakaolinda mifumo ya taifa.
Hayo ni mawszo yako tu na si kila unachoawaza kinakuwa ni halisia.
 
Ile kukaa muda mrefu ni kuwanyima wengine wenye maarifa mazuri zaidi yako kutoshika nafasi.
Tunajua ukeketaji si mzuri, kwa hiyo si vizuri kuwaachia watu waendelee kukeketana kwa sababu ni utamaduni wao.​
Kama wana maarifa na uwezo wawashawishi wananchi na kufuata taratibu kuwania nafasi, si kutaka fulani akae kando kwa kujua hawawezi kushinda akigombea.
 
Nadhani kinachotufanya waafrika tunaonekana wajinga ni ubishi, kutokukubali kujifunza kwa wengine, wivu, ukosefu wa ushirikiano, ukabila, Imani potofu. Wenzetu kama wachina walikuwa maskini lakini angalia tabia zilizowafanya hadi wameendea kujifunza, ushirikiano, heshima, ubunifu, uzalishaji, Imani potofu hamna kama Africa.

Nadhani kwa jicho nililinalo kama wabongo na waafrica wengine tutaendelea na hii tabia basi umaskini ni rafiki yetu hata miongo na Karne zijazo.
Sasa mkuu waafrika na hayo mambo uliyoyataja ni hivi 💞. Mpaka unajiuliza labda sisi tulilogwa na nani!

Mambo ya ajabuajabu Afrika ndo yanapewa airtime. Mambo ya msingi watu hawana muda nayo.

Lakini mi nadhani haya yote mzizi wake ni pamoja na mfumo wa elimu duni ikiambatana na dini zetu.

Elimu yetu inatuandaa kutekeleza "ndio mkuu", na sio kubuni. Na mfumo wa maisha na utawala upo hivyo. Kama mtu hana uthubutu na ujasiri basi hafanyi chochote.
 
Leo hii sisi waafrika, tunauza nini nje zaidi ya malighafi?
Funny thing unachoclaim (Nguo) ni moja ya export nzuri toka Africa, Giza cotton ni luxury, ukiskia shuka, Nguo ama kitu kimetengenezwa na cotton ya Giza bei hugusi, shuka Hadi Milioni 5,

So wewe unaclaim sisi tunawategemea wazungu, ila hao matajiri ili uonekane unalalia kitu kizuri ama umevaa Nguo nzuri yenye Afya basi unahitaji cotton ya Egypt,

Na ni effort Yao wenyewe kuanzia mbegu Hadi namna ya ulimaji na uvunaji.
 
Wanatumia mashine zilizotengenezwa na nani?
 
Sasa mkuu waafrika na hayo mambo uliyoyataja ni hivi 💞. Mpaka unajiuliza labda sisi tulilogwa na nani!

Mambo ya ajabuajabu Afrika ndo yanapewa airtime. Mambo ya msingi watu hawana muda nayo.

Lakini mi nadhani haya yote mzizi wake ni pamoja na mfumo wa elimu duni ikiambatana na dini zetu.

Elimu yetu inatuandaa kutekeleza "ndio mkuu", na sio kubuni. Na mfumo wa maisha na utawala upo hivyo. Kama mtu hana uthubutu na ujasiri basi hafanyi chochote.

Exactly kabs mkuu, watu hawataki kuacha mambo ambayo ni chanzo cha maendeleo duni. Africa

Umenena vizuri sana mkuu. Ukweli ni kwamba Waafrika tuna shida ya kisaikolojia na kimfumo. Mtu anaweza kujua ukweli, lakini akachagua kuendelea kuenzi ujinga kwa sababu tu ya mazoea na urithi wa fikra duni.
 
Wanatumia mashine zilizotengenezwa na nani?
Kwamba kutengezwa Nguo ni lazima utumie mashine? Soma Historia ya Cotton ya Giza, wakati Usa anapigana civil war zaidi ya miaka 200 iliopita Egypt wana supply hio cotton,

Na hata hizo machine who told you zinatoka Ulaya? Ukitaka Machine unaifata Japan, China, Taiwan etc kama kumbukumbu zipo sahihi ulaya yote na marekani kimebaki kiwanda kimoja tu cha machine kinachotengeneza viwanda.
 
Exactly kabs mkuu, watu hawataki kuacha mambo ambayo ni chanzo cha maendeleo duni. Africa

Umenena vizuri sana mkuu. Ukweli ni kwamba Waafrika tuna shida ya kisaikolojia na kimfumo. Mtu anaweza kujua ukweli, lakini akachagua kuendelea kuenzi ujinga kwa sababu tu ya mazoea na urithi wa fikra duni.
Ni kweli kabisa. Kuitafuta njia ni suala la kwanza, kuijua njia ni suala la pili. Lakini kuifuata hiyo njia ipaswavyo ni suala tofauti kabisa.

Wengi hawataki kabisa kusikia ukweli kwa sababu ukweli unaumiza. Lakini hawajui kujidanganya kuna maumivu yasiyokoma.

Na wanaoujua ukweli ulazimika kuupuuza ukweli aidha kwa maamuzi yao wenyewe au kwa shinikizo la mifumo ya maisha. Afrika noma sana ase
 
Back
Top Bottom