Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Wazungu pia ndiyo wamefuta civilization iliyofanyika Africans kabla ya wao, mengi yalikuwepo Ethiopia,West Africa huko mfano wa Mali empire
Hii ndio maana ya civilization

Ukitoa hiyo north Africa, misri Ambayo na yenyewe ilikuwa na watu kutoka ulaya na middle east kipindi cha roman empire na byzantine empire.

Niambie ni wapi Africa wamewahi kuwa na tawala zenye Court system, government system, record keeping, judicial system,
 

Attachments

  • Screenshot_20260902-094526.png
    Screenshot_20260902-094526.png
    181.3 KB · Views: 7
Kwamba kutengezwa Nguo ni lazima utumie mashine? Soma Historia ya Cotton ya Giza, wakati Usa anapigana civil war zaidi ya miaka 200 iliopita Egypt wana supply hio cotton,

Na hata hizo machine who told you zinatoka Ulaya? Ukitaka Machine unaifata Japan, China, Taiwan etc kama kumbukumbu zipo sahihi ulaya yote na marekani kimebaki kiwanda kimoja tu cha machine kinachotengeneza viwanda.
Anayeiongoza dunia kwa sasa ni nani?
 
Maendeleo yameanzia Africa

Civilization za kwanza zilikua along mto Nile

Vyuo vikuu vya kwanza vimetoka Africa

Hao wazungu walikua wanakimbiza wanyama maporini na kuabudu mizimu
Nini sasa kilichotufanya sisi waafrika tuwe hatuna mbele wala nyuma?
 
Elezea msingi na mzizi wa utamaduni wa mswahili bila kuhusisha muingiliano na watu wa Asia.
Hakuna mswahili bila muiran, ili uwe mswahili inabisi uwe mixer ya muiran na bantu. Waswahili wote 100% baba zao walitoka Iran, so kusema kuna utamaduni wa mswahili bila muingiliano kunaonesha hujui maama ya mswahili.

Na pia mtu kutoka Asia haimaanishi ni mweupe, washirazi wapo wengi weusi hata kabla ya kuja Tanzania, na hata hao waliokuja huku Tanzania na kuanzisha kilwa hawakuwa weupe, as asili Yao ni huku huku Africa, mama Yao aliolewa kule, baadae ya kushindwa vita vya ufalme akarudi huku kwa mama yake na alitaka kuanIsha empire yake Mogadishu alipokataliwa na wasomali ndio akaja Chini kilwa.
 
Back
Top Bottom