Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #241
Uko sahihiNadhani kinachotufanya waafrika tunaonekana wajinga ni ubishi, kutokukubali kujifunza kwa wengine, wivu, ukosefu wa ushirikiano, ukabila, Imani potofu. Wenzetu kama wachina walikuwa maskini lakini angalia tabia zilizowafanya hadi wameendea kujifunza, ushirikiano, heshima, ubunifu, uzalishaji, Imani potofu hamna kama Africa.
Nadhani kwa jicho nililinalo kama wabongo na waafrica wengine tutaendelea na hii tabia basi umaskini ni rafiki yetu hata miongo na Karne zijazo.
Hayo ni mawszo yako tu na si kila unachoawaza kinakuwa ni halisia.Naona hata mzee Kagame amekaa muda mrefu madarakani lakini nadhani Rwanda ameiweka kwenye msitari madri alivyoweza.
Lakini pamoja na kutokuwa na zuio la ukomo, suala la kiongozi kukaa madarakani akiamini hakuna mwingine kama yeye ni kudhihirisha kuwa hajatimiza wajibu wake kama kiongozi.
Kiongozi bora huzalisha viongozi bora zaidi. Watakaolinda mifumo ya taifa.
tatizo ni sisi wenyewe na si wazunguNdio naweza kutengeneza vizuri tu. Lakini najaribu kutafakari changamoto anazokumbana nazo Masoud Kipanya.
Kama wana maarifa na uwezo wawashawishi wananchi na kufuata taratibu kuwania nafasi, si kutaka fulani akae kando kwa kujua hawawezi kushinda akigombea.Ile kukaa muda mrefu ni kuwanyima wengine wenye maarifa mazuri zaidi yako kutoshika nafasi.
Tunajua ukeketaji si mzuri, kwa hiyo si vizuri kuwaachia watu waendelee kukeketana kwa sababu ni utamaduni wao.
Kwamba Nyumba za matofali kilwa miaka zaidi ya 1000 nazo zilijengwa na wazungu? Pyramid za Egpty zilijengwa na wazungu? Great Zimbabwe na kingdom of kush zilijengwa na wazungu?Bila wao nyumba za block zingekuwepo kweli?
mpira wa miguu nao alivumbua mzungu? ama kweli. 🙌Kusingekuwepo cha simba wala yanga,kungekuwepo mashindano ya nani anaweza kumuua simba,nani anaweza kumkimbiza mnyama fulani na kumkamata
chinaMashine na vipuri vinatoka wapi?
China amejifunza kwa mzunguchina
Sasa mkuu waafrika na hayo mambo uliyoyataja ni hivi 💞. Mpaka unajiuliza labda sisi tulilogwa na nani!Nadhani kinachotufanya waafrika tunaonekana wajinga ni ubishi, kutokukubali kujifunza kwa wengine, wivu, ukosefu wa ushirikiano, ukabila, Imani potofu. Wenzetu kama wachina walikuwa maskini lakini angalia tabia zilizowafanya hadi wameendea kujifunza, ushirikiano, heshima, ubunifu, uzalishaji, Imani potofu hamna kama Africa.
Nadhani kwa jicho nililinalo kama wabongo na waafrica wengine tutaendelea na hii tabia basi umaskini ni rafiki yetu hata miongo na Karne zijazo.
ndo maana mnaambiwa mtafute maarifa, pc, lift za automatic, na mifano mingine kedekede imeletwa na waafrikaKwa sisi waafrika, ni kitu gani tumekitengeneza na kipo duniani kote?
Funny thing unachoclaim (Nguo) ni moja ya export nzuri toka Africa, Giza cotton ni luxury, ukiskia shuka, Nguo ama kitu kimetengenezwa na cotton ya Giza bei hugusi, shuka Hadi Milioni 5,Leo hii sisi waafrika, tunauza nini nje zaidi ya malighafi?
Duka gani lift zilizotengenezwa na mwafrika zinapatikana?ndo maana mnaambiwa mtafute maarifa, pc, lift za automatic, na mifano mingine kedekede imeletwa na waafrika
Wanatumia mashine zilizotengenezwa na nani?Funny thing unachoclaim (Nguo) ni moja ya export nzuri toka Africa, Giza cotton ni luxury, ukiskia shuka, Nguo ama kitu kimetengenezwa na cotton ya Giza bei hugusi, shuka Hadi Milioni 5,
Giza 45 Collections - Luxury Egyptian Cotton Bedding | SFERRA
Indulge in the celebrated collection of SFERRA Giza 45 Egyptian cotton bed sheets & bedding, woven from the finest longest staple cotton and unlike any other. Shop luxury Egyptian cotton duvet covers, shams & more.www.sferra.com
So wewe unaclaim sisi tunawategemea wazungu, ila hao matajiri ili uonekane unalalia kitu kizuri ama umevaa Nguo nzuri yenye Afya basi unahitaji cotton ya Egypt,
Na ni effort Yao wenyewe kuanzia mbegu Hadi namna ya ulimaji na uvunaji.
Misaada yote si unaona wao wapo hapa USAiD na ndugu zake bila hivyo hakuna kitu kingefanyika.Kwa hiyo ata kujisimamia ni tatizo?
Tende zinapatikana kiurahisiWasingekuja waarabu/waislamu Afrika ya mashariki sijui tu hali ingelikuaje.
Ahsanteni sana WAARABU.
Sasa mkuu waafrika na hayo mambo uliyoyataja ni hivi 💞. Mpaka unajiuliza labda sisi tulilogwa na nani!
Mambo ya ajabuajabu Afrika ndo yanapewa airtime. Mambo ya msingi watu hawana muda nayo.
Lakini mi nadhani haya yote mzizi wake ni pamoja na mfumo wa elimu duni ikiambatana na dini zetu.
Elimu yetu inatuandaa kutekeleza "ndio mkuu", na sio kubuni. Na mfumo wa maisha na utawala upo hivyo. Kama mtu hana uthubutu na ujasiri basi hafanyi chochote.
Sasa mkuu waafrika na hayo mambo uliyoyataja ni hivi 💞. Mpaka unajiuliza labda sisi tulilogwa na nani!
Mambo ya ajabuajabu Afrika ndo yanapewa airtime. Mambo ya msingi watu hawana muda nayo.
Lakini mi nadhani haya yote mzizi wake ni pamoja na mfumo wa elimu duni ikiambatana na dini zetu.
Elimu yetu inatuandaa kutekeleza "ndio mkuu", na sio kubuni. Na mfumo wa maisha na utawala upo hivyo. Kama mtu hana uthubutu na ujasiri basi hafanyi chochote.
Kwamba kutengezwa Nguo ni lazima utumie mashine? Soma Historia ya Cotton ya Giza, wakati Usa anapigana civil war zaidi ya miaka 200 iliopita Egypt wana supply hio cotton,Wanatumia mashine zilizotengenezwa na nani?
Wasingekuja waarabu/waislamu Afrika ya mashariki sijui tu hali ingelikuaje.
Ahsanteni sana WAARABU.
Ni kweli kabisa. Kuitafuta njia ni suala la kwanza, kuijua njia ni suala la pili. Lakini kuifuata hiyo njia ipaswavyo ni suala tofauti kabisa.Exactly kabs mkuu, watu hawataki kuacha mambo ambayo ni chanzo cha maendeleo duni. Africa
Umenena vizuri sana mkuu. Ukweli ni kwamba Waafrika tuna shida ya kisaikolojia na kimfumo. Mtu anaweza kujua ukweli, lakini akachagua kuendelea kuenzi ujinga kwa sababu tu ya mazoea na urithi wa fikra duni.