Hawezi kushinda au aliye madarakani anatumia nguvu zake zote kuwakwamisha ikibidi hata kuua pale anapojitokeza mtu anaye challenge uwezo wake, mambo ya kijinga ambayo hata Chama cha Mapinduzi kimeyaiga na kinaya practise kikamilifu.Kama wana maarifa na uwezo wawashawishi wananchi na kufuata taratibu kuwania nafasi, si kutaka fulani akae kando kwa kujua hawawezi kushinda akigombea.
Hiyo kilwa mnayotolea mfano, wala hizo nyumba au ustaarabu wote kwa ujumla haukutokana solely na ujuzi au maarifa ambayo walikuwa nayo waafrika waliokuwa wakiishi wakati huo bali ulichangiwa kwa asimilia kubwa au zote na muingiliano wa waafrika na waarabu kutoka Asia.Kwamba Nyumba za matofali kilwa miaka zaidi ya 1000 nazo zilijengwa na wazungu? Pyramid za Egpty zilijengwa na wazungu? Great Zimbabwe na kingdom of kush zilijengwa na wazungu?
China na ujanja wake hadi leo hii ameshindwa kukopi ujuzi wa kutengeneza ndege za kueleweka na kuaminika.China amejifunza kwa mzungu
Hao egyptians si huwa mnasema ni wahamiaji kutoka arabuni.Funny thing unachoclaim (Nguo) ni moja ya export nzuri toka Africa, Giza cotton ni luxury, ukiskia shuka, Nguo ama kitu kimetengenezwa na cotton ya Giza bei hugusi, shuka Hadi Milioni 5,
Giza 45 Collections - Luxury Egyptian Cotton Bedding | SFERRA
Indulge in the celebrated collection of SFERRA Giza 45 Egyptian cotton bed sheets & bedding, woven from the finest longest staple cotton and unlike any other. Shop luxury Egyptian cotton duvet covers, shams & more.www.sferra.com
So wewe unaclaim sisi tunawategemea wazungu, ila hao matajiri ili uonekane unalalia kitu kizuri ama umevaa Nguo nzuri yenye Afya basi unahitaji cotton ya Egypt,
Na ni effort Yao wenyewe kuanzia mbegu Hadi namna ya ulimaji na uvunaji.
Shida ya wanasiasa na shutuma zao hawaeleweki, uchaguzi ule CDM aliongoza Lowasa kama mgombea, walilalama kura ziliibwa na Lowassa alishinda ila Mbowe baadaye alikuja kukiri mwenyewe walishindwa uchaguzi.Hawezi kushinda au aliye madarakani anatumia nguvu zake zote kuwakwamisha ikibidi hata kuua pale anapojitokeza mtu anaye challenge uwezo wake, mambo ya kijinga ambayo hata Chama cha Mapinduzi kimeyaiga na kinaya practise kikamilifu.
Hayati Magufuli kule Chato akiwa mbunge aliacha legacy ya kutumia nafasi yake kama mbunge na waziri kuhakikisha wapinzani ndani ya Chama na nje ya chama hawafui dafu. Kumbukumbu zipo wazi.Shida ya wanasiasa na shutuma zao hawaeleweki, uchaguzi ule CDM aliongoza Lowasa kama mgombea, walilalama kura ziliibwa na Lowassa alishinda ila Mbowe baadaye alikuja kukiri mwenyewe walishindwa uchaguzi.
Si wa kuwaamini kabisa, huku bara hakuna ambaye amewahi kushi da ukiondoa hizo porojo zao, wanalalama hakuna haki wamedhulumiwa baadaye wanakuja kukiri walishindwa
Hii ni kweli. Hata historia Ina prove hili. Kabla ya mwaka 1890, Afrika ilikuwa haina mipaka ya nchi, wala serikali hizi tulizo nazo. Ukoloni ndio umeleta maarifa ya sisi kujitawala.Mimi sidhani kama jamii za watu weusi hasa afrika kama walikua na mchango wa maendeleo ya dunia kupitia maalifa yao,gunduzi zao,tamaduni zao (NJE NA UTUMWA MTU MWEUSI HAKULETA MAENDELEO YA MOJA KWA MOJA YAWE YA VITU AU NADHARIA)
Kilwa has nothing to do with waarabu,Hiyo kilwa mnayotolea mfano, wala hizo nyumba au ustaarabu wote kwa ujumla haukutokana solely na ujuzi au maarifa ambayo walikuwa nayo waafrika waliokuwa wakiishi wakati huo bali ulichangiwa kwa asimilia kubwa au zote na muingiliano wa waafrika na waarabu kutoka Asia.
Mjinga peke yake ndio anaita Egypts ni waarabu, it's a fact watu wa sasa wa Egypt ndio hao hao Waliishi wakati wa farao.Hao egyptians si huwa mnasema ni wahamiaji kutoka arabuni.
Na huwa mna claim kwamba ancient egypt haikukaliwa na arabs. Leo hii mnawatumia egyptian arabs kama symbol of civilization and development. Nyie wazee mna visa sana.
Ukisoma historia, ustaarabu umeanza baada ya vita vya pili vya Dunia.Hoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.
Elezea msingi na mzizi wa utamaduni wa mswahili bila kuhusisha muingiliano na watu wa Asia.Kilwa has nothing to do with waarabu,
Ni mtoto wa mfalme wa Shirazi (Iran ya sasa) ambaye alikuja huku kwetu na kuanzisha civilisation ya waswahili. Ancestor wao alitoka Iran ila civilisation ya waswahili imekaa zaidi ya miaka 1000 na mpaka Leo ndio hawa hawa watu wa pwani unaowaona Leo.
Waswahili walitembea Almost Dunia nzima, walifika India, Indonesia na Nchi mbalimbali.
Tatizo gani lilitengemezwa, ndio umeme ukaja kulitatuahuo umeme sasa hivi ndio unaona una umuhimu ila ahukuwa na umuhimu
yani mmetengezewa tatizo ilimmewe solution
tatizo la kuona unauhitaji sana umeme ndio uishi yani bila umeme hakuna linaloendeleaTatizo gani lilitengemezwa, ndio umeme ukaja kulitatua
Labda tatizo la giza ndilo lililotengenezwa.Tatizo gani lilitengemezwa, ndio umeme ukaja kulitatua
kwani ustaarabu ni niniTunarudi taratibu kule tulikotoka kitabia, kwa kupoteza ustaarabu
Mkuu umemaliza kila kitu. Siongezi neno.Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mpaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.