Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Ngoja tusubiri michango ya wadau kwenye hili
 
we was happy
unatoka zako asubuhi na magome yako ya miti kiunoni uaenda kuokota mihogo unarudi nyumbani unachemsha unakula kisha unalala
Tatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....
 
Hizo nguo ulizovaa hapo ulipo zimetengenezwa wapi?
 
Tatizo bila hizi bunduki Simba na tembo wangekuwa wengi, na wangekuwa wanatuua, unaenda shambani unavurumushwa na Simba unaliwa.....
Na wangekuwa wengi sana kuliko binadamu, uzao wao mmoja unatoa zaidi ya vitoto 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…