Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Human resources pamoja vitu vingine kwenye career yangu ambavyo hata hao wazungu wanatumia japo kwa uchache
Hiyo human resource, umesoma vitabu vya wapi, na je wewe umeandika vitabu vingapi vikafundishiwe Oxford, Manchester, Harvard n.k?​
 
Tusiumize vichwa sana, nenda kwenye kabati lako, angalia asilimia 70 ya nguo zako zinatoka wapi?
 
Hiyo human resource, umesoma vitabu vya wapi, na je wewe umeandika vitabu vingapi vikafundishiwe Oxford, Manchester, Harvard n.k?​
Human resource kwa maana nimezaa hivyo nimeongeza rasilimali watu sikumaanisha HR. Na pia sielewi kwanini unafikiri mchango wa maana lazima uandike kitabu kikafundishwe abroad!

Prof. Duwa Hamisi Chengula, huyu jamaa yupo mzumbe pale kwa sasa, fuatilia kazi zake google
 
Human resource kwa maana nimezaa sikumaanisha HR. Sielewi kwanini unafikiri mchango wa maana lazima uandike kitabu kikafundishwe abroad!

Prof. Duwa Hamisi Chengula, huyu jamaa yupo MUST pale kwa sasa, fuatilia kazi zake google
Vitabu vyake vipo vyuo gani huko nje?
 
Vitabu vyake vipo vyuo gani huko nje?
Prof. Chengula regularly publishes his structural and highway engineering research in international journals. For example:His co-authored research on geopolymer binders and concrete compaction is published via global databases.His civil engineering models on highway engineering, pavement waterlogging, and soil stabilizers are accessible to global researchers via African Journals OnLine (AJOL) and the International Journal of Research and Innovation in Social Science (IJRISS).

His materials are highly relevant to engineers working in volcanic and tropical regions abroad (such as parts of Latin America, Southeast Asia, and other East African nations). Engineers in these areas use his published formulas and datasets on volcanic cinder aggregates and Dynamic Cone Penetration Index (DCPI) to understand how to build durable, low-cost roads using local, marginal soils instead of expensive imported materials.

Bado hakuna kitu amefanya au!
 
Maisha Wala yasingekuwa magumu maana ugumu unakuja pale kunapokuwa na kitu cha kuyalinganisha. Hata kipindi cha stoneaage watu waliona hayo ndo maisha Sasa na hasa walipokuja kugundua moto maisha yakawa kwenye viwango visivyomithilika
 
Hivi katika miaka 60+ ya uhuru, nini chapekee tunefanya vizuri kama Watanzania? Uvumbuzi au ubunifu gani umefanyika? Sekta ya viwanda imekufa kabisa.
 
Vitu vya kawaida hivyo, nikupe Title na wewe ufanye
 
Maisha Wala yasingekuwa magumu maana ugumu unakuja pale kunapokuwa na kitu cha kuyalinganisha. Hata kipindi cha stoneaage watu waliona hayo ndo maisha Sasa na hasa walipokuja kugundua moto maisha yakawa kwenye viwango visivyomithilika
Kwa hiyo tungeishi kutokanana mazingira yalivyo; kwa hiyo tuwalaumu wazungu kwa kuja na vitu vya kulinganisha? Na kwanini walifanya hivyo?​
 
Watekaji wa Abdul wangekuwa wanatumia mishale na mikuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…