Bila wazungu, maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani

Sio kweli
 
I don't think so tatizo wengi mnaitazama Dunia Kwa kuanzia history ya miaka 700 au 800 iliyopita

So unataka kusema kwamba kina pharaoh walikuwa wana tembea uchi !?!!!

Umesha ambiwa baba wa civilization duniani ni kemet Misri ya kale ustaarabu hapo ndio ulipo anzia kabla ya kusambaa duniani kote , Umeambiwa kwamba Ethiopia Hawa kuwahi kutawaliwa haujiulizi kama hawakuwahi kutawaliwa it means walikuwa a head of time katika mambo mengi ya civilization!!!?

Sometimes wabongo mkikarilishwa vitu na nyinyi mnaamini tu bila hata ya kuhoji !!!!

By the way una wajua the moors !!!? Watu weusi waliowahi kuzitawala baadhi ya Nchi za Europe wakiwemo mpaka Portugal!? Najua haujui Hilo

Muwage mnasoma soma hata baadhi ya makala ili kuongeza vitu kichwani
 
Wazungu ni wajanja, walitudanganya na dini zao, kutupupaza ili watunyonye. Bila wao bado tungekuwa na maendeleo. Angalia tunavyozidi kuchungulia mbinguni tukisubiri maisha matakatifu. Hiyo ni janga yao tu, hakuna cha mbinguni wala motoni. Maisha ni haya haya. Walitupumbaza ndio maana wanaonekana wana akili. Pambana nawe siku moja uwapelekee imani yako.
 
Hapo ulipo sasa hivi, hivyo vyote ulivyo vaa, vimetengenezwa wapi?
 
Inakuwaje mpaka leo na hizi elimu zetu, bado tunaendelea kupumbazwa?
 
Kwa nini sio kweli?
Coz kati ya maeneo ya mwanzo kuwa na ustaarabu Africa ipo humo ndani, hiyo miji mingi ya wazungu ambayo leo wewe na Mimi tunaiona ilijengwa na watu kutoka Africa.

Walichofanya wazungu ni kumdidimiza mtu mweusi ili yeye awe juu, na mdidimizo huo ni kama umetuathiri kisaikolojia that's why tuliowengi tunaamini bila mzungu mambo yasingekua hivi ila in reality hamna huo ukweli.
 
Haya nime kuletea history fupi ya the Moors Ili uweze kujua kwamba maendeleo duniani hayajaletwa na mzungu !!! Mzungu alikuta watu kitambo sana wakiwa wamesha Elimika Maendeleo duniani yameletwa na Jamii tofauti tofauti but katika nyakati za miaka Miatano hii mzungu Kwa kiwango kikubwa amechangia ukuaji wa civilization but haimaanishi kwamba huko nyuma hakuna watu waliofanya mambo makubwa duniani

Mfano mdogo tu ni sun Tzu , uwepo wa makala mbali mbali zinazo mtaja sun tzu kwamba ni baba wa Espionage inadhihirisha wazi kwamba Kuna Jamii zilizowahi kuanza kistaarabika kabla ya mzungu sun Tzu alikuwa anaongelea masuala ya ujasusi kwenye miaka ya Giza huko na Technics zake zinatumika mpaka Leo hii kwenye tasnia ya ujasusi na huyo ni mtu mashuhuri kutoka china , Hapo tunaongelea zaidi ya miaka 1000 iliyopita ,


Haya wajue the moors πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20260901-210600.jpg
    160 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260901-210609.jpg
    185.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260901-210616.jpg
    167.1 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…