Unaomboleza kama wanyakyusa.Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.
Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.
Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
..... anakuona kha...Mkuu vipi zile apartments za Erasto Msuya nanibkazirithi
Toa kafara wapendwa wako
Sawa, taharuki ni kawaida msiba ukikugusa, ila umauti hauchagui, mwema ama muovu, tajiri ama maskini.Lazima nishangae sababu alikuwa mwema kwa watu wengi
Unauliza maswali kama vile umetoka kula mikusu au misasati!! Umeshaambiwa Bilionea wa Arusha!!Ndio nani huyu bwashee?
RIP
SawaSawa, taharuki ni kawaida msiba ukikugusa, ila umauti hauchagui, mwema ama muovu, tajiri ama maskini.
Mungu anatwambia anaetenda wema anajitendea mwenyewe, basi atayakuta mema yake huko aendako.
Tuishi kwa wema, tutende mema.
Humu ndani kuna watu wamo mahsusi tu kutufanya tucheke nasogeze siku mbele. Nimecheka balaa.Unauliza maswali kama vile umetoka kula mikusu au misasati!! Umeshaambiwa Bilionea wa Arusha!!
Mimi mwenyewe ni chaga one, Acha tukapumzike tu JamaniiKwa iyo baby umefurahia sisi kufa kwa wingi??!
Vingi sana Kama mimi huku Arusha toka mwezi wa saba katikati mpaka leo , nimepewa taarifa ya vifo zaidi ya 10 vya watu amabao hatuko karibu lakini wako karibu na watu walionipa taarifa. Kuhusu Moshi nimeamua siendi tena Kama sina safari ya lazima. Moshi hakufai yaaniAisee vifo vimekua vingi sana kwa kweli...
Itakua ndio mikoa inayoongoza kwa ukwasi hapa tanzaniaHuko Arusha Moshi mbona kama kuna vifo vingi sana.
Ndio ndio ,inakuaje kiongoziBora mzee baba,umekuja maana nyie ndiyo wadau wenyewe
Ova
Mkuu vipi zile apartments za Erasto Msuya nanibkazirithi
Toa kafara wapendwa wako
Tupo tu mzee,mpela mpela tuNdio ndio ,inakuaje kiongozi
Ndio ndio ,inakuaje kiongozi