TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Huko naambiwa ng'ombe 200 wamenunuliwa kumsindikiza bilionea.

Machalii wa ngarenaro wamefuta bajet ya chakula.
 
Manyire iko mkoa na wilaya gani?
Poleni sana na msiba
 
We jamaa uko vizuri kwa chai mixer Alkasus
 
Nimepita leo mchana nimeona kuna malori yale ya zamani yalikuwa yanaitwa LEYLAND, wakati wanaume tunakufungia vipuri vya VOLVO, MERCEDES BENZ na SCANIA 😂😂
😄😄😄 walikuaga na Yale maisuzu flani hivi ya kizamaniii, nadhani yatakua Ni scrapper sa hivi.
 
Huyo alikuwa bilionea au milionea tu. Sifa za kubumba hizo. Mabilionea huwajui ? Wapo kama Kina kitano wanaomiliki makumi ya meli hao ndio matajiri. Mtu amiliki kihotel tena jengo la kukodi halafu awe bilionea ? Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…