tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hizo story za mla ugoro mbichiSio Shaba? Kuna MTU amesema kauawa na watu waovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo story za mla ugoro mbichiSio Shaba? Kuna MTU amesema kauawa na watu waovu.
Huyo anamjua bilionea shilah anaepiga picha na 5mSasa kama mtu alishauza mawe zaidi ya B 15
Atakosaje kuwa bilionea
Au washazoea wale wanajianika mtandaoni [emoji23][emoji23]
Ova
Ni ya papaa king mollel.Hivi TRIPLE A huwa ni nani anamiliki?
duh wewe umemjuaje huyu mzee ngoja ntakucheki pm[emoji1][emoji1][emoji1] wakina Sulla waliimaliza kabisa SHIRECU.
YesVictorie umechanjwa?
Manyire iko mkoa na wilaya gani?Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.
Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.
Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
nisimulie kidogo legacy yake kama hutojaliDaaah ya Fresho imeniuma mno alikuwa mtu poa saana
Amehuzunisha watu wengi sana mkuu,jamaa ameacha legacy mkuu.
nisimulie kidogo legacy yake kama hutojaliDaaah ya Fresho imeniuma mno alikuwa mtu poa saana
We jamaa uko vizuri kwa chai mixer AlkasusHakuna zari la mentali! NDEGESELA na yeye ni mfanyakazi tu pale na anafanyika kama bosheni lakini mwenye mali yupo.
Mwenye mali ukifika pale kiwandani unaweza ukamuona kwenye upande wa mahesabu.
Yaani mwenye kampuni ya NDEGESELA alikuwa ni mfanyakazi wa TRA - SHINYANGA na alikuwa upande wa uhasibu.
Na ndio yule jamaa kipindi cha MAGUFULI alikutwa na shilingi BILIONI TANO kwenye PERSONAL ACCOUNT yake.
nisimulie kidogo legacy yake kama hutojali
Alkasus na mishkaki ya tendeWe jamaa uko vizuri kwa chai mixer Alkasus
We jamaa uko vizuri kwa chai mixer Alkasus
Ngoja leo nipite pite maeneo ya SHIRECU kuwajulia hali [emoji16][emoji16]
HUYU FRESHO (FRED SHOO) NDIE ALIKUA MMILIKI WA HILI JENGO REFU HAPA MOSHI AMBALO UJENZI WAKE ULISIMAMA.Iliyokua East Africa hotel zamani.
Matajiri wanasepa si mchezo,LaSwai mwenye kibo palace yeye tulikua nae msibani kwa fogo mwenzao mwingine aitwae FRESHO huko kijijini.
HUYU FRESHO (FRED SHOO) NDIE ALIKUA MMILIKI WA HILI JENGO REFU HAPA MOSHI AMBALO UJENZI WAKE ULISIMAMA.
😄😄😄 walikuaga na Yale maisuzu flani hivi ya kizamaniii, nadhani yatakua Ni scrapper sa hivi.Nimepita leo mchana nimeona kuna malori yale ya zamani yalikuwa yanaitwa LEYLAND, wakati wanaume tunakufungia vipuri vya VOLVO, MERCEDES BENZ na SCANIA 😂😂
Moshi sehemu gani?HUYU FRESHO (FRED SHOO) NDIE ALIKUA MMILIKI WA HILI JENGO REFU HAPA MOSHI AMBALO UJENZI WAKE ULISIMAMA.