TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Huko naambiwa ng'ombe 200 wamenunuliwa kumsindikiza bilionea.

Machalii wa ngarenaro wamefuta bajet ya chakula.
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Manyire iko mkoa na wilaya gani?
Poleni sana na msiba
 
Hakuna zari la mentali! NDEGESELA na yeye ni mfanyakazi tu pale na anafanyika kama bosheni lakini mwenye mali yupo.

Mwenye mali ukifika pale kiwandani unaweza ukamuona kwenye upande wa mahesabu.

Yaani mwenye kampuni ya NDEGESELA alikuwa ni mfanyakazi wa TRA - SHINYANGA na alikuwa upande wa uhasibu.

Na ndio yule jamaa kipindi cha MAGUFULI alikutwa na shilingi BILIONI TANO kwenye PERSONAL ACCOUNT yake.
We jamaa uko vizuri kwa chai mixer Alkasus
 
Huyo alikuwa bilionea au milionea tu. Sifa za kubumba hizo. Mabilionea huwajui ? Wapo kama Kina kitano wanaomiliki makumi ya meli hao ndio matajiri. Mtu amiliki kihotel tena jengo la kukodi halafu awe bilionea ? Pole sana.
 
Back
Top Bottom