Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajauawa msichanganye habari ya 2015 alivojeruhiwa kwa risasi na habari ya kifo chake,kaugua kapelewa south ndio kafia huko.Mungu ametenda wakati ameuawa kwa mikono ya waovu?
Pole sana kwa msiba wa nduguyo.
Mathias ni bilionea kweli acha porojo,ana vitega uchumi ya mabilioni ya tsh.Arusha mtu hata akiuza gesi kwa jumla anaitwa bilionea wakati ni distributor tu
Nani amekuambia amepigwa risasi ?alikuwa na shida za mapafu ( Pulmonary embolism). risasi alipigwa mwaka 2016 na watu wasiojulikana
Hata kajambanani wanakufa sana sema hatuwasikii kwasababu hawana influenceMafogo yanaisha mjini hapa
Mkuu kuna mahali hujaelewa, Arusha kuna Snow Crest iliopo njia ya kuelekea Tengeru, pia Kuna Golden Crest ambayo kipindi cha nyuma ilikuwa inaitwa East Africa Hoteli ipo Jirani na Kibo Palace mtaa wa uzunguni.Golden Crest ipo Old Moshi Road mkuu. Iliyopo Moshi-Arusha Road ni Snow Crest
Mmh[emoji848]Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.
Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.
Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Hadi majeneza moshi yameadimika, Sahiv majeneza yanatoka mkoani kuja moshiHuko Arusha Moshi mbona kama kuna vifo vingi sana.
Mmmh[emoji848]Marehemu alinikopesha milioni mbili dah naipeleka kwa familia inauma sana
Kuna mtu amesema watu wa hali ya chini Hawafi?Hata kajambanani wanakufa sana sema hatuwasikii kwasababu hawana influence
Acha masihara Bushmamy😳Hadi majeneza moshi yameadimika, Sahiv majeneza yanatoka mkoani kuja moshi
HajamalizaVP lile jengo lake pale Sakina karibu na 7up alishamaliza Ujenzi??
Mbona unaguna!! kwamba unapinga udugu wa huyo ndugu na tajiri au!!?Mmh[emoji848]
Sure, moshi hapafai. Mortuary zimejaa, na majeneza hamna,😳
Acha masihara Bushmamy😳
Mathias ni bilionea kweli acha porojo,ana vitega uchumi ya mabilioni ya tsh.
Inasikitisha Sana!! Uviko19 imekuja kuleta maumivu duniani.Hadi majeneza moshi yameadimika, Sahiv majeneza yanatoka mkoani kuja moshi
Yes ni tajiri kweli ,achana na ma apartment ,mashamba ,migodi inshort ni bilionea.Na katika matajiri ambao wako peace na watu ni huyo Manga hanaga noma na mtu kabisa.
Sure, moshi hapafai. Mortuary zimejaa, na majeneza hamna,
Mafundi Sahiv wanafanya kazi usiku na na mchana.
Nilikuwa kule wiki mbili nimejionea kwa macho
Mkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupuInasikitisha Sana!! Uviko19 imekuja kuleta maumivu duniani.
Kwamba tajiri hafariki ama!?Da huyu tajiri kafariki asee? RIP Mathias