Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Ulaya huko yananunuliwa kama njugu na kufanywa misikiti.

Waliwaletea Ukristo washajielewa kuwa waliwaletea uongo tu.
Nakushauri usikashifu imani za watu, utakuja kutukanwa humu wewe na mtume wako hadi utatafuta pa kuficha kichwa chako usipate, shauri yako.
 
Nakushauri usikashifu imani za watu, utakuja kutukanwa humu wewe na mtume wako hadi utatafuta pa kuficha kichwa chako usipate, shauri yako.
Sasa unachokipinga ni kuwa makanisa Ulaya hayafanywi ma night club au hayanunuliwi na Waislam na kufanywa mikiti?

Wewe ungependelea lipi kati ya hayo?


Kuna kashfa gani hapo? Hebu tufahamishe.
 
Sasa unachokipinga ni kuwa makanisa Ulaya hayafanywi ma night club au hayanunuliwi na Waislam na kufanywa mikiti?

Wewe ungependelea lipi kati ya hayo?


Kuna kashfa gani hapo? Hebu tufahamishe.
Usiseme dini zingine kwamba ni uongo wakati hata huyo Mungu mwenyewe hajasema dini fulani ndiyo nzuri.
 
Wajinga wa dini wamebaki Waafrica tu, watu wenye akili walishashtuka siku nyingi dini ni project za watu.

Kuna taasisi za kiislamu kazi yake ni Kujenga misikiti na kuchimba visima tu vya kuchambia, hawana muda na maswali ya afya wala elimu.
Na kuchamba ni sehemu ya ibada
 
Sasa hao race yao ni uislamu au Uarabu, uhajemi na uhindi?

Hivi nyinyi watu mna akili timamu kweli?

Kwahiyo Mandela angekuwa muislamu mngesema waislamu ndio wamepambana kupata South Africa huru?

You are a Fool.
 
Ndiyo maana tunasema hizo ni aya za shetani.
 
Ila ndugu zetu wa upande wa pili wanakuwaga na chuki, Zanzibar tu hapo ukitaka kujenga kanisa utakutana na vizuizi kibao.

Ila wao wanaitaka haki ya kusambaza dini yao pahali popote wanapotaka.
 
Haya tuambie hiyo ya kuoana wanaume Kwa wanaume,wanawake Kwa wanawake inayosimamiwa Kwa nguvu zote za wafuasi wa Yesu imeandikwa sehemu gani kwenye biblia?
 
Upendo wa kufikia mwanaume kuolewa HAPANA aisee!
 
Tatizo nyie wakristo mnawachukia waislamu bure tu bila kujua dini yao kwa hakika. Unasikiliza media ambazo zinamilikwa na west ambazo agenda zao kubwa ni kuumaliza uislam na mengine mnaambiwa na viongozi wenu huko kwenye nyumba za ibada na nyinyi mnaamini tu bila kufanya utafiti.

Hebu chukua Quran usome mwenyewe uone kama hayo yanayosemwa ni kweli? utajikuta unajilaumu kwa kufuata mkumbo wa kuwachukia waislam bure tu. Nawasihi tumieni akili zenu ndugu zetu msifate mkumbo. Do your own research
 
kwa hivyo huyu yesu ambae sio issa ndio aliekuja kuhalalisha ndoa za mashoga makanisani ama na wewe unaolewa lini.
 
Ndiyo maana tunasema hizo ni aya za shetani.
Aya za sheti
[emoji116][emoji116]
مَا كَذَبَ ٱلْفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴿١١﴾
Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.

أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴿١٢﴾
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?

وَلَقَدْ رَءَاهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ ﴿١٣﴾
Na akamwona mara nyingine,

عِندَ سِدْرَةِ ٱلْمُنتَهَىٰ ﴿١٤﴾
Penye Mkunazi wa mwisho.

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ ﴿١٥﴾
Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.

إِذْ يَغْشَى ٱلسِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.

مَا زَاغَ ٱلْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾
Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ ءَايَٰتِ رَبِّهِ ٱلْكُبْرَىٰٓ ﴿١٨﴾
Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.

أَفَرَءَيْتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
H
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلْأُخْرَىٰٓ ﴿٢٠﴾
Na Manaat, mwingine wa tatu

أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

تِلْكَ إِذًۭا قِسْمَةٌۭ ضِيزَىٰٓ ﴿٢٢﴾
Huo ni mgawanyo wa dhulma
 
Kidogo kidogo, kama si leo kesho. Jinsi Uislam unavyokuwa Uingereza, sitoshangaa miaka michache ijayo kukawa na serikali yote ya Kiislam.
Halafu ikishakuwa?

Kuna serikali ya Kiislam Iran na Afghanistan. Mbona hamukimbilii kuishi huko badala yake mnapakimbia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…